Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

nia yenu mnataka watu wafe amani itoke.
Tunajua tangu mwezi wa 8 mwaka huu polisi walikuwa wanafanya mazoezi ya ziada kwa ajili ya kuja kupiga watu kwenye uchaguzi huu.

Swali la msingi Kama hamtaki upinzani Tanzania uchaguzi mnafanya wa nini?
Mleta mada si Rais wenu wa mtandaoni aliwambia kuwa atawaingiza barabarani, una lialia nini sasa?

Labda tu nikuulize baada ya Kamanda mkuu kutangazwa kuwa kashindwa mpaka Sasa hivi Makamanda wake mmeshaingia barabara ngapi?
 
Ni heri tukawa hatuna
Mnajulikana, aliposhinda mpinzani, haki imetendeka, vinginevyo haki haikutendeka!!! Ndiyo maana mara zote nasema ninyi ni wabinafsi zaidi. Mnajifanya mnataka kila mtu apate haki yake wakati ninyi ndiyo mnatamani kunyang'anya haki za wengine!!! Wewe tulia na machungu yako hivyo hivyo ya kushindwa, msaada wetu ni kukupa Pole.
 
Hakuna uchaguzi hayo si matokeo ni upumbavu mtupu
 
huu uchaguzi ulikuwa wa kimagumashi tu,haikuwa rahisi kukifungashia virago chama tawala ingekuwa aibu sana,ni safari ndefu kuking'oa madarakani
 
Swali ni kuwa kura zimekamatwa ila mbona waliokamatwa nazo hawaoneshwi kote, tunaoneshwa makaratasi tu, huu ni uongo
 
Ndio imeshakuwa tiyari ushangilie usishangilie ushindi kwa CCM , nadhani muda wa matusi umeisha sasa

sent from HUAWEI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…