mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
Muulize mamayako.Pole sana, nna vidonge hapa vya maumivu nikuletee?
Barabarani mnaingia saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize mamayako.Pole sana, nna vidonge hapa vya maumivu nikuletee?
Barabarani mnaingia saa ngapi?
Wapeni 50,000. Tano kidogo.Twende state house na Watz tumesema Magu, Samia tano tena.
Oooh Yesssssss.
Imeshakuhusu!Haiji nihusu labda nikija kuwa mpinzani. Na haiji tokea.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Ushasema.Wapeni 50,000. Tano kidogo.
.Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Natumai wapinzani (naamanisha wapinzani halisi, sio wale wengine) wataandaa taarifa yenye ushahidi na maelezo ya kina ya faulo zote zilizotawala zoezi zima la "uchaguzi" kwa ajili ya ushahidi na kumbukumbu, kwa matumizi ya sasa na ya baadae.Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Twaweza walifanya utafiti wakaja na hitimisho lisemalo" wanaoshabikia ccm ni mbumbumbu".Mimi huwa nasema huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia uovu wa CCM na Serikali yake
Ndiyo karatasi zilichaoishwa pale Jamana Printing Company. Ambayo Mnyika aliwahi kuilalamikia kwenye press moja hivi.Karatasi zilizobambwa ni "Genuine" kabisa, ndo kusema kua Tume walichapisha na karatasi za ziada wakawapa CCM.
Unalazimisha?Imeshakuhusu!
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
[/QUOTE yaliyofanya na CCM hayakubaliki nyaraka nyeti itapatikanaje mtaani

Imeshakuhusu!Unalazimisha?
Nimesema hainihusu.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Huh [emoji3064] [emoji15]Imeshakuhusu!
Tulia wewe kima, wapinzani walikuwa wawili tu: Tundu Lissu na Maalim Seif wengine wote walikuwa mapandikizi ya nyoka wa kijani. Tumeingiza timu uwanjani kuwazuia na hayo mapandikizi yasije yakahalalisha huu uchafuzi uliofanywa. Wakati mwingine muwe mnajaribu kuficha ujinga wenu!Sasa nawewe hebu kawaulize Viongozi wako kuwa Kama walijua uchaguzi hautakuwa wa huru na haki kwanini walishiriki uchaguzi?
Kwani isingewezekana kususia Kama walivyosusia kwenye serikali za mitaa?
Kama nchi tumejuabisha sanaKituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.