Mtu ukikutana na simba au chui ghafla porini tahadhari ni ipi?

kinyesi utakachojinyea ujipake ile harufu hawatakusogelea
 
Hawaruhusu kwenda na bunduki????!!!!

Maana naona kama unaweka roho poni,utaliwa uwaache wazazi na watoto wako mayatima bure!!!!!

Hao askari wanyama pori wenyewe wanakuambia ukiwa porini tahadhari ni bunduki tena iliyo na risasi chamber na sio mi shotgun mind you,kama ni shotgun basi pump action!!!!!!!!

Changanya na zako mkuu

Ukiwa unaenda waambie ndugu zako BURIANI
 

wAAQqqCaeS
 
assessments AWqAtQARRRwRRQvwAtaArqqAqQSZAWWAgqaCeee as EARDa AAÀ setae aQ
 
assessments AWqAtQARRRFÀEeswRRQrAy€€|`£vwAtaArqqAqQSZAWWAgqaCeee as EARDa AAÀ setae aQWaQAQqwAQaQQA
 
never turn your back on them, simba na chui, pure born killerz, lyk any other killerz wit conscience, they cant kill whle lookin at ur eyes. ni binadam pekee mwenye uwezo wa kuua huku anakuangalia
 

Tupe elimu ya nyoka hata kwa kuanzisha thread mi ni muoga wa nyoka balaa tena huyo koboko
 
assessments AWqAtQARRRFÀEeswRRQrAy€€|`£sssd‘6vwAtaArqqAqQSZAWWAgqaCeee as EARDa AAÀ setae aQWaQAQqwAQaQQA
 

mkuu msaidie jamaa si unajua namna ya kuishi na wenzio simba na chui mpe ujanja,teh teh umenikumbusha ile story ya sungura na fisi sijui darasa la ngapi vile
 

Unajua kitu kama hukijui tabia yake na weaknesses zake kitakusumbua sana. Nimekuambia hayo maana ndio njia ya kumuepuka huyo mnyama, uwoga wako ndio utakokufanya utafunwe. Wengi wetu tumekuwa waoga wa wanyama kwasababu tunaishi nao mbali. Kama hapo hujapata kitu bhasi watafute askari wa wanyama pori watakueleza na kama utaona kuna utofauti na haya nilichojaribu kuyadadavua hapo.
 
in short kaa kimya usipige kelele atapita tu hata kama ana njaa pia usimwangalie sana,mcheki kwa machale tu
 
Mkuu,
Naona haunitakii mema. Niwatafute hao jamaa tena :shocked:!!! Ili waniunganishe na majangiri wa meno ya Tembo? Uwoga wangu ndio unaonifanya nisitake kwenda porini kukutana na Simba wala hautonifanya nitafunwe. Labda Huyo Simba nikutane nae Mlimani City au Samora Avenue :faint2:
 
mkuu msaidie jamaa si unajua namna ya kuishi na wenzio simba na chui mpe ujanja,teh teh umenikumbusha ile story ya sungura na fisi sijui darasa la ngapi vile

Mkuu kuna mtu amepost kwamba usiwaonyeshe uoga, wakikustukia umekwisha!! Wiki iliyopita tu tulifumaniana na koboko uso kwa uso porini bahati nzuri hamna aliyekimbia wala kugeuka, dude likasepa taratiibu. Ila kwenye simba mwana ni noma hasa akiwa na njaa, lazima atacharge tu hata ukimkazia macho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…