Ujinga umewafanya muwe wapuuzi kabisa unasema kujieleza kwa kiingereza sio kigezo daahLione hili nalo bichwa kama Lisu.
Kujieleza kwa kiingereza siyo kigezo cha kuelimika .
Kiingereza ni lugha tu kama kisukuma
Kwa nini na wao wasikariri wafaulu kama ni rahisiKufaulu kwa elimu ya bongo ni kukariri.
Acheni ushamba nyinyi mnakariri vitu na kuigaiga bila kujua faida yake halisi.Huyo dogo ana akili za kishamba na kimasikini.
Kiingereza ni lugha tu kama kimakonde tu cha huko kwenuUjinga umewafanya muwe wapuuzi kabisa unasema kujieleza kwa kiingereza sio kigezo daah
halafu nyie ndio mnatawala hii Nch
Usichanganye Feza, Marian, Kemble's, keizerege, St. Marys mazinde juu, Kenton, baobab, siyo International schools.Mimi sizikubali sana hizo international school kwasababu mkifika Chuo kikuu,hakuna Significance difference ya wale waliosoma St.Kayumba na waliosoma International.
Lugha ni ujuzi, kama kusoma kuwa daktari au engineer. Kiingereza kina heshima zaidi kutokana na watu wengi kukitumia kama njia kuu ya mawasiliano duniani.Kiingereza ni lugha tu kama kimakonde tu cha huko kwenu
Hahaaaaaa.... Umesema kweli. Lakini je hawa wanaelimu inayozungumzwa hapa au wana hela? Au ukiwa na hela automatically unakuwa na elimu inayozungumzwa hapa?Kama Trump mwenyewe hawezi kujieleza lakini ndo Rais wa taifa kubwa duniani,tafuta pesa mzee mengine yote yatakuja yenyewe..ushawahi kumsikia mzee Bakhresa akiongea? au marehemu Mengi? hawawezi kuongea sentensi tatu ukazielewa direct bila ya kudhania walichomaanisha.
Mkuu malizia sentensi yake ya mwishoNilianza kukuamini unalo sema ni kweli lakini kuna mahali umeanza ku 'blow your own trumpet'........sio vizuri mtu alie elimika kuanza kujisifia utajiri wenu
Mkuu kwani nimesema uongo?Nimecheka sana hapo kwenye kuzuia wazazi
Lugha ni ujuzi, kama kusoma kuwa daktari au engineer. Kiingereza kina heshima zaidi kutokana na watu wengi kukitumia kama njia kuu ya mawasiliano duniani.
Huwezi kufananisha na Kiswahili au Kisukuma kwa sababu hakina nguvu ya kiuchumi nyuma yake. Kila mtu sasa anajifunza Kichina kwa sababu ya nguvu ya kiuchumi nyuma yake. Miaka ya 70 na 80 ilikuwa Kijapani. Kuna Wanigeria China wapo katika TV kama wasanii, mishahara yao ni zaidi ya $6000 kwa mwezu.
Watanzania wengi wamesoma shule za kata na wamechelewa kujifunza Kiingereza kifasihi. Kusoma lugha lazima ianze ukiwa shule ya vidudu, sio sekondari. Tuliobahatika kusoma private, Kiingereza hakitusumbui na hatujifichi nyuma ya pazia ya sijui ni lugha ya meli au ya mabeberu au sijui Wachina hawajui Kiingereza lakini ni matajiri. Wengi wetu hatujui ujuzi huu kwa kuwa tumeanza kusoma tukiwa ukubwani. Ni muhimu kuipa heshima lugha iliyopewa status ya "official language". Warusi, Wachina na Wajapani, Kiingereza sio "official language" bali ni somo tu kama hisabati.
Kama KIingereza sio ujuzi, wazungu wengi hapa Asia wasingepewa $2500 kwa mwezi kuwafundisha Kiingereza Wajapani, Wakorea Wachina na raia wa ASEAN.
Demand and supply.
Kumbe wao wanasoma ili wapate salaries za international level? Kumbe elimu zao bado ni mzigo tu!Huna uwezo wa kuaccomodate uwezo wao na huwezi kuwalipa.
UNESCO walitoa utafiti kuhusu udumavu wa akili kwa nchi za Africa na Tz ikiwepo nafkiri ndo hicho unachokiona kwa huyo jamaa.Kayumba mkubwa wewe. Sitakujibu tena. Nimegundua wewe ni wa aina gani.
Kumbe matamanio yako ni maghorofa na mabasi! Mi nilifikiri tunaongelea elimu nzuri. Basi katafute mabasi na maghorofa. Kwa upande wangu nimeufunga mjadala na wewe.
Tatizo lako ni kama la wengi TZ. Unajifanyanyisha na nchi tajiri. TZ sio Ujerumani wala China. Ni LDC. Huwezi kufananisha ili ujifiche nyuma ya pazia yao. Na narudia, "official language" status inatulazimisha tujue Kiingereza sio Kireno wala Kichina kama lugha ya pili ya nchi.Yaani wewe kwa mbali umeelezea vizuri ila unaingia na kutoka kwenye point.
mwenyewe umeshasema kwamba wachina na wajapan hawatumii kiingereza na wana mafanikio at the same time unasema kiingereza ukijua kinakufanya ufanikiwe eti kwa vile ni official language.
Mimi naona hamjui mnachokiongea bali mmekaririshana tu mitaani.
Ungekuwa umetembea kidogo kwenye baadhi ya nchi ungepata uhalisia.
Kuna nchi kama ujerumani hawataki kabisa kusikia huo upuuzi wa kiingereza na ukienda kule ukaleta mbwembwe zako za kiingereza hakuna anayekusikiliza.
Hata ukimsalimia mtu kwa kiingereza hakuna anayekujibu watakupita tu kama mdudu.
Sasa swali lingine nakuuliza,kama wewe ni mtu unapenda lugha kwa nini ukariri lugha ya kiingereza peke yake?kwa nini huongelei kifaransa?kireno?kijerumani?kihispania?kiarabu?
Kwa sababu huwezi kujua katika maisha yako utaenda kuishi au kutembelea nchi gani na si kila nchi wanajua hicho kiingereza chako mfano ukienda msumbiji au angola wanaongea kireno tu.
Sasa wewe ukienda hapo na kiingereza chako cha IST kitakusaidia nini.
Tuacheni kukariri jamani dunia ya sasa inahitaji mambo kwa vitendo.
Tatizo lako ni kama la wengi TZ. Unajifanyanyisha na nchi tajiri. TZ sio Ujerumani wala China. Ni LDC. Huwezi kufananisha ili ujifiche nyuma ya pazia yao. Na narudia, "official language" status inatulazimisha tujue Kiingereza sio Kireno wala Kichina kama lugha ya pili ya nchi.
Kutaka sijui nijue kireno kwa kuwa niweze kuwasiliana na Waangola na Wareno ni point ya kijinga. Mazingira yangu ndio yaliyonipa access ya kujua Kiswahili na Kiingereza, Ninaishi Japan, nimejifunza Kijapani. Ningeishi Ureno ningejifunza Kireno. Nimeenda Lisbon na sijapata shida ya kuwasiliana na watu. Biashara kubwa ya kitalii inawalazimisha watu wengi kujua lugha za kigeni pamoja na Kiingereza kwa manufaa ya uchumi wao. Nimeishi Marekani, lugha ya Kihispanic ni ya pili baada ya Kiingereza. Nimejifunza chuoni kwa kuwa somo langu linahitaji lugha ya kigeni.
Nimeishi nchi tano za kitajiri na kutembea zaidi ya nchi 45 kwa kazi na likizo. Sijapata usumbufu wowote wa mawasiliano kwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Ukifika Singapore, kuna arrival cards kwa lugha 10 kwa wageni kujaza, sijaona ya Kiswahili bado. Sasa jaribu kutumia Kisukuma au Kiswahili kama watakuelewa immigration! Hapo ndio utajua umuhimu wa kujua lugha ya kimataifa.
Swali. Kama wewe ukija Japan na lugha yako ya Kiswahili tu, na mimi nimekuja Japan na lugha ya Kiingereza na Kiswahili , nani kati yetu atapata ajira tukienda kuomba kazi pamoja? (assume tuna elimu sawa)
It's very true.I feel you man , people are just ignorant sana . Na hawataki kukubali wala kujifunza . Ni tatizo kubwa kwetu wabongo wengi
Wewe hata kama unasema umetembea nchi nyingi ila unaonekana bado una kichwa kizito,exposure haijakusaidia.Tatizo lako ni kama la wengi TZ. Unajifanyanyisha na nchi tajiri. TZ sio Ujerumani wala China. Ni LDC. Huwezi kufananisha ili ujifiche nyuma ya pazia yao. Na narudia, "official language" status inatulazimisha tujue Kiingereza sio Kireno wala Kichina kama lugha ya pili ya nchi.
Kutaka sijui nijue kireno kwa kuwa niweze kuwasiliana na Waangola na Wareno ni point ya kijinga. Mazingira yangu ndio yaliyonipa access ya kujua Kiswahili na Kiingereza, Ninaishi Japan, nimejifunza Kijapani. Ningeishi Ureno ningejifunza Kireno. Nimeenda Lisbon na sijapata shida ya kuwasiliana na watu. Biashara kubwa ya kitalii inawalazimisha watu wengi kujua lugha za kigeni pamoja na Kiingereza kwa manufaa ya uchumi wao. Nimeishi Marekani, lugha ya Kihispanic ni ya pili baada ya Kiingereza. Nimejifunza chuoni kwa kuwa somo langu linahitaji lugha ya kigeni.
Nimeishi nchi tano za kitajiri na kutembea zaidi ya nchi 45 kwa kazi na likizo. Sijapata usumbufu wowote wa mawasiliano kwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Ukifika Singapore, kuna arrival cards kwa lugha 10 kwa wageni kujaza, sijaona ya Kiswahili bado. Sasa jaribu kutumia Kisukuma au Kiswahili kama watakuelewa immigration! Hapo ndio utajua umuhimu wa kujua lugha ya kimataifa.
Swali. Kama wewe ukija Japan na lugha yako ya Kiswahili tu, na mimi nimekuja Japan na lugha ya Kiingereza na Kiswahili , nani kati yetu atapata ajira tukienda kuomba kazi pamoja? (assume tuna elimu sawa)
Tatizo lako ni kama la wengi TZ. Unajifanyanyisha na nchi tajiri. TZ sio Ujerumani wala China. Ni LDC. Huwezi kufananisha ili ujifiche nyuma ya pazia yao. Na narudia, "official language" status inatulazimisha tujue Kiingereza sio Kireno wala Kichina kama lugha ya pili ya nchi.
Kutaka sijui nijue kireno kwa kuwa niweze kuwasiliana na Waangola na Wareno ni point ya kijinga. Mazingira yangu ndio yaliyonipa access ya kujua Kiswahili na Kiingereza, Ninaishi Japan, nimejifunza Kijapani. Ningeishi Ureno ningejifunza Kireno. Nimeenda Lisbon na sijapata shida ya kuwasiliana na watu. Biashara kubwa ya kitalii inawalazimisha watu wengi kujua lugha za kigeni pamoja na Kiingereza kwa manufaa ya uchumi wao. Nimeishi Marekani, lugha ya Kihispanic ni ya pili baada ya Kiingereza. Nimejifunza chuoni kwa kuwa somo langu linahitaji lugha ya kigeni.
Nimeishi nchi tano za kitajiri na kutembea zaidi ya nchi 45 kwa kazi na likizo. Sijapata usumbufu wowote wa mawasiliano kwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Ukifika Singapore, kuna arrival cards kwa lugha 10 kwa wageni kujaza, sijaona ya Kiswahili bado. Sasa jaribu kutumia Kisukuma au Kiswahili kama watakuelewa immigration! Hapo ndio utajua umuhimu wa kujua lugha ya kimataifa.
Swali. Kama wewe ukija Japan na lugha yako ya Kiswahili tu, na mimi nimekuja Japan na lugha ya Kiingereza na Kiswahili , nani kati yetu atapata ajira tukienda kuomba kazi pamoja? (assume tuna elimu sawa)
Tatizo lako ni kama la wengi TZ. Unajifanyanyisha na nchi tajiri. TZ sio Ujerumani wala China. Ni LDC. Huwezi kufananisha ili ujifiche nyuma ya pazia yao. Na narudia, "official language" status inatulazimisha tujue Kiingereza sio Kireno wala Kichina kama lugha ya pili ya nchi.
Kutaka sijui nijue kireno kwa kuwa niweze kuwasiliana na Waangola na Wareno ni point ya kijinga. Mazingira yangu ndio yaliyonipa access ya kujua Kiswahili na Kiingereza, Ninaishi Japan, nimejifunza Kijapani. Ningeishi Ureno ningejifunza Kireno. Nimeenda Lisbon na sijapata shida ya kuwasiliana na watu. Biashara kubwa ya kitalii inawalazimisha watu wengi kujua lugha za kigeni pamoja na Kiingereza kwa manufaa ya uchumi wao. Nimeishi Marekani, lugha ya Kihispanic ni ya pili baada ya Kiingereza. Nimejifunza chuoni kwa kuwa somo langu linahitaji lugha ya kigeni.
Nimeishi nchi tano za kitajiri na kutembea zaidi ya nchi 45 kwa kazi na likizo. Sijapata usumbufu wowote wa mawasiliano kwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Ukifika Singapore, kuna arrival cards kwa lugha 10 kwa wageni kujaza, sijaona ya Kiswahili bado. Sasa jaribu kutumia Kisukuma au Kiswahili kama watakuelewa immigration! Hapo ndio utajua umuhimu wa kujua lugha ya kimataifa.
Swali. Kama wewe ukija Japan na lugha yako ya Kiswahili tu, na mimi nimekuja Japan na lugha ya Kiingereza na Kiswahili , nani kati yetu atapata ajira tukienda kuomba kazi pamoja? (assume tuna elimu sawa)
Wewe ni kichwa ngumu kuelewa sana.Wewe hata kama unasema umetembea nchi nyingi ila unaonekana bado una kichwa kizito,exposure haijakusaidia.
What if ukienda kwenye nchi ya kifaransa?utashindwa kuishi na kuondoka kule kwa sababu hakuna kiingereza?
Tuache kukariri.
Yaani mawazo mnayoongea sasa hivi mimi nilikuwa nayo miaka hiyo nasoma shule ya msingi,nilitumia nguvu nyingi sana kukifuatilia kiingereza lakini baadae baada ya kuwa mkubwa nikaona mitaani hakuna wa kuongea naye nikagundua kumbe ni upumbavu tu nikaachana nacho.