Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Mkuu ni kukosa pesa tu ila hizi shule hasa english medium zinaharibu watoto kwa kuwakalilisha tu ili wafaulu sana wapate wanafunzi zaidi. Ebu fikiria mtoto wa primary darasa la nne gari inamptia saa 11 halafu anabaki shule eti wanasoma masomo ya ziada ya kujiandaa na mtihani nyumbani anafika saa mbili usku.Sijui shuke nyingine,lakini wanafunzi wa IST wanakwenda katika program moja inaitwa Model United Nations, hapo Nairobi UN office. Wanafunzi waliochaguliwa wanaiwakilisha nchi tofauti katika debate kama wanavyofanya katika mikutano ya Umoja wa Mataifa.
Labda, njia ya kufika UN inaanza hapo.
Mimi najiuliza kama primary mtoto anasoma serious hivyo je sekondari.