macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nasikitika kusema, kwa bahati mbaya sana, bado hatujapata. Na hapa naongelea marais waliofutia baada ya Nyerere. Hali inakuwa ngumu zaidi kwa sababu rais amelundikiwa madaraka na uwezo mkubwa sana kiasi ambacho akiboronga basi nchi nzima inaboronga na hakuna namna rahisi ya kumrekebisha.Nitajie mtu mmoja mwenye karama ya uongozi na ambaye ametusaidia au kuisaidia nchi kimaendeleo baada ya Nyerere?