Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Nitajie mtu mmoja mwenye karama ya uongozi na ambaye ametusaidia au kuisaidia nchi kimaendeleo baada ya Nyerere?
Nasikitika kusema, kwa bahati mbaya sana, bado hatujapata. Na hapa naongelea marais waliofutia baada ya Nyerere. Hali inakuwa ngumu zaidi kwa sababu rais amelundikiwa madaraka na uwezo mkubwa sana kiasi ambacho akiboronga basi nchi nzima inaboronga na hakuna namna rahisi ya kumrekebisha.
 
Tunakutana nao mtaani

Hata hawa wa english medium za kawaida ni wazito

Ant social
Yaani ni changamoto
yuko mmoja tupo naye mkoani kwetu alivyomaliza chuo hajawahi kuajiriwa hata sehem moja amefungua kikampuni chake anatafuta tenda za airport hana mtaji hata wa laki 5 anakula kwa baba kula kwa baba ananichekeshaga sana,utamkuta anapita na makablasha yake anakwenda town kila siku kutafita clients,miaka nenda rudi hajawahi kupata tenda anachoma nauli tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Basi kama huna mtu mbadala wa kumuweka akafit usilaumu acha aendelee magufuli angalau physical infrastructures tunaziona

Naona unachanga madesa hapa. Wewe uko kwenye upande wa ''ujanja ujanja' wa kibongo bongo wa ku-survive mitaani. Wenzako wanazungumzia mhitimu ambaye akimaliza anakuwa ameelimika. Huu ''ujanja ujanja'' unaouona kwa watu mitaani Bongo ukiupeleka nchi nyingine utapigika kimaisha vibaya sana. Na ndiyo kosa wanalofanya wabongo wengi wanaokwenda ughaibuni. Mtu kama LeMutuz amejaribu ku-apply huu maisha ya kibongo bongo USA kwa miaka 30 akashindwa vibaya sana lakini aliporudi Bongo baada ya miaka mitatu tu amebadilika na kuwa kama celebrity fulani hivi...
 
Nahisi namfahamu

Au labda wamefanana

Alisoma IST
 
Ni wewe ulivyoelewa

Kwani akitoka shule anakwenda wapi kama siyo mtaani?

Asipopata ajira rasmi ana survive vipi?

Au anakwenda nje ya Tanzania?
 
Basi kama huna mtu mbadala wa kumuweka akafit usilaumu acha aendelee magufuli angalau physical infrastructures tunaziona
Hujaelewa nilichoandika au umeposha makusudi? Nimesema kati ya marais waliopita... na sijasema kati ya raia wote waliobaki hakuna mbadala! Mbadala wako wengi sana na ni kwa sababu tu hakuna fair ground ya kuwapata.
 
Tutawapataje sasa hao watu unaowasema?Kwa hiyo kwenye vyama 13 vyote hakuna huyo mtu unayemtaka?
Hujaelewa nilichoandika au umeposha makusudi? Nimesema kati ya marais waliopita... na sijasema kati ya raia wote waliobaki hakuna mbadala! Mbadala wako wengi sana na ni kwa sababu tu hakuna fair ground ya kuwapata.
 
Ni wewe ulivyoelewa

Kwani akitoka shule anakwenda wapi kama siyo mtaani?

Asipopata ajira rasmi ana survive vipi?

Au anakwenda nje ya Tanzania?
Kitu ambacho hujui ni kuwa maisha ya ''ujanja ujanja'' wa mitaani, haya ya Bongo siyo realible na ndiyo yanafanya hali zetu zizidi kuwa duni? Utaandaje raia wa nchi kwa kuwasomesha ''ujanja ujanja' wa ku-survive mitaani? Hujaona hapo kuna tabu hapo? Hujaona mwanzisha thread ameliona hilo na ndiyo maana anataka tujikwamue?
 
Tutawapataje sasa hao watu unaowasema?Kwa hiyo kwenye vyama 13 vyote hakuna huyo mtu unayemtaka?
Tutawapata kwa kuwa na uchaguzi ulio fair credible. Tutawapata kwa kuwa na katiba nzuri itakayoondoa hayo mapungufu niliyotaja. Bila hayo tutaendelea kujidanganya!
 
Uchaguzi uliyo fair kivipi?Kwani sasa hivi ukienda kuvote unalazimishwa kumchagua mtu usiyemtaka?

Hapa sasa unahamisha mada kipolepole baada ya kushindwa kutetea hoja yako. Kama unaona Bongo kuna uchaguzi ulio fair kwa sababu tu ukienda kupiga kura hulazimishwi umchague nani basi tufunge mada kwanza ukajifunze na kujisomea ni nini maana ya fair and credible election! Siwezi kujadiliana na mtu anayedhani uchaguzi unakuwa fair kama tu mtu anapokwenda kupiga kura halazimishwi kumchagua nani!!
 
Mimi naona uchaguzi uko fair ndio maana pale kuna mawakala wa kila chama lengo ni kuhesabu kura za wagombea wa chama chao,labda ingetokea mwaka wowote wapinzani washinde kwa kuhesabu kura zao zionekane nyingi kuliko chama tawala kisha wakatae kuachia ikulu hapo sawa ningesema uchaguzi sio fair.
Hapa sasa unahamisha mada kipolepole baada ya kushindwa kutetea hoja yako. Kama unaona Bongo kuna uchaguzi ulio fair kwa sababu tu ukienda kupiga kura hulazimishwi umchague nani basi tufunge mada kwanza ukajifunze na kujisomea ni nini maana ya fair and credible election! Siwezi kujadiliana na mtu anayedhani uchaguzi unakuwa fair kama tu mtu anapokwenda kupiga kura halazimishwi kumchagua nani!!
 
Kitu ambacho hujui ni kuwa maisha ya ''ujanja ujanja'' wa mitaani, haya ya Bongo siyo realible na ndiyo yanafanya hali zetu zizidi kuwa duni? Utaandaje raia wa nchi kwa kuwasomesha ''ujanja ujanja' wa ku-survive mitaani? Hujaona hapo kuna tabu hapo? Hujaona mwanzisha thread ameliona hilo na ndiyo maana anataka tujikwamue?
Kwa hiyo unabishana na uhalisia?

Baki unavyoamini ushangae vile maisha yanakufanya.
 
Huo siyo uhasilia bali ni ujinga. Unaweza kuishi kwa kufuata kanuni za maisha na ukawa na mafanikio mazuri kuliko wenye kuamini bila ''ujanja ujanja hakuna mafanikio. Najua kubalisha mind set kwenye jamii ya watu kama Bongo ni ngumu lakini kama ukibahatika kutembea nchi nyingine duniani utaona tofauti.
 
Naona unachanga madesa hapa. Wewe uko kwenye upande wa ''ujanja ujanja' wa kibongo bongo wa ku-survive mitaani. Wenzako wanazungumzia mhitimu ambaye akimaliza anakuwa ameelimika. Huu ''ujanja ujanja'' unaouona kwa watu mitaani Bongo ukiupeleka nchi nyingine utapigika kimaisha vibaya sana. Na ndiyo kosa wanalofanya wabongo wengi wanaokwenda ughaibuni. Mtu kama LeMutuz amejaribu ku-apply huu maisha ya kibongo bongo USA kwa miaka 30 akashindwa vibaya sana lakini aliporudi Bongo baada ya miaka mitatu tu amebadilika na kuwa kama celebrity fulani hivi...
Nakubaliana na wewe kabisa. Uko sahihi.
 
Daah nilikutana na mtoto wa shule hizi nikamuuliza una ndoto ipi akaniambia I want to be a UN SECRETARY.
Nikasema hawa kweli wanawaza international level.
Hiyo kawaida hata saint Kayumba wanamawazomakubwa kama hayo sema hawajui njia ya kufika huko...
 
Sijui shuke nyingine,lakini wanafunzi wa IST wanakwenda katika program moja inaitwa Model United Nations, hapo Nairobi UN office. Wanafunzi waliochaguliwa wanaiwakilisha nchi tofauti katika debate kama wanavyofanya katika mikutano ya Umoja wa Mataifa.

Labda, njia ya kufika UN inaanza hapo.
 
Back
Top Bottom