Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 935
- 2,553
Guys guys, soon ntakuwa single aisee.
Nimeloa huyu mwanamke ila kwangu kapageuza Banda la chips aisee. Yaani nakula vyakula ambavyo naweza pitia Banda la CHIPSI chap.
Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae mwenyewe niwe naenda kununua vya peke angu nipunguze gharama