min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
na shimo je pia hufaidi?Guys guys, soon ntakuwa single aisee.
Nimeloa huyu mwanamke ila kwangu kapageuza Banda la chips aisee. Yaani nakula vyakula ambavyo naweza pitia Banda la CHIPSI chap.
Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae mwenyewe niwe naenda kununua vya peke angu nipunguze gharama
😂😂😂Unamuogopa mkeo mpaka umekuja kusema huku? 😹😹😹
Wewe si ulioa traco haya kula traco bro..!!
NakaziaKwani wee dhumuni la kuoa ni nini? Tuanzie hapo kwani?
Anaacha "afutatu"Mawe ya biriani unaacha?
Uzungu ni nini?Punguza uzungu mkuu. Kwa hiyo aoe ili kufanyiwa nini?
Kwa kweli atujuze.Nakazia
Mie hoi kwa hii comment 😆😆😆😆😆Mbona me napikiwa chapati za maji kila siku nimeridhika mkuu
Mkuu mwenye shida kubwa hapo niwewe umekubali kula hivyo vyakula!Guys guys, soon ntakuwa single aisee.
Nimeloa huyu mwanamke ila kwangu kapageuza Banda la chips aisee. Yaani nakula vyakula ambavyo naweza pitia Banda la CHIPSI chap.
Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae mwenyewe niwe naenda kununua vya peke angu nipunguze gharama
Alafu wewe sikupendi kichizi yaniMkuu,
Kwani wewe umeoa ili upikiwe?
Hivi wewe nani alikurudisha jamvini si ulijitoa weweMie hoi kwa hii comment 😆😆😆😆😆
Mwanaume anakula ma junk food ya barabarani?Kama ulizani umepata mpishi, basi umepatikana. Alafu mwanaume kupenda kula kula nyumbani nao ni umama 😀
Mimi hata sikujui hivyo sijali kama unanipenda au la.Alafu wewe sikupendi kichizi yani
Afadhali kuliko hivyo vya kukaanga kaanga.Ngoja siku akupikie ndizi bukoba mix dagaa na nyanya chungu kama nshomile