Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hiki ndio kimeponza huyu Braza sasa Tako ameshalichoka ameanza visaUnamuogopa mkeo mpaka umekuja kusema huku? 😹😹😹
Wewe si ulioa traco haya kula traco bro..!!
Hiki ndio kimeponza huyu Braza sasa Tako ameshalichoka ameanza visaUnamuogopa mkeo mpaka umekuja kusema huku? 😹😹😹
Wewe si ulioa traco haya kula traco bro..!!
Mzee wa Pork upoooMuambie huna pesa za Samaki mkubwa, kitimoto na nyama choma za kulia hivyo vyakula.
Weka namba hapa au njoo inbox Tanzania ndogo hiiGuys guys, soon ntakuwa single aisee.
Nimeloa huyu mwanamke ila kwangu kapageuza Banda la chips aisee. Yaani nakula vyakula ambavyo naweza pitia Banda la CHIPSI chap.
Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae mwenyewe niwe naenda kununua vya peke angu nipunguze gharama
Hahaha,Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae mwenyewe niwe naenda kununua vya peke angu nipunguze gharama
Manka wa moshiYeye ni mtu wa wawapi wewe ni mtu wawapi
Hahaha aiseeeeManka wa moshi
Punguza uzungu mkuu. Kwa hiyo aoe ili kufanyiwa nini?Mkuu,
Kwani wewe umeoa ili upikiwe?
For sure, a nigga must know that this is Africa—we all live like Africans tooPunguza uzungu mkuu. Kwa hiyo aoe ili kufanyiwa nini?
Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano | Page 7 | JamiiForums Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusianoManka wa moshi