Mtu umemuoa afu anakupikia vyakula vya banda la chipsi

Weka namba hapa au njoo inbox Tanzania ndogo hii
 
Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae mwenyewe niwe naenda kununua vya peke angu nipunguze gharama
Hahaha,
Birds of a feather flock together..

Ashakujua we ni mzee wa kiepe kama yeye ndiyo sababu. Hawezi kukupikia chips kama anajua huli.

Na chips ukila sana ni suala la muda tu, itafika wakati mnara hautasoma bila kumeza dawa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…