Mtu umemuoa afu anakupikia vyakula vya banda la chipsi

na shimo je pia hufaidi?
 
Mkuu mwenye shida kubwa hapo niwewe umekubali kula hivyo vyakula!

Amri ilikuwa ni moja tu "SITAKI HAYA MAVYAKULA YAKO" Baada ya hapo hupaswi kujibizana nae akitenga hata kama umenawa nyanyuka nenda kwa mama Ntilie kula rudi home.


Baada ya siku tatu akiwa anapika hivyo hivyo.Home uwe unakuja kulala tu tena usiku sana kama saa7 hivi hata kama home kwako ulikuwa unafika saa12 jioni badilika ghafla.

NB: Haya huwa mnafanyiwa wanaume Ndiyo mzee. Mimi wali usiku sili akipika muhimu spike ugali hii ni Amri na hayo machips yao wanakaanga kivyao ala sina habari nao ili mradi mimi chakula changu kipo wala siwabuguzi.

Tatizo kubwa anakujua namna ulivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…