Mtu umemuoa afu anakupikia vyakula vya banda la chipsi

huo muda wa kuja kumsema humu haitasaidia ungempa elimu kwanza
 
Mimi hata sikujui hivyo sijali kama unanipenda au la.

In fact I take that back. Wajinga kama wewe wasiponipenda ndiyo furaha yangu.

Usijipe umuhimu hivyo.
Wanakupumulia wewe
 
Mimi hata sikujui hivyo sijali kama unanipenda au la.

In fact I take that back. Wajinga kama wewe wasiponipenda ndiyo furaha yangu.

Usijipe umuhimu hivyo.

I live rent free in your head it seems.

Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post yako kisirani inda ukiywjaa chuki isiyo sababu wewe.
Punguani wewe Kafie kushoto
 
I live rent free in your head it seems.

Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post yako kisirani inda ukiywjaa chuki isiyo sababu wewe.
Yani we sikukubali kinyama nakuona kama mapunga ya Tegeta
 
Pole tatizo wewe na yeye sio marafiki
Mpka mnaingia katika ndoa huyo unaemuita mkeo hata hajui unapendelea nini mezani

Akuna mahali mnaenda 👍
Kupika ni sanaa 🫰
 
Je papa anakupatia vzr kama yooote?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mwambie unataka kula nini
 
Ongeza jiko la pili mkuu, akili yake itachangamka
 
Mimi sijaoa ili kupikiwa. hata yeye anajua. na anajua kuwa najua kupika kuliko yeye, so vyakula vyake nakula fashen tuu
 
Nikajua nateseka mwenyewe
 
Hapo mim sion tatzo ila shida ni Uchumi tu anakupeleka kasi.

Na kingne hapo umepatikana hautakuja kuwa na saut kwa huyo mkeo, mtaambulia kuachana, hatakubari kupelekeshwa.

Ila nisiseme sana isije kuwa mjazito kwa sasa
 
Teh teh teh, mwambi mkeo unataka chakula gani...., kama yeye atakula chips sawa. We unataka makande ya mahindi ma bichi, mwambie. Halafu acaha tabia ya kumsimanga mkeo hata kama hakuoni huku. Hiyo itajitokeza physically.

Kisha utaanza kum treat vibaya, halafu wakora watakuwa faraja kwake, na atapika ugali vizuri utakula wewe na wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…