Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Tatizo ofa ya yule dada mwenye App ni kubwa sana hadi inawashawishi hawa vijana kurekodi ili wachukue hiyo hela.

Kama alishawishika Manara, hawa ni akina nani wasishawishike na hawana ngoma za kuwaletea show?

Ova
Hii ni kesi b… naomba uandae majibu mwenyewe kabla sijakuuliza. Lol
 
Hii ya aslay wote walijua km wana record movie ya ngono, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata kila lukamba pia. Ilikua planed bhana.
Na ndio hapo usemi wako unadhihirika "hajui kufi***a" [emoji3] sababu hakua romantic ni wazi alinunua malaya akaamua arekodi porn yao halafu kaenda kumuuzia Mange,

Sasa akitaka apate maokoto zaidi hiki ndio kipindi angetoa nyimbo kama 3 hivi halafu akakaa zake kimyaaa anahesabu namba tu.
 
Huo unaofanya ni ushamba.
 
Kweli nimepoa, dhambi kama hii ina siku ya 3 mjini sijaipata na wala siihangaikii.
Nasikia twitter huko mambo hadharani, bwana .............,.. kaweka mzigo wote.
 
Huyo akikutana na mabaharia, anawalipa hata milioni 1 tu, wanakuondoa duniani ili aondokane na bugudha za kipumbavu. Kiufupi unajiweka kwenye mazingira hatarishi sana kwa huo mchezo wako wa kitoto.
 
Nyie madogo huwa mnaongeleana kama nasi wote tunawafahamu. yaani ukigombana na ndugu zako unakuja waandika huku JF???????????????????????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan angetoa ngoma fastaaa kutembea na upepo, mbona angekusanya pesa mingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…