Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani

Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera, umemuachia mtu kidogo simu yako kahamisha video, wewe upo makini ila video umemtumia mwenzako mzembe zinaanza kusambaa, n.k.

Sasa vuta taswira ikiwa video yako imemfikia mvujishaji alafu anasema ataitoa baada ya mwezi, hii inaitwa countdown, haya ni mateso makali sana kisaikolojia na hapo bado haijavuja, siku 2 kabla haijavuja huwezi pata usingizi, siku ikivuja utakuwa na wakati mgumu sana my friend, hata kama utajifanya everything is ok.

Unaweza kuzuga kama Lukamba kwamba hakuna kitu kimetokea unaweka picha za kutabasamu na kweli hii mbinu inafanya watu nao wapotezee lakini sio kwa watu wa karibu mnaoheshimiana

Kwa watu wa karibu unakuwa umejishusha sana heshim, watu hawa ni watoto wako, Wazazi wako, ndugu zako, mke wako, watu mnaoheshimiana, n.k
Tatizo ofa ya yule dada mwenye App ni kubwa sana hadi inawashawishi hawa vijana kurekodi ili wachukue hiyo hela.

Kama alishawishika Manara, hawa ni akina nani wasishawishike na hawana ngoma za kuwaletea show?

Ova
 
Alikuwa mpiga picha wa wasafi ila alishaondoka sasa hivi ni msanii
NIme search picha yake naona kidume. Ina maana hiyo connection ni ya kishoga ?
Screenshot_20240412_070859_Samsung Internet.jpg
 
Usimchafue ...
Yule dada kategesha simu..
Toka Mange Kimambi aseme atatoa milioni 2 au zaidi Kwa mwenye video na celebrity...ndo mavideo haya yamelipuka
Kumbe million 2 ni kubwa sana eeh? Dah me account ina 2million ila najiona apeche alolo kabisaaa.
 
Nasikitika sijawahi kubahatika kuona connections zozote za huko Mange APP

Kwa mwenye utu anaweza kuni-bless na hii mpya ya Aslay tafadhali...PM yangu iko wazi 🙏
Ukishaiona , itakusaidia kwenye eneo lipi la ustawi wa maisha yako ?
 
Kiukweli Aslay hajui kufir..na, alikua anamuumiza tyuuh yule dada, kwa hali ile dada lazima apate maumivu na bawaziri juu.

Afu ile walimpa mtu awa record, ilikua planned kabisa.
Lol
PM yangu iko wazi mjukuu 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🖐
 
Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani

Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera, umemuachia mtu kidogo simu yako kahamisha video, wewe upo makini ila video umemtumia mwenzako mzembe zinaanza kusambaa, n.k.

Sasa vuta taswira ikiwa video yako imemfikia mvujishaji alafu anasema ataitoa baada ya mwezi, hii inaitwa countdown, haya ni mateso makali sana kisaikolojia na hapo bado haijavuja, siku 2 kabla haijavuja huwezi pata usingizi, siku ikivuja utakuwa na wakati mgumu sana my friend, hata kama utajifanya everything is ok.

Unaweza kuzuga kama Lukamba kwamba hakuna kitu kimetokea unaweka picha za kutabasamu na kweli hii mbinu inafanya watu nao wapotezee lakini sio kwa watu wa karibu mnaoheshimiana

Kwa watu wa karibu unakuwa umejishusha sana heshim, watu hawa ni watoto wako, Wazazi wako, ndugu zako, mke wako, watu mnaoheshimiana, n.k
Hazijavuja ,wameuza wenyewe maana sio bahati mbaya kinachotokea,fikiria unafanya se na menzi wako lakini mwanaume unajificha maungo yako hayaonekani,means upo kwenye misheni.
Mange anaingiza zaidi ya 300M,akimpa Aslay 100M wana hasara gani?
 
Back
Top Bottom