Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Usimchafue ...
Yule dada kategesha simu..
Toka Mange Kimambi aseme atatoa milioni 2 au zaidi Kwa mwenye video na celebrity...ndo mavideo haya yamelipuka
Nimchafue nani aslay? Mie ndo niliye mrecord?
Mie ndo niliyetuma video kwa Mange?
Mie ndo nlikua namimina Yale mafuta ya parachute au yeye mwenyewe?

Sasa kutegesha cm atege mdada, kumchafua nimchafue mie? Wee umevurugwaaa? Una stress?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muhimu ni kukwepa watu wenye njaa Kali kama wewe Una status hapa nchini...manake wengine hata milioni hawajawahi shika...wakiambiwa Mange atawapa milioni 2...wako tayari kukurekodi Kwa siri......
Tunaishi kwenye Dunia ambayo teknolojia imekuwa sana, vyema kuchukua tahadhari na tuwe waanglifu Kwa watu tunao-date nao
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umeona ipii? Maan ziko km 3, kuna za sec na dkk

Aise nimetumiwa moja muda sio mrefu na msamaria mwema wa JF
Kumbe zipo 3 loh!!

Wakuu,naombeni mbili zilizobaki tumalizane na hili...🙏
Mie nimeona ile Aslay yuko juu ya bidada kama kifo cha mende hivi,sidhani kama alikuwa anafanya nyuma
 
Back
Top Bottom