Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Huyo msaniii achana nae.

Wajukuu watakuletea iphone 14 utaweza kutumia?
View attachment 2960476
Huyo Mzee mwenzangu alishindwa hata "Kugugu" namna ya kutumia kifaa chake πŸ˜…πŸ™Œ

Napenda mashairi ya Hip Hop as huwa yanaambatana na ujumbe mahususi Kwa hadhira yake

Inanikumbusha mashairi ya Mbaraka Mwinshehe "Mtaa wa 7"

Ile nyimbo Kwa ninyi ambao hamuijui, alinitungia miye baada ya kumsimulia madhira niliyokuwa napitia kwenye nyumba za kupanga Mwaka 47 πŸ€—πŸ˜œ
 
Kama kupokea tu hajui, unadhani kugugu ndio atakuwa anajua πŸ˜‚

Hip hop is life reality, napenda sana hip hop ningekuwa najua kufoka foka ningewafokea hadi humu.
 
Kama kupokea tu hajui, unadhani kugugu ndio atakuwa anajua πŸ˜‚

Hip hop is life reality, napenda sana hip hop ningekuwa najua kufoka foka ningewafokea hadi humu.
Hatari sana πŸ˜…

Nadhani tutafute platform nzuri ya kuwasapoti Wanamuziki wetu wa HipHop walau nao waonje matunda ya kazi zao

Wanafanya kazi kubwa nzuri, lakini wanaonufaika zaidi ni Wenzao wanaoimba "....ipake iteleze kama nyoka pangoni..."πŸ™Œ


Hilo la kuanza kutufokea humu, Siku ukianza utuambie mapema tukimbie, Wazee hatujazoea kufokewa na Vijana πŸ€—
 
Nadhani platfom zipo ni wewe kwenda kutoa sapoti yako huko.

Mimi ni mzee mwenzenu
 
Hayo ndiyo maneno sasa πŸ₯‚

Kama huna hela ya bando useme nimwambie Wakala akutumie chap saivi πŸ˜œπŸ€—
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Haina haja ya bando faza.. ila usije ukasema sijiheshimu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mana ni mambo ya hovyo aiseee
 
Nadhani platfom zipo ni wewe kwenda kutoa sapoti yako huko.

Mimi ni mzee mwenzenu
Safi

Kumbe nawe umeingia kundi la Wazee?

Kuna kikao cha Chama hivi karibuni, nimeona Mhe. Rais ametualika

Kama hujawahi kuonja juisi ya Magogoni useme mapema nikupe Kadi 😜

Hiyo ndiyo faida ya Uzee tuliyonayo πŸ€—
 
We ni mse**e kwa kifupi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Haina haja ya bando faza.. ila usije ukasema sijiheshimu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mana ni mambo ya hovyo aiseee
Sidhani kama tukio hilo litakuwa geni sana kama ambalo liliwahi kufanyika Mwaka 89 Mtaa wa Ohio DSM kati ya Mbwa wa Mzungu na Dada wa Kibongo πŸ™Œ

Nasubiria Mkuu hiyo connection ili nikamilishe Kitabu changu 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…