Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Huyo msaniii achana nae.

Wajukuu watakuletea iphone 14 utaweza kutumia?
View attachment 2960476
Huyo Mzee mwenzangu alishindwa hata "Kugugu" namna ya kutumia kifaa chake ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ

Napenda mashairi ya Hip Hop as huwa yanaambatana na ujumbe mahususi Kwa hadhira yake

Inanikumbusha mashairi ya Mbaraka Mwinshehe "Mtaa wa 7"

Ile nyimbo Kwa ninyi ambao hamuijui, alinitungia miye baada ya kumsimulia madhira niliyokuwa napitia kwenye nyumba za kupanga Mwaka 47 ๐Ÿค—๐Ÿ˜œ
 
Kama kupokea tu hajui, unadhani kugugu ndio atakuwa anajua ๐Ÿ˜‚

Hip hop is life reality, napenda sana hip hop ningekuwa najua kufoka foka ningewafokea hadi humu.
 
Faza Grahams humu unafanya nini
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Nilikuwa nataka notes za kumalizia kuandika Kitabu changu, bahati mbaya bado sijazipata hadi sasa ๐Ÿ˜œ

Naona Vijana mmeamua kutunyima connection Wazee wenu ๐Ÿค—
 
Kama kupokea tu hajui, unadhani kugugu ndio atakuwa anajua ๐Ÿ˜‚

Hip hop is life reality, napenda sana hip hop ningekuwa najua kufoka foka ningewafokea hadi humu.
Hatari sana ๐Ÿ˜…

Nadhani tutafute platform nzuri ya kuwasapoti Wanamuziki wetu wa HipHop walau nao waonje matunda ya kazi zao

Wanafanya kazi kubwa nzuri, lakini wanaonufaika zaidi ni Wenzao wanaoimba "....ipake iteleze kama nyoka pangoni..."๐Ÿ™Œ

Hilo la kuanza kutufokea humu, Siku ukianza utuambie mapema tukimbie, Wazee hatujazoea kufokewa na Vijana ๐Ÿค—
 
Nadhani platfom zipo ni wewe kwenda kutoa sapoti yako huko.

Mimi ni mzee mwenzenu
 
Hayo ndiyo maneno sasa ๐Ÿฅ‚

Kama huna hela ya bando useme nimwambie Wakala akutumie chap saivi ๐Ÿ˜œ๐Ÿค—
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Haina haja ya bando faza.. ila usije ukasema sijiheshimu sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mana ni mambo ya hovyo aiseee
 
Nadhani platfom zipo ni wewe kwenda kutoa sapoti yako huko.

Mimi ni mzee mwenzenu
Safi

Kumbe nawe umeingia kundi la Wazee?

Kuna kikao cha Chama hivi karibuni, nimeona Mhe. Rais ametualika

Kama hujawahi kuonja juisi ya Magogoni useme mapema nikupe Kadi ๐Ÿ˜œ

Hiyo ndiyo faida ya Uzee tuliyonayo ๐Ÿค—
 
hahaaaaa!! Pepo la ngono halijawahi kumwacha raia salama hata siku moja.

Nilkiuwana video ya mke wa mtu nilimwomba nione kama yaliyomo yamo. Akajirekodi full.

Nilimtesa mbaya. Nilimwambia anipe tigo alisema yuko tayari. Nikakabadili msimamo, nataka pesa. Alinipa kama nilivyotaka. Baadaye niliamua kupiga mpunga. Hadi leo kawa mtumwa kwa vizawadi ilimradi asiniudhi nisijemwaga mzigo.
We ni mse**e kwa kifupi.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Haina haja ya bando faza.. ila usije ukasema sijiheshimu sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mana ni mambo ya hovyo aiseee
Sidhani kama tukio hilo litakuwa geni sana kama ambalo liliwahi kufanyika Mwaka 89 Mtaa wa Ohio DSM kati ya Mbwa wa Mzungu na Dada wa Kibongo ๐Ÿ™Œ

Nasubiria Mkuu hiyo connection ili nikamilishe Kitabu changu ๐Ÿ˜œ
 
Back
Top Bottom