Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Ulimbukeni ni tatizo la kitaifa...
Wasanii sio tena kioo cha jamii...
Ulimbukeni na elimu ndogo vitatutesa sanaaaa... Kuanzia viongozi mpaka wananchiiiii.... Ulimbukeni mbaya sana....
Tunapotea kama taifa... Sio tu kwamba hatujui tunapoenda lakini pia hatujui tutokako... MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani

Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera, umemuachia mtu kidogo simu yako kahamisha video, wewe upo makini ila video umemtumia mwenzako mzembe zinaanza kusambaa, n.k.

Sasa vuta taswira ikiwa video yako imemfikia mvujishaji alafu anasema ataitoa baada ya mwezi, hii inaitwa countdown, haya ni mateso makali sana kisaikolojia na hapo bado haijavuja, siku 2 kabla haijavuja huwezi pata usingizi, siku ikivuja utakuwa na wakati mgumu sana my friend, hata kama utajifanya everything is ok.

Unaweza kuzuga kama Lukamba kwamba hakuna kitu kimetokea unaweka picha za kutabasamu na kweli hii mbinu inafanya watu nao wapotezee lakini sio kwa watu wa karibu mnaoheshimiana

Kwa watu wa karibu unakuwa umejishusha sana heshim, watu hawa ni watoto wako, Wazazi wako, ndugu zako, mke wako, watu mnaoheshimiana, n.k
SEMA mange anaroho ngumu Sana.. hatakuua anaweza nahisi alichofanhiwa Baba Yale kilimuharibu Sana kisaikolojia
 
Tatizo watu sikuiz wanafanya Ngono/matusi badala ya kufanya mapenzi, ujuaji umezidi.!!

Mkiwa faragha mnafanya mapenzi hamuez pata huo muda wa kujirekodi
Tanzania ni nchi ya mabwege, hizo picha hazijavuja, wamerwkodi na kuvujisha kimakusudi:
1. Wanauza habari kwa mange
2. Kiki za kuzindua uzi
3. Sifa za kijinga.

Tunateswa na kutimiza malengo ya wajinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdogo ako yupii? Wee wadogo zako kwa upande wa baba wako Hong Kong, upande wa mama wako boko magengeni

Sasa unazungumzia yupiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namzungumzia mdogo wangu aslay isihaka 😂

😂😂😂 ila one day yes ntafika hongkong kwa ndugu zangu.
 
hahaaaaa!! Pepo la ngono halijawahi kumwacha raia salama hata siku moja.

Nilkiuwana video ya mke wa mtu nilimwomba nione kama yaliyomo yamo. Akajirekodi full.

Nilimtesa mbaya. Nilimwambia anipe tigo alisema yuko tayari. Nikakabadili msimamo, nataka pesa. Alinipa kama nilivyotaka. Baadaye niliamua kupiga mpunga. Hadi leo kawa mtumwa kwa vizawadi ilimradi asiniudhi nisijemwaga mzigo.
Mkuu kama ni kweli basi huyo manzi ni zwazwa huku kwetu tayari wangeshaKugeuza ndondocha.
 
🤣🤣 kwa mujibu wa sheria ya TCRA ni kosa kusambaza picha au video yenye maudhui ambayo siyo mila na desturi za watanzania. Unaweza kwenda jela miezi 6 au faini isiyopungia milioni 1 au vyote kwa pamoja.
Mkuu,
Naona umeamua kuutetea uchoyo kwa kutumia vifungu vya sheria sawa bwana faidini wenyewe tu sasa😢😰
 
Hujasikia MwanaFA aliwahi kuimba "Ukiwa Mkubwa utatamani kuwa kama Mimi, shati navaa la Jana ila gari nimebadiri" 😅🙌

Nisaidie kunipigia chapuo Kwa Wajukuu zangu waninunulie Babu yao Smartphone mpya 😜
Huyo msaniii achana nae.

Wajukuu watakuletea iphone 14 utaweza kutumia?
Screenshot_20240407_091323.jpg
 
Back
Top Bottom