DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hizo video Mimi huwa nazisikia wala siwezi kuchoma bando kutazama ujinga Kama huo.
Aslay na wasanii wakibongo wengi hawana mpango wa kufika juu wana complacent attitude hali ya kuridhika na hapo walipo.
Hasara wanazopata hawa wacheza X
Huwezi kupata credibility katika Decent company as well huwezi kuwa reputable the same u used to be.
Hiyo mil 2 wanazolipwa na Mangie ili wamuuzie hizo clip ni hela ndogo Sana to compare with trusting and credibility. Utakayoipoteza.