Kuweka mpango wa kuzaa nakubalianaSi tu Mungu hayupo pia hajawahi kuwepo na hatakaa awepo.
Kama kila kitu kina chanzo chake, Je chanzo cha Mungu ni nini?Kuweka mpango wa kuzaa nakubaliana
Hilo La Mungu nakupinga hauko sahihi
Wasomi na wansayansi wanakubaliana na uwepo Mungu
Kila kitu kina chanzo chake
Ebu ni tag ule Uzi wako wa kuzaa mapema .
Ungeanza kukubali kwanza uwepo wa MunguKama kila kitu kina chanzo chake, Je chanzo cha Mungu ni nini?
Usiniambie Mungu hana chanzo, Usifosi ulimwengu uwe na chanzo halafu Mungu asiwe na chanzo.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.Ungeanza kukubali kwanza uwepo wa Mungu
Ndo tunaweza kujadili
Lakini kukupa jibu kuhusu Mungu ambaye hukubali uwepo wake Haina mantiki kwako
Anza kukubali kwanza uwepo wa Mungu Ili nijibu swali lako
Nguvu kazi ya uzalishaji haitokani na kuwepo kwa maskini wengi.Sasa maskini wasipozaliana na kuongeza nguvukazi katika shughuli za uzalishaji hao unaowaita matajiri watamnyonya nani ili hatimaye waonekane ni matajiri??? Maana matajiri walio wengi huwanyonya maskini na Kuonekana kuwa ni matajiri. Na ili tajiri aonekane kuwa ni tajiri lazima awepo mtu anayeitwa maskini ndipo comparison huweza kukudhihirika.
Dah aloo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kiukweli its not fair..