Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
MM NADHANI WEWE NDUGU YANGU TAJIRI HUJAWAZA KWA KINA.

Ili wewe tajiri uitwe tajiri lazima awepo masikini.
Masikini anamtumikia tajiri
Tajiri anavuna kwa masikini.

HIVYO BASI HAKUNA UTAJIRI BILA MASIKINI.
 
MM NADHANI WEWE NDUGU YANGU TAJIRI HUJAWAZA KWA KINA.

Ili wewe tajiri uitwe tajiri lazima awepo masikini.
Masikini anamtumikia tajiri
Tajiri anavuna kwa masikini.

HIVYO BASI HAKUNA UTAJIRI BILA MASIKINI.
Daah! Hii mindset ya kwamba maskini anamtumikia tajiri nadhani iko sana Africa.

Jimbo la California nchini Marekani lina matajiri wengi sana na wanafanya kazi bila kujali utajiri wao.

Afrika ili uonekane tajiri, watu mmejenga mtazamo wa mtu aonekane ana relax kwenye mahoteli, anapiga picha na ndinga kali. Hapo ndio mnaita tajiri.

Ndio maana yule kijana Chief Godlove anaonekana tajiri sana kwa mafukara wengi hapo bongo, kumbe ni janja janja tu.
 
Nimekuelewa
 
well said kiongozi..
na mimi niongezee..

Kuna hawa wengine ukizaa watoto unatelekeza kwa wazazi, kila ukizaa unatelekeza watoto kwa wazazi, wazazi wenyewe umri umekwenda wamechoka, wamekulea wewe hadi umejitambua mtu mzima bado tena unampa mzazi alee wanao/mwanao, pesa yenyewe ya matumizi hutumi jinsi ulivyo shetani... laana haitokuacha... upo unakula maisha na unaendeleza umalaya wako kama kawaida...

Kuna majitu ni mbwa kasoro mkia... kama unafahamu haupo tayari unazaa ili iweje? jaribu kupunguza kuendekeza nyege... pumbaf..
Dah!,ni kwel kabisa usemayo
 
Kuwa mtoto wa maskini sio sifa.

Watoto wa maskini kutoka kimaisha sio kigezo cha kuhalalisha na kutetea masikini mafukara kuzaliana.

Huu ni ujinga.

Kwanza Hakuna Mungu.

Hakuna Mungu anayepanga hatima ya binadamu.

Hakuna Mungu anayekusaidia kuzaa watoto, Hivyo hivyo Hakuna Mungu wa kukusaidia malezi na mahitaji ya watoto wako..!!!

Watoto wako ni JUKUMU LAKO. Wajibika.

Usilete dhana uchwara za Mungu. Mungu hayupo.

Zaa Watoto ukiwa na uwezo wa kuwahudumia.

Kama huna uwezo wa kuhudumia, Funga hiyo zipu.

Usilete mawazo mgando ya kimaskini.

Hakuna Mungu wa kukusaidia malezi.

Malezi ni jukumu lako wewe, pamoja na huyo mliyezaa nae.

Let this sink deep in your mind.
Upo sahihi ila umekosea kusema mungu hayupo,,,futa kauli yako
 
Pumbavu ni baba na mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Don't come to vomit your nonsense here. Kafie mbali nyang'au wewe.

Halfwit bastard.
Unatakiwa kupigwa ban kwa kutukana, Pambavu kwa lugha yetu ya King'ongiko ni (mtu asiye na adabu)
Narudia tena Pambavu, maana kwamba huna adabu, na ukiendelea kukosa adabu nitakukimbiza mwendo wa mbwa ulimi nje.
 
Kuna mtaa nilipita nikaona watoto wanavyoteseka kwa ugumu wa maisha. Inaumiza,

Sheria ya kutoa mimba inabidi ipitishwe kupunguza na Elimu ya uzazi wa mpango inabidi itolewe mashuleni.

Zaa zaa isiyofuata taratibu Sahihi inaongeza umaskini.
Kutoa mimba ni dhambi kubwa kuliko umasikini
 
Mungu anakuamuru uzae?
Sio nyege zenu? 😹
😅😅😅Sio nyege mm nilimzalishaga mjimama ambaye alikuwa na shida ya uzazi mme wake kamuacha kisa hazai mnyamwezi nimedate naye ndani ya miezi miwili ikanasa harafu alikuwa over 40 mm nikiwa kwenye 20+
 
Unatakiwa kupigwa ban kwa kutukana, Pambavu kwa lugha yetu ya King'ongiko ni (mtu asiye na adabu)
Narudia tena Pambavu, maana kwamba huna adabu, na ukiendelea kukosa adabu nitakukimbiza mwendo wa mbwa ulimi nje.
Feelings na emotions zako usizilete hapa.
 
Mungu yupo ndo maana katupa akili tutumie vizuri

Akili ni pamaja kuweka mpango wa watoto wako utakavyowalea sio kuzaa holela

Maandiko yanasema mwenye haki huachia Wana wanae urithi

Yaani Hadi wajukuu wako inatakiwa uandalie mazingira bora
 
Back
Top Bottom