Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Maisha yenyewe ni mateso, kuteseka isiwe sababu ya kutofanya dhumuni lako kuu.

Binadamu ni mnyama/ kiumbe ambaye lengo kuu ni kuendeleza kizazi.

Hivyo zaeni ila msisahau kulea Ili kiumbe kiweze kuwa imara kuweza kukabili mazingira yake
 
c3f667f7c6c040b80c50c05a9ba2834c.jpg

59e6c7b6b08e8c471d54e45dd8fe80d9.jpg

249695b3fafdb4943c64b20acbc22c88.jpg

84c09cc74b4f95268e4a80193155cb59.jpg

ebde5e80fb12d777282f09a820258d1c.jpg

Kiukweli its not fair..
Cha ajabu hii miamba immune ya kutosha.
 
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids to this world. Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Sio Kila mtoto huzaliwa kwa Mapenzi ya mzazi wengine huzaliwa ni kwamspenzi ya Mungu mwenyewe so usilaumu watu
 
Kama unao utajiri wa kutosha na unachukia umaskini, wape ajira hao wenye kipato duni kisha walipe ujira wao kadri ya uwezo wao kuzalisha bila kuwapunja. Watanufaika wao nanvizazi vyao. Utajiri huendana nankuzalisha ajira kwa wengine.
Hapa suala si ajira.

Suala ni mtu kuwa maskini kuzaa maskini mwingine duniani.
 
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids to this world. Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Punguza ukali,😅
 
Tizama na mfumo wa binadamu ulivyo kufanya ngono kupata starehe ya kimwili inayoendana na matamanio hali hiyo kila mtu lazima awe nayo jambo la umaskini imatengemea tu mfumo wa mazingira hali mliojiwekea ndio inafanya kuwa maskini nakujiona maskini, ili binadamu kuendelea kuwepo hii sayari tuzaliane ?
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kuna watu huko vijijini wanazaliana sana halafu wana hali duni.

Starehe ya muda mfupi inaendeleza umaskini kizazi hadi kizazi.

Maskini hapaswi kuzaa kabisa.
 
Back
Top Bottom