Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
- Thread starter
- #81
Sawa nini?Mkuu uko sawa wewe kweli?
Kwenye nini?
Jadili mada, usinijadili mimi.
Kwanza huna kipimo cha usawa.
Sawa nini?Mkuu uko sawa wewe kweli?
Watoto wangapi wa masikini wamekomaa kitaa na wametoka kimaisha, mostly Tanzania one wenye ufaulu mkubwa ni watoto wa masikini na wamekuja kuwa na maisha mazuri, mkuu usichukue nafasi Mungu hata kidogo Mungu ndiyo hupanga hatima ya wanadamu ,masikini kwa kuzaliana hiyo kwao itoshe kuwa ndiyo faraja yao kuu na Mungu uwawezesha hata kuwalea watoto pasipo shida,duniani tunahitajiana usiweke misemo ya ubaguzi ukajichumia nuksi na usichukue nafasi ya Mungu kamweIshu sio kuwa tajiri, bali kuwa na uwezo wa kuhudumia watoto kwenye kila kitu.
Sizungumzii huo utajiri wa kina Bakhressa, Dangote au Elon musk.
Sio kwamba hawajui.Unayo Point kubwa sana Ila umetumia kauli Kali sana ambayo wengi hawatafikiria point yako watafikiria ukali namna ulivyoitoa.
Ki ukweli Dunia haina huruma, Na watoto ni Gharama sana, Hili swala liko wazi kabisa
Jibu ni kuwa Watu wenye kipato cha chini Hawana elimu ya namna ya kuzuiya upatikanaji wa mimba. Hivyo wao wakati wana sex kwaajili ya kujiburidisha ndo wanajikuta huko huko mimba zinatungwa.
Watoto wengi wanapatikana katika muda wazazi wao wanapeana raha wala sio katika malengo ya kupata mtoto.
Kuna muda unapita mahali unamkuta mama anafanya biashara ambayo yaonyesha haina hata faida kubwa, amechoka amechakaa piaa ana watoto wadogo wamekaribia ki umri, Yaan maisha ya tabu ila bado anawatoto kama wote.
Ukikaa nae ukimuuliza ukweli atakujbu anateseka watoto wanatakiwa kula wanatakiwa malazi , na nguo.
Hapa ndo jibu linakuja Wengi hupata watoto kwa bahati mbaya( ambayo mimi naeza sema inazuilika kwani njia za uzazi zipo)
Kuwa mtoto wa maskini sio sifa.Watoto wangapi wa masikini wamekomaa kitaa na wametoka kimaisha,
Kwanza Hakuna Mungu.mostly Tanzania one wenye ufaulu mkubwa ni watoto wa masikini na wamekuja kuwa na maisha mazuri, mkuu usichukue nafasi Mungu hata kidogo Mungu ndiyo hupanga hatima ya wanadamu
Usilete mawazo mgando ya kimaskini.,masikini kwa kuzakiana hiyo itoshe kuwa ni faraja ya kuu na Mungu uwawezesha hata kuwalea watoto pasipo shida,duniani tunahitajiana usiweke misemo ya ubaguzi ukajichumia nuksi na usichukue nafasi ya Mungu kamwe
Solve your poverty first.What you're talking is all about your EGO AND ARROGANCE nothing else.
Ego is at work , future is uncertainty none can see tomorrow. Anything can happen.
You're feeling right now at the top of the world so you've power to instruct them how to live.
Hawa ndio wanakuja kusumbua ndugu zao na jamaa zao kutaka wawasaidie kulea watoto wao.Ndio starehe yao iliyobakia, unataka wafanyeje? Hasa kipindi cha baridi.
It's all about ego emotion at work.Solve your poverty first.
Don't bring innocent kids into this world to come and suffer because of your lust.
You're the one reacting with your emotions instead of reasoning critically.It's all about ego emotion at work.
Try to read and understand.You ain't using logic so I don't argue with you.
You have lust, also you have your brain power to control that lust.Why do you think man has given lust by nature.
I'm not talking about success of human beings.Do you think nature intended to live modern life?
How do you measure success of human being.
Kauli hizo mkuu 😳😳Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.
Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.
Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.
Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.
Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?
Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?
Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.
Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.
Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.
Solve your poverty first, before bringing kids to this world. Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Pia soma,
![]()
Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...www.jamiiforums.com
View attachment 3438584
Wewe sio infropreneur ninj ninayekujuaMatajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Mwehu ni Baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.We ni mwehu kabisa
Mbupu ni mama yako aliyezaa tahira kama wewe unaharisha uharo tu hapa!watu tumezalisha watoto lukuki na hatufikirii mambo ya wali, Ugali maharage boya wewe.
Wako viizuri na huduma zote wanazo.
We unatukana watu hapa usikute hata mama yako tulshapita nae.
Kuwa na adabu wewe mbupu.
Aolewe yeye ka vp.Wewe ni ommy Dimpoz?
Leo nimeona sehemu kapost uchumi wake mbovu kuwa na familia
View attachment 3438581
Hakuna Mungu.
Hakuna mapenzi ya Mungu yanayo zalisha watot
Hakuna Mungu.
Hakuna mapenzi ya Mungu yanayo zalisha watoto.
Wewe una shida ya akili maana umeongea point lkn kijinga bado unafikilia kama mpumbavu kuwa hakuna Mungu unadhani matajili hawafi wangapi wenye uwezo wamekufa na madeni majumba yao yamepigwa mnada watoto wamebaki machokora usiongee sana weka maneno ya akiba coz hata hujui mwisho wako pia mwisho wa siku watu wengi walio wakuu duniani wametokea familia duni hahaha ndio Ujue Mungu sio babu Yako kunge kuwa hakuna Mungu Kila tajili angetamni atumie hela zake Messi, Ronaldo au Diamond wazaliwe kwenye familia zao ila kwa kuwa Mungu ndio mpji wote hao walizaliw familia maskinHakuna Mungu.
Hakuna mapenzi ya Mungu yanayo zalisha watoto.
Hatakiwi kuzaa kabisa.Hii lugha kali sana, masikini anatakiwa kuzaa watoto wawili tu.
Tayari kuna mamilioni ya watu nchi hawana kaziTaifa lazima lipate nguvu kazi,ungeweka vigezo vya utajiri na umasikini kuhusisha na mada yako-yamikini tungechambua mada yako kiupana zaidi.