To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
HakikaKwa nini ulete kiumbe duniani kije kiteseke?
Kwa nini usipambane na umaskini wako kwanza?

Kati ya watu wachache waliobarikiwa kupata majirani boora kabisa.
Imefikia kwenye mk* und wa Baba yako.Usikute naongea na jitu janaume linalopakatwa hapa.
Ile mimba yako ya nyuma imefikia Wapi we Ndubu.
Sio lazima waniombe hela mimi, ila wanaomba hela ndugu zao na jamaa zao.Asa hasira za Nini!? Kwani wamekuomba hela?
Kama huna pesa hao watoto utawalisha mawe?Kuwa na familia na watoto sio suala la kuwa na pesa tu it's all about sarcrify ni kujitoa kwa muda wako na akili yako suala la pesa ni ziada tu. Aisee..! Naona vijana wa sasahivi ni waoga sana wa majukumu.
Kwa nini unazaa kama huna uwezo wa kuhudumia watoto?Kwa hiyo tusipozaa ndio tutatajirika ?
Wewe huzi unazo mkuu?Aisee, ila inategemea umekaa position gani.
Mimi mwenyewe nikiona huna uwezo wa kuingiza USD 20K/month na account yako haina balance ya USD200K nakuona masikini sana na huhitaji kuwa na familia.
ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Kwani kuwepo JF kuna husiana vipi na ufukara?Baba yako asingekuzaa akiwa fukara leo hii wewe usingekuwepo hapa jf
Babu zako wangekuwa na haya mawazo wewe ungezaliwa?Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.
Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.
Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.
Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.
Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?
Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?
Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.
Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.
Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.
Solve your poverty first, before bringing kids into this world.
Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Pia soma,
![]()
Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...www.jamiiforums.com
View attachment 3438584
Utajua hali za wazazi wako, kutokana na malezi watakayo kuwa wanakupa wakati wa makuzi yako.We unajuaje wakati unazaliwa wazazi wako walikua na hali gani?
😅😅😅Wewe unataka kumtwika mwanao, mzigo wa ufukara wako ulioshindwa kuumaliza mwenyewe.
Kwani hao babu zangu walijua kwamba watanizaa mimi au walikuwa kwenye starehe zao tu?Babu zako wangekuwa na haya mawazo wewe ungezaliwa?
Au haujui binadamu alikuwa anaishi kwenye mawe na miti
Tumia akili kwa dunia ya sasa ,mambo ya kuzaa ni kujitafutia matatizo.Babu zako wangekuwa na haya mawazo wewe ungezaliwa?
Au haujui binadamu alikuwa anaishi kwenye mawe na miti
Kuzaa na kuijaza dunia ni uhuru wako kabisa lakini uwe na uwezo wa kuhudumia hao watoto unaowazaa.Imeandikwa enendeni mkaijaze Dunia, sasa Mimi ni nani hata nipinge maandiko?
Mi binafsi huwa natamani nizae na kila taifa ikiwezekana nizae na Mchina ,mjapani,mkenya,mtanzania,marekani,yaani ikiwezekana nizae na nnchi zote 195 duniani 🤗🤗🤗
Niko na swali moja mkuu,inavyojulikana pesa huja na kuondoka.Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.
Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.
Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.
Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.
Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?
Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?
Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.
Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.
Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.
Solve your poverty first, before bringing kids into this world.
Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Pia soma,
![]()
Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...www.jamiiforums.com
View attachment 3438584
Mkuu with all due respect naomba kutofautiana na wewe kuhusu "masikini" kuzaa watoto……. Maybe wengine TUSINGEZALIWA 😂Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.