Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Japo kabla ya Kuzaa watu wajitafakari kwanza. Kama Uwezo wa kulea wanao.

Unazaa halafu Mtoto anashinda Jamatini kuomba omba kwa wapita njia.

Unazaa halafu unaanza kutumia Mtoto kama kitega uchumi. Unaanza kulalamikia ndugu na jamaa kwanini hawakusaidii kulea Mtoto wako.

Kubwa kuliko unazaa halafu unatupa Mtoto vichakani au Chooni.

Exception kwa wale Mabinti na wanawake Waliobakwa.
(Yaani kwa Lazima bila ridhaa yao) Sio hawa wanaovua Chupi wenyewe halafu Gavooo inasema wamebakwa, Hell No.

Ni Ajabu.
 
In disguise ameamua kuanzisha VITA na matajiri wanopenda kupata Cheap Labour .

Kwakuwa MTU mwenye Mali za kutosha hata akiwa na watoto 20 bado watoto wake hawawezi kuwa vibarua wa wahindi au wachina au kutumikishwa kwenye bodadaboda kupeleka wake za watu guest.

So uwepo wa masikini wengi ni faida kwa matajiri kwakuwa ni ecosystem -Circle Samaki mkubwa anamla samaki mdogo.
Hutaki watu wapate cheap Labou
 
Hakuna anayependa kuzaliwa aje kuwa cheap labour.

Hakuna anayependa kuzaliwa kwenye umaskini.

Kila mtu angekuwa anapambana kwanza kujitoa kwenye umaskini kabla ya kuzaa watoto, Kusingekuwa na rundo la watoto maskini wanaohangaika na kuteseka duniani.

Kuna kundi kubwa la watoto maskini wanaohangaika na kuteseka duniani kwasababu ya mafukara yanayo endeleza ngono zembe zinazo pelekea mimba zisizotarajiwa.

Hakuna aliyependa kuzaliwa iwe mtoto wa tajiri au mtoto wa Maskini.
Kuzaliwa ni Bahati.
Kuzaa inaweza kuwa Makusudi.

Acha watu wazae Cheap Labour.
Mwenye huu mradi ana akili sana kuruhusu jambo hilo. Wewe tuu ndio hujaona
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
acha wivu wa watoto wa jirani
 
Mungu ameumba kila kiumbe kwa sababu maalum
Kila mtu au mnyama MUNGU amewaleta kwa makusudi maalum
Kinyume cha njaa ni shibe
kinyume cha hasi ni chanya
the law of unit and opposite of struggle
third law of motion to every action there is an equal and opposite reaction
Kinyume cha masikini ni tajiri
bila uwepo wa tajiri masikini hawawezi kuishi
Hali kadhalika bila uwepo wa masikini tajiri hawezi kuishi
Watu wote duniani imagine wawe matajiri nani watafanya kazi za kuajiriwa kwa matajiri
Gari la tajiri nani ataliosha,nani atakuwa watchman kwa tajiri
nani atakuwa mpishi wa tajiri
Point yako ni nzuri mno ila ungeweka sawa kusema kuzaa watoto wengi bila mpango
Ila kutokuzaa kabisa kisa eti mtoto utamleta kwenye umasikini hata kwa mungu ni dhambi alisema zaeni mkaongezeke.Kuna kabila moja hapo kati mwanamke akifa hajazaa wanamsokomezea gunzi matakoni wana mtukana mni wakooo.

Hawa maraisi wengine duniani unaowaona wametokea kwenye maisha ya ufukara sana na tena wengine wametokea kwenye nyumba za kulelea watoto yatima
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Ulipozaliwa wewe. Baba na mama yako walikuwa na shilingi ngapi kwenye account?
 
Hakuna aliyependa kuzaliwa iwe mtoto wa tajiri au mtoto wa Maskini.
Kuzaliwa ni Bahati.
Kuzaa inaweza kuwa Makusudi.
Na ndicho mafukara wanachofanya wanazaa watoto kwa makusudi bila kuwa na uwezo wala plan zozote za kuhudumia.
Acha watu wazae Cheap Labour.
Mwenye huu mradi ana akili sana kuruhusu jambo hilo. Wewe tuu ndio hujaona
Kungekuwa na uwezekano mafukara wote ni kuhasiwa maana wanaendeleza umaskini duniani.
 
Ulipozaliwa wewe. Baba na mama yako walikuwa na shilingi ngapi kwenye account?
Walikuwa na pesa ya kutosha kunilea na kunipatia huduma zote za kibinadamu.

Au wewe wazazi wako walikopa hadi hela ya kwenda zahanati kukuzaa?
 
Kuzaa sio ttzo mleta mada
Tatizo ni kuzaa watoto wengi nazani ungewashauri wasizae watoto wengi
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Tuache na watoto wetu. wewe zaa moja.
 
Ndio ilmu dunya inavo wadanganya,

Acha ukafiri wewe na wenzako...
Kila mtoto anakuja na ridhiki yake hata wakiwa kumi kwNza ndo mungu anapenda😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom