Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Dunia imeshajaa.Unaongea hivyo kwa madaraka gani dhidi ya mungu!!, Mungu aliposema enendeni mkaijaze dunia,aliwaambia binadamu,na anajua wao si matajiri na pia hawana uwezo wa kulea, maana kulea ni uwezo wake, Riziki anatoa yeye.