Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Mungu ameumba kila kiumbe kwa sababu maalum
Kwanza Hakuna Mungu.

Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Kila mtu au mnyama MUNGU amewaleta kwa makusudi maalum.
Viumbe havijaletwa na wala haviletwi na Mungu.

Viumbe vinazaliana vyenyewe kwa vyenyewe.

Hakuna Mungu aliyeleta au anayeleta viumbe duniani.

Mungu hayupo.
Kinyume cha njaa ni shibe
kinyume cha hasi ni chanya
the law of unit and opposite of struggle
third law of motion to every action there is an equal and opposite reaction
Kinyume cha masikini ni tajiri
bila uwepo wa tajiri masikini hawawezi kuishi
Hali kadhalika bila uwepo wa masikini tajiri hawezi kuishi
Watu wote duniani imagine wawe matajiri nani watafanya kazi za kuajiriwa kwa matajiri
Aliyekwambia kwamba ili kazi zifanyike lazima kuwapo matajiri na maskini ni nani?

Kwani kazi zinahitaji matabaka ili zifanyike?
Gari la tajiri nani ataliosha,nani atakuwa watchman kwa tajiri
nani atakuwa mpishi wa tajiri
Point yako ni nzuri mno ila ungeweka sawa kusema kuzaa watoto wengi bila mpango
Ila kutokuzaa kabisa kisa eti mtoto utamleta kwenye umasikini hata kwa mungu ni dhambi alisema zaeni mkaongezeke.Kuna kabila moja hapo kati mwanamke akifa hajazaa wanamsokomezea gunzi matakoni wana mtukana mni wakooo.

Hawa maraisi wengine duniani unaowaona wametokea kwenye maisha ya ufukara sana na tena wengine wametokea kwenye nyumba za kulelea watoto yatima
Kwanza ufukara sio sifa.

Raisi fulani kutokea kwenye umaskini sio kigezo cha kuhalalisha na kujifariji na umaskini.

Mtu kama anajua hana uwezo wa kuhudumia watoto anazaa ili nini, kama sio kuongeza maskini mwingine duniani?
 
Naunga mkono hoja na pia naunga mguu hatua ya omari kutoanzisha familia mpk ajipate, mleta mada, maskini ni wa.pumbv sana! Kwa sbb wanaleta viumbe wateseke duniani bila sbb za msingi.
Si unaona wanavyokuja hapa kutoa mapovu?

Kwa sababu wanajua wao ndio wahusika wenyewe, wanazaliana kama mapanya, Hii mada imewapiga kwenye mshono.
 
Ndio ilmu dunya inavo wadanganya,
Hiyo ilmu dunya inahitaji reform.

Maana inapumbaza na kuwajaza watu upumbavu.
Acha ukafiri wewe na wenzako...
Kila mtoto anakuja na ridhiki yake hata wakiwa kumi kwNza ndo mungu anapenda😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo Mungu na yeye anahitaji kufurushwa huko alipo maana anaacha maelfu ya watoto wanazaliwa kwenye umaskini na kutelekezwa na mafukara yasiyotaka kuwajibika.
 
China ndio nnchi yenye watu wengi duniani mbona hawana umaskini ukiacha watu kuzaa sana pia kama nnchi bado hatujautendea haki uchumi wetu lakin pia huwezi sema now watu wanazaa sana kma zamn ww waguse tu bibi zetu akiwa na watoto wachache ni 10+ now days mtu akizaa sana ni watoto 5 hapo lkn changamoto kubwa ipo katika uchumi wetu ndiomna tunakataa wahuni kwa ukubwa wa nnchi yetu bado sana kulalamika kuhusu population ila elimu inahitajika hasa huko vijijin na Mungu yupo
Gharama za maisha za zamani sio sawa na leo.

Zamani mahitaji mengine yalipatikana shambani na kwenye mifugo ya kina bibi hao.

Sasa leo hii utalisha watoto kibao kwa kulima wapi hapa Dar?
 
"Nataka wa Tanzania waende wakazaliane, sawa ndugu zangu!?"....
 
You halfwit bastard gerarahere!!
Shut the fck up wewe punga sese!

Hizo shilingi mbili tatu ulizorithi zisikufanye kuja jukwaani kusimamisha mabega kupangia watu maisha.

Hao masikini unaowadhihaki hapa ndio wanaendesha uchumi wa nchi yako, unafikiri watoto wa matajiri wanaweza kufanya kazi viwandani na mashambani kwa ujira wa buku 5 kwa siku!? Madafaka!!!

Kuna sababu za kuwepo matajiri na masikini, kundi moja lisipokuwepo mambo hayawezi kuwa sawasawa, haya makundi mawili yanategemeana.

Pia elewa, leo unaweza kuamka tajiri, kesho ukaamka masikini. Kuna watu walizaliwa kutoka familia masikini, lakini wakaja kufanya mambo makubwa na kubadilisha hii dunia, lakini bwege kama wewe ambaye hata hapo mtaani kwako hakuna cha maana umefanya unaleta dharau na kutaka kuwanyang'anya masikini haki zao za kibinadamu. Fak yuuuuuh!!!

Kuzaliwa masikini sio kosa, kufa masikini sio kosa pia, bwabwa wewe!!!
​
 
"Nataka wa Tanzania waende wakazaliane, sawa ndugu zangu!?"....
Kuzaa ni uhuru wa kila mtu, lakini pia watu watambue watoto ni gharama.

Watoto wanahitaji kula, kuvaa, kusoma, kutibiwa. Na vitu vyote hivi vinahitaji pesa.
 
Shut the fck up wewe punga sese!​
Punga sese! ni Baba na Mama yako waliozaa punguani ambaye huna hoja. Unakuja hapa kuharisha uharo tu.

Senseless idiot.

Ubongo wako una udumavu kwa sababu wazazi wako walikuzaa kwenye ufukara hadi sasa huwezi kujenga hoja.

Ulipata utapiamlo udogoni ukaathiri afya yako ya akili.

Hizo shilingi mbili tatu ulizorithi zisikufanye kuja jukwaani kusimamisha mabega kupangia watu maisha.​
Hakuna sehemu umepangiwa maisha wewe kinyamkera.

Nakwambia hivi, Zaa watoto ukiwa na uwezo wa kuhudumia sio kuzalisha kama panya buku, halafu huna uwezo wa kuhudumia watoto.

Una elewa wewe kichwa maji?

Hao masikini unaowadhihaki hapa ndio wanaendesha uchumi wa nchi yako, unafikiri watoto wa matajiri wanaweza kufanya kazi viwandani na mashambani kwa ujira wa buku 5 kwa siku!? Madafaka!!!​
Umaskini sio sifa wewe nyang'au.

Pambana na umaskini wako kwanza, Sio uje uwatwike wanao mzigo mzito wa ufukara wako ulioshindwa kuumaliza mwenyewe.

Are you there you phool?

Kuna sababu za kuwepo matajiri na masikini, kundi moja lisipokuwepo mambo hayawezi kuwa sawasawa, haya makundi mawili yanategemeana.​
Mambo gani hayawezi kwenda sawa?

Au unafikiri matajiri watashindwa kuendesha maisha yao maskini wakikosekana?

Pia elewa, leo unaweza kuamka tajiri, kesho ukaamka masikini. Kuna watu walizaliwa kutoka familia masikini, lakini wakaja kufanya mambo makubwa na kubadilisha hii dunia, lakini bwege kama wewe ambaye hata hapo mtaani kwako hakuna cha maana umefanya unaleta dharau na kutaka kuwanyang'anya masikini haki zao za kibinadamu. Fak yuuuuuh!!!​
Fak your entire poor generation!!!

You bring nothing to this world than poverty.

Kazi kuzaliana tu kuendeleza generational poverty.

Kuzaliwa masikini sio kosa, kufa masikini sio kosa pia, bwabwa wewe!!!
​
Wajinga kama wewe, ndio mnazaa Watoto kama simbilisi mkitegemea waje kuwatoa kwenye umaskini mlioshindwa kuumaliza wenyewe.

Gerarahere..!! Don't come to vomit your poverty here.
 
Unataka usizae ili uifute Dunia?maana ikiwa Kila masikini hazai itafikia wakati watu wote wataisha duniani na kubaki wanyama,miti,mawe na wadudu tu
 
Uzazi hauna uhusiano na fweza kijana, sisi tumezaliwa na kukua ndani ya zizi la mbuzi lakini leo hii tunaiwakilisha shithole country kwa wakubwa huku duniani na waliozaliwa kwenye sofa wanapiga uchawa tu!

Hamna mtu mwenye mkataba na Mungu ndo maana Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na alikuwa mwana wa Mungu

Roho inayokuja duniani ina destiny na ina mission kamili anayejua aliyeiumba tuache kukariri wala kujudge vijana!
 
Punga sese! ni Baba na Mama yako waliozaa punguani ambaye huna hoja. Unakuja hapa kuharisha uharo tu.

Senseless idiot.

Hakuna sehemu umepangiwa maisha wewe kinyamkera.

Nakwambia hivi, Zaa watoto ukiwa na uwezo wa kuhudumia sio kuzalisha kama panya buku, halafu huna uwezo wa kuhudumia watoto.

Una elewa wewe kichwa maji?

Umaskini sio sifa wewe nyang'au.

Pambana na umaskini wako kwanza, Sio uje uwatwike wanao mzigo mzito wa ufukara wako ulioshindwa kuumaliza mwenyewe.

Are you there you phool?

Mambo gani hayawezi kwenda sawa?

Au unafikiri matajiri watashindwa kuendesha maisha yao maskini wakikosekana?

Fak your entire poor generation!!!

You bring nothing to this world than poverty.

Kazi kuzaliana tu kuendeleza generational poverty.

Wajinga kama wewe, ndio mnazaa Watoto kama simbilisi mkitegemea waje kuwatoa kwenye umaskini mlioshindwa kuumaliza wenyewe.

Gerarahere..!! Don't come to vomit your poverty here.
Wewe madhafaka usipangie watu!!!

Kuzaa ni haki ya binadamu wote, haijalishi ana hali gani ya kiuchumi.

Wewe kama ni bwabwa, hauna uwezo wa kuzalisha baki na ubwabwa wako, usitake watu wote wafanane na wewe.

Ebo!!!
 
Unataka usizae ili uifute Dunia?maana ikiwa Kila masikini hazai itafikia wakati watu wote wataisha duniani na kubaki wanyama,miti,mawe na wadudu tu
Dunia haiwezi kufutika kamwe.

Mafukara yasipo zaliana, hata uhalifu utapungua duniani.

Uhalifu unaongezeka duniani kwa sababu ya mafukara yanayozaa watoto na kuwatelekeza kisha watoto hao wakiingia mtaani ndio wanageuka kuwa vibaka, wezi, malaya na majambazi.
 
c3f667f7c6c040b80c50c05a9ba2834c.jpg

59e6c7b6b08e8c471d54e45dd8fe80d9.jpg

249695b3fafdb4943c64b20acbc22c88.jpg

84c09cc74b4f95268e4a80193155cb59.jpg

ebde5e80fb12d777282f09a820258d1c.jpg


Kiukweli its not fair..
Kusambaza hizi picha kwa kigezo cha uzazi ni kukiuka haki za binadamu. Umejiridhisha kama hao watoto wapo hivo kwa sababu za vita na wakubwa wa nchi kujimilikisha maliza wananchi kwa ubinafsi wao.
 
kwa tz yetu tukisema tusizae kisa uchumi,, hakika ukimya utatawala robo tatu ya taifa
Kuna tatizo gani ukimya ukitawala robo tatu ya taifa??
Canada ni kubwa mara kumi ya Tanzania kwa eneo, ina rasilimali nyingi kuliko Tanzania na ina watu milioni 40 tu.
 
Wewe madhafaka usipangie watu!!!
Kafie mbali wewe kichwa maji.

Sijakuleta kwenye huu uzi.

Gerarahere.
Kuzaa ni haki ya binadamu wote, haijalishi ana hali gani ya kiuchumi.
Sawa sikatai. Kuzaa ni haki ya kila mtu.

Lakini kabla ya kuzaa tambua kwamba huzai panya, unazaa binadamu anayehitaji kula, kuvaa, kusoma na kutibiwa.

Una elewa wewe?
Wewe kama ni bwabwa, hauna uwezo wa kuzalisha baki na ubwabwa wako, usitake watu wote wafanane na wewe.

Ebo!!!
Unapenda sana kuandika hili jina la
"bwabwa" Hii ni ishara tosha umeshafukunyuliwa huko nyuma.

Ndio maana kila dakika unaandika suala hili la ubwabwa.
 
Dunia haiwezi kufutika kamwe.

Mafukara yasipo zaliana, hata uhalifu utapungua duniani.

Uhalifu unaongezeka duniani kwa sababu ya mafukara yanayozaa watoto na kuwatelekeza kisha watoto hao wakiingia mtaani ndio wanageuka kuwa vibaka, wezi, malaya na majambazi.
Hata watu matajiri wanafanya uhalifu sana, white collar crime.
 
Kasome historia ya founder wa KFC ndipo utapata jibu kwamba kuzaa hakuna uhusiano na kuwa na kipato cha juu wala cha chini ni maamuzi yako tu.
Tunapambana na umasikini kwa miaka nenda rudi na tunapiga hatua huku tukiitazamia kesho bora zaidi sasa ya nini nisizae eti kisa sina kikubwa leo wakati nakiona kikubwa kesho? Kikija kikubwa nitazaa kama panya ili nipate wa kutumia hiyo pesa ?
Ni maiti peke yake ambaye hana matumaini ya kufaulu zaidi na wewe mleta mada ni maiti kichwani
 
Back
Top Bottom