Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Unayo Point kubwa sana Ila umetumia kauli Kali sana ambayo wengi hawatafikiria point yako watafikiria ukali namna ulivyoitoa.

Ki ukweli Dunia haina huruma, Na watoto ni Gharama sana, Hili swala liko wazi kabisa

Jibu ni kuwa Watu wenye kipato cha chini Hawana elimu ya namna ya kuzuiya upatikanaji wa mimba. Hivyo wao wakati wana sex kwaajili ya kujiburidisha ndo wanajikuta huko huko mimba zinatungwa.

Watoto wengi wanapatikana katika muda wazazi wao wanapeana raha wala sio katika malengo ya kupata mtoto.

Kuna muda unapita mahali unamkuta mama anafanya biashara ambayo yaonyesha haina hata faida kubwa, amechoka amechakaa piaa ana watoto wadogo wamekaribia ki umri, Yaan maisha ya tabu ila bado anawatoto kama wote.
Ukikaa nae ukimuuliza ukweli atakujbu anateseka watoto wanatakiwa kula wanatakiwa malazi , na nguo.

Hapa ndo jibu linakuja Wengi hupata watoto kwa bahati mbaya( ambayo mimi naeza sema inazuilika kwani njia za uzazi zipo)
Sahihi kabisa
 
Wewe una shida ya akili
Hunijui sikujui halafu unasema ninashida ya akili, you are just reacting with your emotions.
maana umeongea point lkn kijinga bado unafikilia kama mpumbavu kuwa hakuna Mungu
Don't come here to react with your religious emotions.
unadhani matajili hawafi wangapi wenye uwezo wamekufa na madeni majumba yao yamepigwa mnada watoto wamebaki machokora usiongee sana weka maneno ya akiba coz hata hujui mwisho wako pia mwisho wa siku watu wengi walio wakuu duniani wametokea familia duni hahaha ndio Ujue Mungu sio babu Yako kunge kuwa hakuna Mungu Kila tajili angetamni atumie hela zake Messi, Ronaldo au Diamond wazaliwe kwenye familia zao ila kwa kuwa Mungu ndio mpji wote hao walizaliw familia maskin
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Hakuna Mungu anayekusaidia kuzaa watoto, Hivyo hivyo Hakuna Mungu wa kukusaidia malezi ya watoto wako.

Watoto wako ni wako na ni jukumu lako kuwalea na kuwahudumia.

Mnazaliana hovyo hovyo, Halafu mnategemea kwamba kuna Mungu atawasaidia.

Acheni imani za kijinga za kuendeleza umaskini.

Hakuna Mungu wa kuwasaidia kwa lolote.

Watoto wako ni JUKUMU LAKO MWENYEWE.
 
Hunijui sikujui halafu unasema ninashida ya akili, you are just reacting with your emotions.

Don't come here to react with your religious emotions.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Hakuna Mungu anayekusaidia kuzaa watoto, Hivyo hivyo Hakuna Mungu wa kukusaidia malezi ya watoto wako.

Watoto wako ni wako na ni jukumu lako kuwalea na kuwahudumia.

Mnazaliana hovyo hovyo, Halafu mnategemea kwamba Mungu atawasaidia.

Acheni imani za kijinga za kuendeleza umaskini.

Hakuna Mungu wa kuwasaidia kwa lolote.

Watoto wako ni JUKUMU LAKO MWENYEWE.
China ndio nnchi yenye watu wengi duniani mbona hawana umaskini ukiacha watu kuzaa sana pia kama nnchi bado hatujautendea haki uchumi wetu lakin pia huwezi sema now watu wanazaa sana kma zamn ww waguse tu bibi zetu akiwa na watoto wachache ni 10+ now days mtu akizaa sana ni watoto 5 hapo lkn changamoto kubwa ipo katika uchumi wetu ndiomna tunakataa wahuni kwa ukubwa wa nnchi yetu bado sana kulalamika kuhusu population ila elimu inahitajika hasa huko vijijin na Mungu yupo
 
Hiyo commitment mliyoiweka kumshambulia mleta mada mngeiweka katika malezi ya watoto tungewaelewa.

Sadly watoto wengi wanajilea wenyewe, hata wenye hela muda wa kulea watoto hawana isipokuwa kwa wachache sana, basi atleast mzazi mmoja kati yao awekeze muda wake wakati wa makuzi ya mtoto walau 0-12 of age… hali ni mbaya zaidi kwa wasio na fedha.

Our society is seriously messed up, unit ya msingi ambayo ni familia iko taabani.

Anyways kwa waafrika mada za watoto, wazazi na dini ni sensitive sana, ukitaka kuiongelea lazima upate upinzani mkali.
 
Kama pato lako ni chini ya USD 20,000 (Dola za kimarekani elfu ishirini) kwa mwaka basi wewe ni fukara la kutupwa ambaye inabidi ufanye kazi kubwa sana kujikomboa. Ila kama unamudu kulipia bima ya afya kwa familia yako ruksa kuleta kiumbe duniani. Gharama za matibabu kwa cash ni hatari mno hasa kama una familia.
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Hapa mtaani kwetu kuna watoto wa jirani yangu hawana issue yoyote ila cha kushangaza wameoa na kuzaa watoto huku wakiishi nyumba ya babu yao. Jamaa kutwa kucha wanashinda kutembea mtaani kuomba hela washikaji na kuchukia watu wanaojishughulisha na kazi.
 
Mwehu ni Baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Don't come here to vomit your nonsense.

Idiot.

Mbupu ni mama yako aliyezaa tahira kama wewe unaharisha uharo tu hapa!

Huna hoja zozote. Kafie mbele Nyang'au wewe.
Usikute naongea na jitu janaume linalopakatwa hapa.
Ile mimba yako ya nyuma imefikia Wapi we Ndubu.
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Asa hasira za Nini!? Kwani wamekuomba hela?
 
Kuwa na familia na watoto sio suala la kuwa na pesa tu it's all about sarcrify ni kujitoa kwa muda wako na akili yako suala la pesa ni ziada tu. Aisee..! Naona vijana wa sasahivi ni waoga sana wa majukumu.
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Watoto wang na hali yangu vinakuhusu nini wwkati sijawqhi kuja kwako kuomba cbochote kitu
 
516473698_1283018409850527_6259310082153546343_n.jpg

Alitelekezwa afe, kwa imani za kishirikina, huyu mzungu ndipo akamuokoa...
Watoto kama Hao wanakuwaga very bright!! Amekaa na huyo dada Hadi wameanza kufanana!
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Ana ujasiri wa nyege
 
Mojawapo ya sifa ya kiumbe hai ni kuzaliana. Masikini ni viumbe hai huzaliana
 
We unajuaje wakati unazaliwa wazazi wako walikua na hali gani?
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Baba yako asingekuzaa akiwa fukara leo hii wewe usingekuwepo hapa jf
 
Kwa hiyo tusipozaa ndio tutatajirika ?
 
Back
Top Bottom