Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kuna watu huko vijijini wanazaliana sana halafu wana hali duni.

Starehe ya muda mfupi inaendeleza umaskini kizazi hadi kizazi.

Maskini hapaswi kuzaa kabisa.
Kama maskini hapaswi kuzaa kwa maoni yako yawezekana hata wewe huzigezaliwa, Tz hii tuko milion 60 matajiri ni 10% tu? tz ilipokuwa inapata uhuru tulikua milion 25, leo 60! mtu anazaliwa familia maskini nakuja kuwa tajiri jambo kubwa ni mfumo wa maisha na njia.
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584
Unaongea hivyo kwa madaraka gani dhidi ya mungu!!, Mungu aliposema enendeni mkaijaze dunia,aliwaambia binadamu,na anajua wao si matajiri na pia hawana uwezo wa kulea, maana kulea ni uwezo wake, Riziki anatoa yeye.
 
Sizungumzii utajiri wa mali.

Nazungumzia uwezo wa kuhudumia watoto na kuwapa mahitaji yao.
 
Umasikini ni nini?

Masikini ni nani?

Utajiri ni nini?

Tajiri ni nani?

Msingi wa kuzaa ni nini?
 
Unaongea hivyo kwa madaraka gani dhidi ya mungu!!, Mungu aliposema enendeni mkaijaze dunia,aliwaambia binadamu,na anajua wao si matajiri na pia hawana uwezo wa kulea, maana kulea ni uwezo wake, Riziki anatoa yeye.
Huyo Mungu pamoja na wewe mna upumbavu sana.

Unataka kuzaa watoto na huna uwezo wa kulea, Unataka nani aje akusaidie malezi?

Ninyi ndio mnajaza vituo vya kulelea watoto waliotelekezwa.

Ninyi ndio mnaibebesha serikali mzigo mzito wa kulea nyege zenu.

Ninyi ndio mnawapa wakati mgumu mashirika ya kimsaada ya kibinadamu kuhudumia watoto wenu, mnaoshindwa kuwahudumia.
 
Umasikini ni nini?

Masikini ni nani?

Utajiri ni nini?

Tajiri ni nani?

Msingi wa kuzaa ni nini?
Nenda katafute definition zake huko Google.

Nazungumzia uwezo wa kuhudumia watoto na kuwapa mahitaji yao baada ya kuwazaa.
 
Pambavu kabisa, inawezekana hata wazazi wako ni makapuku.
Pumbavu ni baba na mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Don't come to vomit your nonsense here. Kafie mbali nyang'au wewe.

Halfwit bastard.
 
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

View attachment 3438584

Hutaki watu wapate cheap Labour
 
Hutaki watu wapate cheap Labour
Hakuna anayependa kuzaliwa aje kuwa cheap labour.

Hakuna anayependa kuzaliwa kwenye umaskini.

Kila mtu angekuwa anapambana kwanza kujitoa kwenye umaskini kabla ya kuzaa watoto, Kusingekuwa na rundo la watoto maskini wanaohangaika na kuteseka duniani.

Kuna kundi kubwa la watoto maskini wanaohangaika na kuteseka duniani kwasababu ya mafukara yanayo endeleza ngono zembe zinazo pelekea mimba zisizotarajiwa.
 
Ha ha ha naona huu Uzi unapingwa Sana.

Wengi kuzaa kwao ni Fahari, hasa wanawake.

Hii mada hawawezi kuielewa mpaka Mwisho wa Dunia.
Hawa wanaozaa hovyohovyo kama mapanya, Hii mada imewapiga kwenye mshono.

Imepiga kwenye cerebrum, cerebellum hadi kwenye Medula Oblongata...🧠
 
Back
Top Bottom