Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,939
- 3,841
Itakuwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni ommy Dimpoz?
Leo nimeona sehemu kapost uchumi wake mbovu kuwa na familia
View attachment 3438581

Unafanya mchezo wa kubeti .Lengo la kuzaa watoto, huku Afrika ni ili waje wanihudumie mimi mzazi wao.
Ndiyo maana tunazaa watoto wengi, ili katika watoto nane, watatu wanaweza kufanikiwa kimaisha wakaja kunisaidia.
Kabisa. Eti huyu mkubwa atasomesha wadogo zake. Wakati huo huyo mkubwa anatakiwa awe na familia yake alee kwa uwezo wake. Anakumbana na majukumu yasiyo yake na kulea wadogo zake wengine wawili au watatu. Afadhali awe na uchumi mzuri basi; unakuta ndio yale yale ya pangu pakavu. GENERATIONAL POVERTY INAENDELEAMatajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.
Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Kuna watu huko vijijini wanazaliana sana halafu wana hali duni.
Starehe ya muda mfupi inaendeleza umaskini kizazi hadi kizazi.
Maskini hapaswi kuzaa kabisa.
Hizi ndio messages za mafukara.
UONGOOUna uhakika gani kama watoto wa masikini wanateseka?
Alafu kila mtu ana starehe yake boss,tusipangiane maisha.
Na kwa taarifa yako watoto wa masikini kwa % kubwa ndio wakombozi wa mataifa mengi ukilinganisha na hao matajiri, ambao kazi yao kuiba kwa kalamu.
Labda njoo na hoja nzito ya kuzuia watu kuzaliana.
SahihiKabisa. Eti huyu mkubwa atasomesha wadogo zake. Wakati huo huyo mkubwa anatakiwa awe na familia yake alee kwa uwezo wake. Anakumbana na majukumu yasiyo yake na kulea wadogo zake wengine wawili au watatu. Afadhali awe na uchumi mzuri basi; unakuta ndio yale yale ya pangu pakavu. GENERATIONAL POVERTY INAENDELEA
Nguvu kazi itatoka wapi ikiwa watoto wanazaliwa kwenye ufukara na lishe duni hadi wanapata utapiamlo?Taifa lazima lipate nguvu kazi,ungeweka vigezo vya utajiri na umasikini kuhusisha na mada yako-yamikini tungechambua mada yako kiupana zaidi.
Mawazo mgando ya kimaskini.Hatuwezi kukosa vyote pesa na watoto, lazima tuambulie kimoja tena msitupangie
Diamond, samata, ni watoto wa matajiri?
Sina muda wa kuhangaika na maisha ya mafukara.Mkuu acha kuhangaika na maisha ya watu.
Human animal is instinctively drivenMatajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.
Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.
Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.
Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.
Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?
Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?
Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.
Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.
Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.
Solve your poverty first, before bringing kids to this world. Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Pia soma,
![]()
Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...www.jamiiforums.com
View attachment 3438584
Weweeee kama ndiyo hivyo wewe mwenyewe masikini tajiri dangote na matajiri wenzake wewe mwenyewe tia tia maji na uache kuzaaMatajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Mwenye maamuzi ya mwisho kutoa tunda ni mwanamke.Unaposema masikini wawili wanaongeza masikini wenzao kwa kuzaliana unakosea kwasababu.
Kuna baadhi watoto wa matajiri au tajiri mwenyewe wanalala na wafanyakazi wa ndani baada ya hapo mke akigundua Dada wakazi anafukuzwa maybe na mimba yake vipi yule mtoto anaenda kupitia wakati mgumu kwa sababu ya tajiri na sio masikini kwa ufupi.
Wanaume katika vikao vyenu muwe mnaambiana kama huna malengo na mwanamke basi usilale nae maana lolote lina weza kutokea baada ya hapo. Unamuacha akiwa haelewi nini afanye end of the day akisha jifungua ana mtupa mtoto
Kila mmoja ajitambua kwa wakati wake lakini mwanaume ndie purpose kila kitu.
Mkuu uko sawa wewe kweli?Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.
Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.
Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.
Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.
Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?
Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?
Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.
Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.
Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.
Solve your poverty first, before bringing kids to this world. Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Pia soma,
![]()
Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...www.jamiiforums.com
View attachment 3438584
Ishu sio kuwa tajiri, bali kuwa na uwezo wa kuhudumia watoto kwenye kila kitu.Weweeee kama ndiyo hivyo wewe mwenyewe masikini tajiri dangote na matajiri wenzake wewe mwenyewe tia tia maji na uache kuzaa