Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

Every one may not be nice But there is something nice in everyone,
Never keep a fixed image for anyone coz people act differently with different people.
 
Wachaga nawakubali tu Kwa uchakalikaji wao kutafuta maendeleo.Ukienda ARUSHA na Kilimanjaro utaviona videmu vidogovidogo viko BARABARANI kuuza biashara ndogondogo.
 
hao wakanda ya ziwa ulipgaswa kuwataja. Mbona wachaga umewataja.
 
Tukiliweka sawa hili jambo ni kusema hakuna kabila lisilokuwa na watu wenye roho mbaya au nzuri kwa sababu kinachomfanya mtu awe mwema au mbaya ni namna alivyolelewa kwa maana kwamba ni mambo gani yamejazwa ktk ubongo wake na waliomlea na mazingira yaliyomzunguka?

Nafsi siyo kabila,ukitaka kunielewa hata wewe mwenye kabila lililosifiwa ni jema jiulize on the spot sasa hivi hapo ulipo akakufata mtu akakuomba muondoke (hataki msaada wa hela maana utamwita ni tapeli au mvivu) kuna sehemu ananyang’anywa haki yake anaona wewe utafaa kuongea badala yake na kwa muonekano wake haonyeshi kuwa na uwezo wa kukupa chochote utaenda kumsadia?

Jibu utakalopata elewa kote makabila yote wapo watu kama wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…