Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

Watu wanaposhusha nondo zao acheni kujibu majibu mepesi. SUKUMA GANG Hilo neno limeletwa na kujazwa kwenye vichwa vya watu ili kuhakikisha hawafikiri nje ya box, Kila atakayejaribu kuona tofauti ataitwa SUKUMA GANG.

CHAWA WA MAMA, hii status wamepewa watu makini kabisa na tegemezi ila ukiidadavua kiundani ni maana mbaya kabisa na kutokuipokea ukiielewa, ili kuhakikisha hakuna upinzani ukiwa na wazo tofauti CHAWA watakuattack. Poor people [emoji848]
Another sukuma gang at work.
 
Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga.

Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaan masuala ya ovyo ovyoo.

Ni Rahisi sana Kwa Mgombea Uongozi anayeongea Pumba hata kama hazisaidii Taifa husika( Mf Kibajaji), kuweza Kushinda uchaguzi Kwa kishindo sana kuliko Mgombea anayeongea Facts ( Mf.Mpina ) kwann?? Kwa sababu watu wengi Duniani wamezolewa na Ushetani wa Kupenda mambo ya kijinga .

Namaanisha hivi, Mgombea X anaweza tumia jukwaa Zima kusifia Wanawake na kusifia wanaume ,kuongelea Mkongo , unywaji pombe baada ya kazi , kupeleka moto na Bado Akashinda Uchaguzi Kwa kishindo ... Kwa nn? Kwa sababu wapiga Kura wengi Dunian wamekua Brainwashed na masuala ya Ujinga ujinga.

Nini kinatokea Sasa? Dunia inaenda kua na Viongozi mbumbumbu ,majuha ,waliojaza vichwa vyao ujinga mtupu na Kwa namna hiyo, Itakua ngumu Taifa kupiga hatua.

Kwann Mabeberu wao hawaathiriki na hili?. Kwasababu wao Nchi zao zilijengwa zaman sana na hivo wakajiwekea Misingi yao imara linapokuja suala la Uongozi , ndio maana unaona wao Ni rahisi Kiongozi kuachia Madaraka pale anapohisi kapwaya, au anaondoshwa lakini Bado na wao Kuna wakati Wananchi wao Wajinga Kwa wingi wao huingia barabaran kutafuta mabadiliko yanayowafurahisha, na hapo ndipo Wenye Hekima huamua kutumia Nguvu , ndiooo wanatumia Nguvu kulinda Masilahi ya Nchi .

Mpumbavu hatakiwi kuongoza Nchi, Nchi haipaswi kuongozwa na mpumbavu Et kisa Upumbavu wake unapendwa na Raia wengi ambao wamekua Brainwashed na Sasa wanafurahia Upumbavu na wanaunga mkono Upumbavu.

Kwa mfano..... Chukulia watu wanaofurahia Ushoga, Hawa ikitokea Mgombea anatetea ushogaz wako tayari kumpigia kura na Akashinda Kwa kishindo kikubwa ( ingawa Ushoga ni Laana ya Nchi) ila atashinda..... Je mtu wa namna hii aachwe kua Kiongozi kwakua Alipata Kura nyingi?."

Hapa tunapata sababu ya kihakika kwamba, Sio Kura tu za makaratasi zinaweza kutuletea Viongozi Bora, Smart, wabunifu, wenye Maono , wanaojiamin, wazalendo, wanaweza kutuvusha kama Taifa, Viongozi Hawa wanaweza wasipendwe na watu wengi wajinga lakini wakapendwa na wachache wenye Akili na Hekima .

Sasa Tuje hapa kwetu ....... Je Kuna uwezekano wa kupata Viongozi Diwan, Mbunge, Rais asiyefaa ila kwakua kapigiwa kura na watu wengi wajinga basi awe Kiongozi??. ... Jibu ni ndio , na nyie wote ni mashaidi.

Kuna Siku nimekaa nikatafakari, Et Akina Nape, January ,Mwigulu , ndio ambao watatuchagulia Rais kupitia CCM?. .......

Bwana DOLA, embu tuweni serious kidogo basi Kuna Sheria na Kanuni ni LAZIMA VIVUNJWE KWA MSILAHI MAPANA YA NCHI "

Tuchukulie , Waziri Mkuu KASIM MAJAALIWA , kachukua Fomu ya Urais , na January naye kachukua Fomu ya Urais ........ Ni wazi Nape na Mwigulu, Kura zao zitakwenda Kwa January, Na pengine kwakua Wana mkono mrefu huenda wakahakikisha anapita kugombea Urais, na Hatimaye Kasim anapigwa chini...... SASA DOLA, hivi Kwa haraka haraka, January anaweza kutuvusha kama ambavyo angetuvusha KASIM ? Et sababu tu ya Kura za makaratasi?.. HAPANA ,HAIPASWI KUA HIVO, SHERIA NI LAZIMA IVUNJWE, NDIO SHERIA LAZIMA IVUNJWE NA IWASHANGAZE WENGI ,NDIO MAANA UNAONA UCHINA LEO HII WAMEMUONGEZEA XI JINPING MUHULA WA TATU WA KUONGOZA !!.

Kwakua Upinzani wamepoteza Dila na mwelekeo na hawajui nini Sasa wanasimamia na falsafa zao hazieleweki, wamelevywa Kwa kileo Cha AsAli ya Ikulu na wamesahau wajibu wao na Sasa Mwananchi anatakiwa kujisemea mwenyeweee , Na kwakua Dola ni CCM na Kwamba CCM inaitwgemea DOLA kuliko Dola inavyotegemea CCM basii

RAI YANGU kwako Dola Mwaka 2025 ,tuleteeni watu Si ambao watatokana na Kura tu, Bali tuleteeni watu ambao mmekaa mkatafakari na kuona kwambaz Hawa wataipigania Nchi, kiuchumi, KIJAMII, kitamaduni, kisiasa na Nchi itasonga mbele Kwa Amani, Maendeleo kama Taifa Kwa Ujumla.
Hii nchi ime collapse toka utawala wa Nyerere mpaka sasa.

CCM hii taka taka haipaswi kuendelea kutawala hapa nchini.
 
Bandiko lako lingekuwa zuri sana, tatizo limeharibiwa na hisia zako hasi dhidi ya watu uliowaponda hapo....umeharibu mno, nilifikiri unazungumza mambo kwa ujumla wake kumbe uko biased vibaya mno. Umetumia kipimo gani kuhitimisha majaliwa yuko vizuri kuliko makamba?!!!!
 
Ndio unazaa watoto wengi na hauna huwezo wa kuwahudumia unafikiri kitatokea Nini?
Kumbe shida haipo kwa watoto uliyowazaa ipo kwako wewe kama mzazi.

Watoto hao ni matokeo ya umasikini wako sio chanzo cha umasikini.

Hakuna tajiri aliyefirisika kwa kuwa na watoto wengi.

Idadi ya watu Tanzania bado ni ndogo ikilinganishwa na utajiri wa rasimali tulionao.

Jukumu la serikali ni kuongeza ufanisi kwenye urutubishaji na ugawaji wa rasimali za nchi kwa manufaa ya wote.
 
Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga.

Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaan masuala ya ovyo ovyoo.

Ni Rahisi sana Kwa Mgombea Uongozi anayeongea Pumba hata kama hazisaidii Taifa husika( Mf Kibajaji), kuweza Kushinda uchaguzi Kwa kishindo sana kuliko Mgombea anayeongea Facts ( Mf.Mpina ) kwann?? Kwa sababu watu wengi Duniani wamezolewa na Ushetani wa Kupenda mambo ya kijinga .

Namaanisha hivi, Mgombea X anaweza tumia jukwaa Zima kusifia Wanawake na kusifia wanaume ,kuongelea Mkongo , unywaji pombe baada ya kazi , kupeleka moto na Bado Akashinda Uchaguzi Kwa kishindo ... Kwa nn? Kwa sababu wapiga Kura wengi Dunian wamekua Brainwashed na masuala ya Ujinga ujinga.

Nini kinatokea Sasa? Dunia inaenda kua na Viongozi mbumbumbu ,majuha ,waliojaza vichwa vyao ujinga mtupu na Kwa namna hiyo, Itakua ngumu Taifa kupiga hatua.

Kwann Mabeberu wao hawaathiriki na hili?. Kwasababu wao Nchi zao zilijengwa zaman sana na hivo wakajiwekea Misingi yao imara linapokuja suala la Uongozi , ndio maana unaona wao Ni rahisi Kiongozi kuachia Madaraka pale anapohisi kapwaya, au anaondoshwa lakini Bado na wao Kuna wakati Wananchi wao Wajinga Kwa wingi wao huingia barabaran kutafuta mabadiliko yanayowafurahisha, na hapo ndipo Wenye Hekima huamua kutumia Nguvu , ndiooo wanatumia Nguvu kulinda Masilahi ya Nchi .

Mpumbavu hatakiwi kuongoza Nchi, Nchi haipaswi kuongozwa na mpumbavu Et kisa Upumbavu wake unapendwa na Raia wengi ambao wamekua Brainwashed na Sasa wanafurahia Upumbavu na wanaunga mkono Upumbavu.

Kwa mfano..... Chukulia watu wanaofurahia Ushoga, Hawa ikitokea Mgombea anatetea ushogaz wako tayari kumpigia kura na Akashinda Kwa kishindo kikubwa ( ingawa Ushoga ni Laana ya Nchi) ila atashinda..... Je mtu wa namna hii aachwe kua Kiongozi kwakua Alipata Kura nyingi?."

Hapa tunapata sababu ya kihakika kwamba, Sio Kura tu za makaratasi zinaweza kutuletea Viongozi Bora, Smart, wabunifu, wenye Maono , wanaojiamin, wazalendo, wanaweza kutuvusha kama Taifa, Viongozi Hawa wanaweza wasipendwe na watu wengi wajinga lakini wakapendwa na wachache wenye Akili na Hekima .

Sasa Tuje hapa kwetu ....... Je Kuna uwezekano wa kupata Viongozi Diwan, Mbunge, Rais asiyefaa ila kwakua kapigiwa kura na watu wengi wajinga basi awe Kiongozi??. ... Jibu ni ndio , na nyie wote ni mashaidi.

Kuna Siku nimekaa nikatafakari, Et Akina Nape, January ,Mwigulu , ndio ambao watatuchagulia Rais kupitia CCM?. .......

Bwana DOLA, embu tuweni serious kidogo basi Kuna Sheria na Kanuni ni LAZIMA VIVUNJWE KWA MSILAHI MAPANA YA NCHI "

Tuchukulie , Waziri Mkuu KASIM MAJAALIWA , kachukua Fomu ya Urais , na January naye kachukua Fomu ya Urais ........ Ni wazi Nape na Mwigulu, Kura zao zitakwenda Kwa January, Na pengine kwakua Wana mkono mrefu huenda wakahakikisha anapita kugombea Urais, na Hatimaye Kasim anapigwa chini...... SASA DOLA, hivi Kwa haraka haraka, January anaweza kutuvusha kama ambavyo angetuvusha KASIM ? Et sababu tu ya Kura za makaratasi?.. HAPANA ,HAIPASWI KUA HIVO, SHERIA NI LAZIMA IVUNJWE, NDIO SHERIA LAZIMA IVUNJWE NA IWASHANGAZE WENGI ,NDIO MAANA UNAONA UCHINA LEO HII WAMEMUONGEZEA XI JINPING MUHULA WA TATU WA KUONGOZA !!.

Kwakua Upinzani wamepoteza Dila na mwelekeo na hawajui nini Sasa wanasimamia na falsafa zao hazieleweki, wamelevywa Kwa kileo Cha AsAli ya Ikulu na wamesahau wajibu wao na Sasa Mwananchi anatakiwa kujisemea mwenyeweee , Na kwakua Dola ni CCM na Kwamba CCM inaitwgemea DOLA kuliko Dola inavyotegemea CCM basii

RAI YANGU kwako Dola Mwaka 2025 ,tuleteeni watu Si ambao watatokana na Kura tu, Bali tuleteeni watu ambao mmekaa mkatafakari na kuona kwambaz Hawa wataipigania Nchi, kiuchumi, KIJAMII, kitamaduni, kisiasa na Nchi itasonga mbele Kwa Amani, Maendeleo kama Taifa Kwa Ujumla.
Duniani kote wajinga ndio mtaji wa wanasiasa!
 
Kufupisha huu uzi ni kwamba katika uchaguzi unataka mshindi atangazwe yule ambaye wewe na kundi lako tu mnazikubali sera na agenda zake. Sasa huo hautakuwa uchaguzi bali maigizo ya watu wajinga katika sanduku la kura.
Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga.

Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo.

Ni Rahisi sana Kwa Mgombea Uongozi anayeongea Pumba hata kama hazisaidii Taifa husika( Mf Kibajaji), kuweza Kushinda uchaguzi Kwa kishindo sana kuliko Mgombea anayeongea Facts( Mf.Mpina ) kwanini?? Kwa sababu watu wengi Duniani wamezolewa na Ushetani wa Kupenda mambo ya kijinga.

Namaanisha hivi, Mgombea X anaweza tumia jukwaa Zima kusifia Wanawake na kusifia wanaume ,kuongelea Mkongo , unywaji pombe baada ya kazi , kupeleka moto na Bado Akashinda Uchaguzi Kwa kishindo ... Kwa nn? Kwa sababu wapiga Kura wengi Dunian wamekua Brainwashed na masuala ya Ujinga ujinga.

Nini kinatokea Sasa? Dunia inaenda kua na Viongozi mbumbumbu ,majuha ,waliojaza vichwa vyao ujinga mtupu na Kwa namna hiyo, Itakua ngumu Taifa kupiga hatua.

Kwann Mabeberu wao hawaathiriki na hili?. Kwasababu wao Nchi zao zilijengwa zaman sana na hivo wakajiwekea Misingi yao imara linapokuja suala la Uongozi , ndio maana unaona wao Ni rahisi Kiongozi kuachia Madaraka pale anapohisi kapwaya, au anaondoshwa lakini Bado na wao Kuna wakati Wananchi wao Wajinga Kwa wingi wao huingia barabaran kutafuta mabadiliko yanayowafurahisha, na hapo ndipo Wenye Hekima huamua kutumia Nguvu , ndiooo wanatumia Nguvu kulinda Masilahi ya Nchi .

Mpumbavu hatakiwi kuongoza Nchi, Nchi haipaswi kuongozwa na mpumbavu Et kisa Upumbavu wake unapendwa na Raia wengi ambao wamekua Brainwashed na Sasa wanafurahia Upumbavu na wanaunga mkono Upumbavu.

Kwa mfano..... Chukulia watu wanaofurahia Ushoga, Hawa ikitokea Mgombea anatetea ushogaz wako tayari kumpigia kura na Akashinda Kwa kishindo kikubwa ( ingawa Ushoga ni Laana ya Nchi) ila atashinda..... Je mtu wa namna hii aachwe kuwa Kiongozi kwakuwa Alipata Kura nyingi?."

Overpopulation ni jambo mojawapo linalochangia umaskini wa Watanzania.
Unaelewa maana ya Overpopulation??
Kwa mtazamo wako unadhani umasikini wa Tanzania umesababishwa na idadi ya watu waliopo?
 
💯
 
Kufupisha huu uzi ni kwamba katika uchaguzi unataka mshindi atangazwe yule ambaye wewe na kundi lako tu mnazikubali sera na agenda zake. Sasa huo hautakuwa uchaguzi bali maigizo ya watu wajinga katika sanduku la kura.
Hakika, ikiwa Mgombea asiyefaa , Et kisa ni uchaguzi tu wa makaratasi ndio umweke madarakani.

Ni Mara 100, Dola, imwondoe , na impe huyu anayependwa na wachache tu lkn mwenye maana.
 
Hao wanaoitaka demokrasia huku wanaitaka sababu inawanufaisha.

wao kwao hakuna demokrasia ipo kama gheresha. ni kikamati flani kidogo chenye watu wenye akili ndio wanaamua nani awe rais.

Waafrika demokrasia haitakiwi. Hawa juzi wamefunguliwa mikutano sijui lakini nyie wenyewe ni mashahidi sasahivi.

Afrika Demokrasia inatumika kama bishara.
 
Overpopulation ni jambo mojawapo linalochangia umaskini wa Watanzania.
Unaelewa maana ya Overpopulation??
'Overpopulation' ninavyoelewa mimi ni 'unachukuwa rasimali (bidhaa na huduma) zilizopo gawanya kwa idadi ya watu iliyopo' kama idadi ya watu ikielemea rasimali basi tutahitimisha kwa kusema taifa husika lipo 'Overpopulated'.

Unazungumziaje Overpopulation kwa kutathimini 'eneo finyu kukaliwa na watu wengi'?

Zote mbili ni 'Overpopulation' na kuna namna bora ya kukabiliana nazo zisionekane tatizo kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Kwa observation yako tu unadhani Tanzania inastahili kuwekwa kwenye orodha ya Overpopulated Nations?
 
Katika nchii hii Bidhaa na huduma za kijamii zilizopo ukigawanywa kwa idadi ya watu zimezidiwa au hazijazidiwa ??
'Overpopulation' ninavyoelewa mimi ni 'unachukuwa rasimali (bidhaa na huduma) zilizopo gawanya kwa idadi ya watu iliyopo' kama idadi ya watu ikielemea rasimali basi tutahitimisha kwa kusema taifa husika lipo 'Overpopulated'.

Unazungumziaje Overpopulation kwa kutathimini 'eneo finyu kukaliwa na watu wengi'?

Zote mbili ni 'Overpopulation' na kuna namna bora ya kukabiliana nazo zisionekane tatizo kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
 
Katika nchii hii Bidhaa na huduma za kijamii zilizopo ukigawanywa kwa idadi ya watu zimezidiwa au hazijazidiwa ??
Kwa observation yako tu kwakuzingatia kigezo cha rasimali tulizonazo unadhani Tanzania inastahili kuwekwa kwenye orodha ya Overpopulated Countries?
 
Inastahili.

Kipindi gani Tanzania huduma na bidhaa zilikuwepo kwa wingi kuliko idadi ya watu?

Unafikiria upungufu wa huduma na bidhaa uliyopo umesababishwa na idadi ya watu?
 
Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga.

Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo.

Ni Rahisi sana Kwa Mgombea Uongozi anayeongea Pumba hata kama hazisaidii Taifa husika( Mf Kibajaji), kuweza Kushinda uchaguzi Kwa kishindo sana kuliko Mgombea anayeongea Facts( Mf.Mpina ) kwanini?? Kwa sababu watu wengi Duniani wamezolewa na Ushetani wa Kupenda mambo ya kijinga.

Namaanisha hivi, Mgombea X anaweza tumia jukwaa Zima kusifia Wanawake na kusifia wanaume ,kuongelea Mkongo , unywaji pombe baada ya kazi , kupeleka moto na Bado Akashinda Uchaguzi Kwa kishindo ... Kwa nn? Kwa sababu wapiga Kura wengi Dunian wamekua Brainwashed na masuala ya Ujinga ujinga.

Nini kinatokea Sasa? Dunia inaenda kua na Viongozi mbumbumbu ,majuha ,waliojaza vichwa vyao ujinga mtupu na Kwa namna hiyo, Itakua ngumu Taifa kupiga hatua.

Kwann Mabeberu wao hawaathiriki na hili?. Kwasababu wao Nchi zao zilijengwa zaman sana na hivo wakajiwekea Misingi yao imara linapokuja suala la Uongozi , ndio maana unaona wao Ni rahisi Kiongozi kuachia Madaraka pale anapohisi kapwaya, au anaondoshwa lakini Bado na wao Kuna wakati Wananchi wao Wajinga Kwa wingi wao huingia barabaran kutafuta mabadiliko yanayowafurahisha, na hapo ndipo Wenye Hekima huamua kutumia Nguvu , ndiooo wanatumia Nguvu kulinda Masilahi ya Nchi .

Mpumbavu hatakiwi kuongoza Nchi, Nchi haipaswi kuongozwa na mpumbavu Et kisa Upumbavu wake unapendwa na Raia wengi ambao wamekua Brainwashed na Sasa wanafurahia Upumbavu na wanaunga mkono Upumbavu.

Kwa mfano..... Chukulia watu wanaofurahia Ushoga, Hawa ikitokea Mgombea anatetea ushogaz wako tayari kumpigia kura na Akashinda Kwa kishindo kikubwa ( ingawa Ushoga ni Laana ya Nchi) ila atashinda..... Je mtu wa namna hii aachwe kuwa Kiongozi kwakuwa Alipata Kura nyingi?."

Hapa tunapata sababu ya kihakika kwamba, Sio Kura tu za makaratasi zinaweza kutuletea Viongozi Bora, Smart, wabunifu, wenye Maono , wanaojiamin, wazalendo, wanaweza kutuvusha kama Taifa, Viongozi Hawa wanaweza wasipendwe na watu wengi wajinga lakini wakapendwa na wachache wenye Akili na Hekima .

Sasa Tuje hapa kwetu ....... Je Kuna uwezekano wa kupata Viongozi Diwan, Mbunge, Rais asiyefaa ila kwakua kapigiwa kura na watu wengi wajinga basi awe Kiongozi??. ... Jibu ni ndio , na nyie wote ni mashaidi.

Kuna Siku nimekaa nikatafakari, Et Akina Nape, January ,Mwigulu , ndio ambao watatuchagulia Rais kupitia CCM?. .......

Bwana DOLA, embu tuweni serious kidogo basi Kuna Sheria na Kanuni ni LAZIMA VIVUNJWE KWA MSILAHI MAPANA YA NCHI "

Tuchukulie , Waziri Mkuu KASIM MAJAALIWA , kachukua Fomu ya Urais , na January naye kachukua Fomu ya Urais ........ Ni wazi Nape na Mwigulu, Kura zao zitakwenda Kwa January, Na pengine kwakua Wana mkono mrefu huenda wakahakikisha anapita kugombea Urais, na Hatimaye Kasim anapigwa chini...... SASA DOLA, hivi Kwa haraka haraka, January anaweza kutuvusha kama ambavyo angetuvusha KASIM ? Et sababu tu ya Kura za makaratasi?.. HAPANA ,HAIPASWI KUA HIVO, SHERIA NI LAZIMA IVUNJWE, NDIO SHERIA LAZIMA IVUNJWE NA IWASHANGAZE WENGI ,NDIO MAANA UNAONA UCHINA LEO HII WAMEMUONGEZEA XI JINPING MUHULA WA TATU WA KUONGOZA !!.

Kwakua Upinzani wamepoteza Dila na mwelekeo na hawajui nini Sasa wanasimamia na falsafa zao hazieleweki, wamelevywa Kwa kileo Cha AsAli ya Ikulu na wamesahau wajibu wao na Sasa Mwananchi anatakiwa kujisemea mwenyeweee , Na kwakua Dola ni CCM na Kwamba CCM inaitwgemea DOLA kuliko Dola inavyotegemea CCM basii

RAI YANGU kwako Dola Mwaka 2025 ,tuleteeni watu Si ambao watatokana na Kura tu, Bali tuleteeni watu ambao mmekaa mkatafakari na kuona kwambaz Hawa wataipigania Nchi, kiuchumi, KIJAMII, kitamaduni, kisiasa na Nchi itasonga mbele Kwa Amani, Maendeleo kama Taifa Kwa Ujumla.
Ulipotoa tu mfano wa Luhaga Mpina seriously nimeacha kusoma yote uliyoyaandika najuta kwanini nimefungua uzi wako.
 
Kumbe!Hao watakatifu wa kuongoza nchi utawapata wapi?
 
Umetoa tafsiri mwenyewe halafu mbele kidogo unaikataa mwenyewe tena!

Back
Top Bottom