Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Mkuu kumbe na wewe ni muungwana!

Mimi nimemfuatilia huyu bibie, ni mwema sana kiasi ya kwamba as a person unaamini hastahili maumivu sio Leo wala kesho.

Aliemuoa huyu bibie amebarikiwa sana.

Wapo pia wanawake smart sana sana sana humu ndani.
 
Inategemea na situation, kama watoto wanapitia changamoto na mzee hela haijakaa sawa ama haitoshelezi wewe unawajibika kutoa tough kama ni mtu mwenye hekima. Sio lazma uombwe.
Ada imepelea, mtoto arudishwe home wakati wewe unaweza malizia kipande kilichobaki. Yani hela yako ukanunue magauni na skin jeans na kununua wigi la laki 3 ikiwa mwanao amerudishwa ada nyumbani. Hio unaona iko sawa? Na hizi ndio emergency nazosemea.


Sasa kama siyo lazima kwanini wale ambao hawasaidii mnawaona hawafai? Kwahiyo hata ninyi kusaidia kufanya kazi za ndani siyo lazima ila ni swala la hekima tu na wasiosaidia hawana hekima si ndiyo?
 
Hapana, nadhani Mungu huwa anabalance. Mwanaume akiwa mpole mke anakuwa machachari na mwanamke akiwa mpole mume anakuwa moto. Sijazungumzia uma.laya naongelea umachachari wa kawaida
Huenda ni kweli basi, ama kuna kani ya mvutano baina ya mpole na mkali.

Ila wanaume decent wanapataga wanawake malaya sijui kwanini the same goes to decent women wanapataga majamaa ambao hawajali kabisa. Sina utafiti ila just speaking from experience, wanaopata mabomu ni wale decent guys.
 
Hivi watu mnaishije kwenye hizo ndoa?? Sioni sababu ya kuoa aseee kama ndio mambo yapogo hivo, sijaona mahali wala kusoma mahali watu wanafurahia ndooaa sanaaaa ni mitifuano tuu

Hapana aisee, ngoja kwanza, nisije nikadandia train kwa mbele
Hahahahah mwenyewe niko hapa najisomea nacheeeka na kugawa likes tu
Jameni kama ndoa ni ndoani si mfanye mambo mengine hahaha
 
Naona straika uliwakilisha vyema sihitaj hata kuongezea ni kumwaga likes tu
Hahahah
 
Kumbe unaelewa sema tu unapenda kubishana
 
Mume wangu ipake Mate kama haiingii
 
Najitahidi sana mwenzangu ajue changamoto ya leo haimaanishi mambo yatakua hivyo hivyo siku zijazo. And together we can get through anything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…