Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kukataa ndoa ni kupinga serikali ki vipi ? Ndoa na serikali zina mahusiano gani ?Wapinga ndoa wanahaki ikiwa watakuwa ni éxceptional na wachache. Lakini kupiga kampeni Watu wakatae Ndoa ni sawa na kupiga kampeni Duniani kusiwe na serikali yaani Watu waishi vyovyote watakavyo. Yaani Tanzania serikali ifutwe, Kenya na Dunia nzima kusiwe na serikali. Unafikiri nini kitatokea?
basi ndoa haina huo umuhimu kama chanzo kikuu na msingi wake ni upendo
lakin kuupata huo upendo mpaka uupiganie HAPANA mzee
KATAA NDOA
ukoo n muunganiko wa familia nyingi mwisho tutakuja kabilaUnapotaja Babu na shangazi hapo huzungumzii familia tena hapo Unazungumzia UKOO.
Hizo shule mlienda kufanyaje Mkuu?
Ndoa ni nini na familia ni nini ?
Kwa tafsiri yako wanyama hawana ndoa ?Moja ya mambo yanayowatofautisha binadamu na wanyama wengine ni pamoja na Ndoa.
Una hakika wanyama hawana familia ?Kama mwanadamu akipinga ndoa atazidi kufanana na wanyama wengine kama Mbwa, Paka, na wanyama wengine wasio na mfumo wa kifamilia. Na hii itafanya mwanadamu asitawalike na tabia zingine chafu na mbaya zitazidi kuibuka.
Ni wanandoa wangapi wamezijenga ndoa zao tangia chini huku wakitumia rasilimali kama upendo,heshima,uadilifu,ukweli na mengineyo na kuzifanya zikawa imara.Upendo hauji kirahisi
Heshima, uadilifu na mengine mengi hayaji kirahisi.
Inahitaji kupiganiwa, kulindwa kwa nguvu na mwanaume au mwanamke shupavu.
Sasa kama unaoa alafu unataka mambo yaje na yaende kirahisi utakwama
ukoo n muunganiko wa familia nyingi mwisho tutakuja kabila
kwamba kwa umri wako hujawai ona familia ya bibi na wajuu zake,babu na wajukuu zake
au kaka na wadogo zake...?!
KATAA NDOA
NDOA NI TAASISI ILIYO JIFIA
Uelewa wako ndio umeishia hapa ?Unazaa watoto kama Mbwa alafu hujui wanaishije, wanalelewaje, lakini ndani ya ndoa lazima ujue wanaishije na wanalelewaje kwa sababu nawe utakuwa mhusika wa kujenga kizazi chako.
Una hakika wanyama hawana familia ?
Umeishia kutazama kwenye pesa tu ?Kutuma pesa sio Malezi. Huwezi sema umemlea mtoto kisa ulikuwa unatuma pesa. Malezi yanahusu ushiriki wa moja kwa moja kwa mzazi kwa mtoto wake.
Kaka robert natamani sama tufanye tafiti ambayo italeta takwimu ya ndoa ngapi ndani yake kuna usaliti.Sasa wewe unazungumzia kitu kingine ambacho ni usaliti.
Sio kila ndoa inausaliti.
Na sio kila ndoa inakufifizwa
Kwa wazazi walio tengana au mmoja kufa mtoto ana lelewa vipi ?Mtoto akikaa kwa Bibi au kwa Mamaake au kwa Babaake alafu wewe ukawa unatuma pesa za matumizi. Haiwezi kutajwa kuwa Mtoto huyo Ulimlea.
Kuishi na mtoto ndio kumlea mtoto na hakuna tafsiri zaidi ya hiyo.
Kutuma matumizi ya mtoto haiwezi kutafsiriwa kama kufanya malezi.
Kwa nini umeamua kusema hivyo ? Wote ambao hawajaoa hawana akili timamu ?Vijana, kampeni ya Kukataa ndoa haiwezi kuwa kwa mtu mwenye utimamu wa Akili. Ni aidha kuna athari za kisaikolojia au Historia mbaya kwa mtu husika.
Ni wanandoa wangapi wamezijenga ndoa zao tangia chini huku wakitumia rasilimali kama upendo,heshima,uadilifu,ukweli na mengineyo na kuzifanya zikawa imara.
By default baada ya wawili kukutana na kuendana.
Bond yao humaanisha mengi sana
Ndoa za sasa zimekuwa ni utapeli kwa sababu kila mmoja katika ndoa anatamani kuwa juu ya mwenzake.
Mwanaume anataka kuwa juu.
Mwanamke anataka kuwa juu vilevile.
Mwanaume ana sauti ndani ya familia vs mwanamke ana sauti ndani ya familia.
Unauonaje mtanange huu?
Unadhani utaisha kwa salama na amani.
Tukiacha yote bora huyo mwanaumwe awe na nguvu ya kipesa kuliko mwanamke.
Kinyume cha hapo ndiyo sababu ya watu wengi leo hii kuzikataa ndoa za kisasa.
Unasema kwenye huu mto kuna mamba mengi ila unamtaka mtu aende kuvua samaki kwa kuchumpa kwamba ataweza kuwashinda mamba ? Hizi ni akili sawa ?Utapeli kwenye mapenzi upo.
Ubinafsi kwenye mapenzi na ndoa upo.
Unyanyasaji na ukatili kwenye ndoa unaweza kuwepo.
Lakini nani mwenye wajibu wa kupambana kukabiliana na mambo hayo kama sio wewe?
Kwa mujibu wa nani/nini ?Jukumu lako kama mwanaume au mwanamke ni kusimamisha serikali yako(familia yako). Jukumu lako kama mwanadamu ni kutawala. Utawala unaanzia kwenye kizazi chako kisha mazingira na jamii.
Unasema kwenye huu moto kuna mamba mengi ila unamtaka mtu aende kuvua samaki kwa kuchumpa kwamba ataweza kuwa shinda mamba ? Hizi ni akili sawa ?
Somo la uwajibikaji ni gumu sana kwa Watanzania na waafrika wengi wewe ni mmoja wao.Yaani upo serikalini ati unakataa serikali kisa ati kuna Waasi, sijui magaidi, sijui Watu wanaotaka kukupindua, sijui wala rushwa na wanaokuhujumu. Wewe utakuwa na akili kweli.
Unafikiri watu wote duniani wana imani hiyo ? Hili ni tatizoKama mtawala(mfano wa Mungu) ni jukumu lako kupambana na kuhakikisha kizazi chako kinakuwa bora na kizazi bora hutoka kwenye familia BORA (mke na mume) na sio nje ya hapo.