Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

[emoji23][emoji23][emoji4] Hakuna kitu kama hicho acha kupotosha umma
Tafuta mwanamke mwanasheria au mjanja mjanja asiye na hofu ya Mungu ishi nae unyumba miezi mitatu mfululizo huku majirani wanashuhudia alafu mletee ujinga uone kama hujaburuzwa kortini na ukicheza uone kama mali hazijagawanywa kibabe
 
Hili tuliite Wenge au
lakin hata hao wasagaji na mashoga wanaoana mzee[emoji848] na hapa tupo kuongelea NDOA
Wakishaoana kwa mujibu wa mtoa mada, je wanazaliana na kuwa na famili.
Ebu punguza wenge mkuu
 
Huwezi ongoza taifa ambalo robo tatu ya Watu ni wakataa Ndoa, hiyo haiwezekaniki.

Ni kama kuongoza taifa la mashetani ambalo mara kwa mara mapinduzi, tamaa mbaya, uchafu utakuwa ndio mila na desturi.
Nchi za ulaya na America wengi ni kataa ndoa na hizo tabia nyingi zipo Africa kwenye ndoa.
 
Tafuta mwanamke mwanasheria au mjanja mjanja asiye na hofu ya Mungu ishi nae unyumba miezi mitatu mfululizo huku majirani wanashuhudia alafu mletee ujinga uone kama hujaburuzwa kortini na ukicheza uone kama mali hazijagawanywa kibabe
Nitafute mara ngapi 😂😂 uko uko kortin ndiko mambo yalimshinda
 
Unazungumzia watoto wa miaka 15
Hapa anazungumziwa Mwanamke na mwanaume aliyekamilika
Nilivyokuelewa mimi umeelezea kuhusu NDOA. na wala sio mwanamke na mwanaume aliyekamilika.
Ndugu unatakiwa uelewe kwamba NDoa hapa Tanzania ni suala ambalo lipo kisheria .Sheria ya Ndoa, Sura ya 29 ya mwaka 1971
Huwezi kujadili suala la ndoa Bila kuhiusisha sheria hiyo acha kupotosha
 
Wewe ndio huelewi ninazungumzia jambo gani.
Ukitaja sheria umeweka na mwaka 1971 embu niambie 1800 ilikuwepo sheria ya Ndoa?

Ndoa ipo sheria inaweza isiwepo.
Ndoa ni independent variable sheria ni dependent Variable. Kipi hauelewi.

Yaani kuna Watu hawafuati sheria na wapo kwenye ndoa.
 
Kataa ndoa ni wanaume wasiojiamini, wabinafsi si ajabu hata familia zao zina walakini.

Sio ajabu wala haikatazwi kua muoga na mbinafsi wana haki yako pia ila sasa tatizo ni kuwa wanatumia mbinu ya kuwachafua wanawake ili hoja zao zisikilizwe.

Wanaogopa Milio ya risasi wakiwa vitani. Hatari sana
 
Ulikosea tangu mwanzo ukiona hivyo
Naamin kila jambo hutokea kwasabab ya dhat kabsa, Mr. Robby sometimes upepo maisha huathiri uelekeo wa maono ya mtu......so siamin wala kujutia hlo still on track to maintain my frame.....mana mwanamke ni ziada Kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom