Mtumbwi alimojificha mtuhumiwa #2 kulipua bomu Boston

Status
Not open for further replies.


Kiranga
Tatizo ni kutojua maana sahihi ya nyanja za habari, vinginevyo hakuna kipya kinacholetwa na mleta matukio isipokuwa mfanya matukio ndio ajitangaze kitu ambacho hakifanyiki hivyo. Mwandishi wa habari anapohangaika huku na kule kupata news na picha za matukio ni kitu kile kile cha copy and paste kwa maana anakopi matukio yaliko na pamoja na kukopy taswiras kisha kutuletea kwanye audience ya newsmadia. Asiyeelewa hilo asome kidogo mambo ya uandishi kuhusu matukio na utunzi wa rewaya. Vinginevyo anataka tulete tungo za rewaya au tungo zenye kuhitaji wanaokuna vichwa katika kujadili kama ilivyo jukwaa lile la Home of great thinkers. Magazeti karobu yote news zenye uzito na zinazouza magazeti ni za matukio ambazo huangukia kwenye copy matukio na vivuli vya matuki na paste kwanye kurasa za magazeti na other media for audience.

Kwa namna moja au nyingine uandishi wa habari hizi za kushikwa majasudi kwa
Radhia Sweety ni kitu kingine pengine cha kiitikadi kumalizia yaliyomo moyoni, la sivyo habari nyingi tulizonazo hapa ni za mtindo huo wa copy and paste.

Nimeshuhudia wengi wa watanzania ni wale wa daraja la kati na la chini katika kupima mambo.Kuna madaraja yafuatayo kisaikolojia:

  1. Akili ndogo hupenda kuongelea watu.
  2. Akili za wastani hupenda habari za matukio.
  3. Akili za juu ni wale wanaoongelea mambo ya maendeleo na namna kujijenga kimaisha.
Wengi wetu tunaangukia hapa kwenye aina ya 1-2.

Nimejaribu binafsi na baadhi ya watu hapa kuweka mada za kuzibuni kutokana na hali ya maisha kiuchumi, kisiasa, kijamii nk, hoja hizo hazijadiliki isipokuwa ukipata watu 5 ni bahati. Lakini weka habari matukio au kuongelea mambo ya watu hapo jukwaa litachangamka.
 
Dzhokhar Tsarnaev tweeted this after the boston bombing.@J_tsar:''Aint no love in the heart of city.stay safe people.''
 
What is new and what is not? Is there anything new "under the sun"?

And even if there is by some stretch of quantum probability of the order of frequency of once per 14 billion years, something new.

How sure could one be that that which is not new to one, is also not new to others?

Case in point
Elungata pointed out the twitter handle reported to belong to one of the suspects. This is not new to me.

But I would be the last one to tell Elungata "tutolee copy paste zako hapa, there is nothing new in that" kwa sababu najua kuna watu wengine inawezekana kabisa hawajui hilo.

Na kwao ni habari mpya.
 
huh,so it is news to you...WAS JF created special for you?.

Just because it is not news to you,it doesnt mean it is not news to everybody.
Or what is your point here?.
 
Muhusika alipogundua damu kwenye boti yake, alichungulia ndani na kumuona jamaa kajeruhiwa, akawajulisha Polisi na walipofika wakam'miminia risasi !..........!!!
kwa nini !?

Kwasababu alikuwa ni gaidi na hata hivyo hawakupiga risasi kumuua bali ni moja ya technique kama angekuwa na bomu lingelipuka
 
Jamaa hawajiamini kweli,ukichukulia kuwa huyo dogo ni 19.walipoambiwa yuko humo wakatuma kwanza robot ifanye kazi ya minesweeper.haikutosha wakafyatuliamo risasi wakati huo dogo kalala yuko hoi kwa majeraha.
 
Huwezi ona mkristo anajilipua au anatega bomu alipue watu wasio na hatia michezo hii inachezwa na waislam.

Folish! Hao Marekani na washirika wao wa NATO wanaoua watoto, akiba mama na wazee tena kwa silaha nzito nzito huwaoni? Nonsense urgement.

Zali la Mentali endelea kufunguka Mkuu maana hw wamezidi. Suala lolote mnaona Waislamu tu ndo wabaya lkn hamjiangalii wenyewe. Kweli nyani haoni kundule!
 
huh,so it is news to you...WAS JF created special for you?.

Just because it is not news to you,it doesnt mean it is not news to everybody.
Or what is your point here?.

That is precisely my point, perhaps you need to know how to read.

I wrote


Do you understand what does that second part mean? Did you read it? Do you know how to read at all?

Halafu the usual excuse is Kiingereza, in this case a large portion is written in Swahili, Kiingereza lugha ya mkoloni unaweza kusema, Kiswahili nacho hujui?
 

Wapiga picha katika mbio za marathon kwenye finishing line walivyofanikiwa kunasa picha za suspected bomb attack walivyosaidia FBI kuwanasa vijana hao maana baada ya kutega lile bomu walibaki palepale kushuhudia kinachoendelea.
 
Nakupongeza mkuu binafsi umenisaidia sana hasa ulipotafsiri kwa kiswahili si unajua weengine kuanzia chekechea ni kata na mitaala yenyewe kama unavyoiona

Wewe na Candid Scope wako mliyesomea shule za mahela kwa nini mnashindwa kujibu hoja hizi ndogo tu? Naziweka tena ili kama mmesahau tulitokea wapi na huu mjadala mpate nafasi mahsusi ya kutumia shule yenu ya ziada kujibu hoja hizi:

Badala ya kuzungumzia ugaidi uliolitafuna na unaoendelea kutafuna bara letu la Africa kwa mamilioni ya watu mnatumia mda wenu kuzungumzia vigaidi uchwara tena nje ya bara letu la Africa. GAIDI mkuu kabisa Africa ambaye hatasahaulika milele kwa kuua Waafrica kwa mamilioni na ambao bado Waafrica wanaendelea kuuawa chini ya mipango yake aliyoiacha ni NYERERE. Aliua Wazanzibar wasiopungua 20,000 kwa kumtumia Okello, mauaji ambayo yalikuwa ya kikatili haijapata kutokea kwenye historia ya Africa yaliyofanywa na Muafrica mwenzao aliyekuwa anatumiwa na Kanisa Katoliki pamoja na mabwana zake Wazungu na Wamarekani. Wazanzibari zaidi ya 200 walichomwa moto kwenye tanuri wakiwa hai kwenye mauaji hayo ya kikatili yaliyokuwa yanatumia mtindo wa HITLER. Akaua Watanzania na Waganda wasiopungua 100,000 kwenye vita ya Kagera ili kumuondoa Idd Amin kwa maelekezo hayo hayo ya mabwana zake. Mauaji za DRC ya mamilioni ya watu yana mkono wake kupitia kwa Kabila. Mauaji ya kimbari ya Rwanda yana mkono wake kupitia kwa Kagame. Vita aliyopigana Museveni na kuua Waganda kwa maelfu ili aingie Ikulu ina mikono ileile iliyojaa damu ya Nyerere. Vita ya Biafra kule Nigeria ambapo Wakatoliki walitaka kujitenga na Serikali halali ya Nigeria ili wasiwe chini ya uongozi usiokuwa wa Kikatoliki ulifadhiliwa na Nyerere kwa kutumia rasilimali za Tanzania na kuua mamilioni ya Wanigeria.

Huyu Nyerere ndio GAIDI wa kujadiliwa ili tulinusuru bara letu kutoka kwenye makucha ya ugaidi yanayoendelea kuwatesa na kuua Waafrica chini ya mfumo wa ukoloni mambo leo.
 

Kama una akili timamu, basi kabla ya kuchangia hoja yako ungepitia posts zangu zote tangu ulipopata wazo la kuniuliza hilo swali kabla hujauliza. Kudakia nyuzi kama hizi na kukurupuka itakuvunjia heshima yako. Ukitaka kuchangia kwenye nyuzi kama hizi usiwe mvivu wa kusoma. Rudi nyuma tangu akili yako ilivyokutuma uulize hili swali na uendelee kufuatilia posts tangu hapo mpaka mwisho utaona kwamba nimeshaulizwa hili swali na nikatoa reference ya madai yangu ya msingi.
 

Ni wazi kwamba hamna ubavu wa kujibu hoja zangu. Ndio maana kila nikiwataka mzijibu mnakimbilia kuweka utumbo wa vijigaidi visivyotuhusu sisi kama Watanzania na ambavyo vimeuwa watu wachache ili angalau mkimbie aibu ya kushindwa kujibu hoja zangu za msingi za GAIDI aliyeuwa Waafrica kwa mamilioni. Nami sintawaachia. Ntawang'ang'ania kama ruba hata kama mkinitukana matusi kwani najua wengi wenu mmetokea kwenye familia zenye matatizo na kupewa mafundisho ya kidini jinsi ya kumkabili mtu anayekushinda hoja kwa kumtukana matusi ili afadhaike na kukuacha. Isitoshe, Mimi ni Zali la Mentali hivyo kunitukana mimi ni sawa na kudondosha tone la maji kwenye bahari alafu unakaa unaiangalia bahari kama itaongezeka au vipi.
 
Three days watuhumiwa tayari,sisi je mpaka FBI kaja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…