Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
- Thread starter
- #61
Hapo hapo wengine watasema sababu nzima ya hawa immigrants kuua watu ni mfumo mzima ulio strict wa immigration uliomnyima yule kaka mkubwa uraia wa Marekani na nafasi ya kupigania Marekani boxing katika Olympic. Kwa kuwa alikuwa na kesi ya "domestic violence". Kwa hiyo mfumo wa immigration ulegeze masharti.
Candid Scope ame copy paste (hana kipya alicholeta)
Radhia Sweety anakuja na kukemea "copy paste" kwa non-arguments zilizokuwa sio tu copy pasted, bali hata ridiculed na parodied on Twitter, Slate.com na Salon.com.
Tumefikia pahali si tu tuna kina Candid Scope wanaleta ma spam ya copy paste, bali hata wanaowakemea kina Radhia Sweety wanawakemea kwa kutumia some absurd copy pasted to death non-arguments!
Kiranga
Tatizo ni kutojua maana sahihi ya nyanja za habari, vinginevyo hakuna kipya kinacholetwa na mleta matukio isipokuwa mfanya matukio ndio ajitangaze kitu ambacho hakifanyiki hivyo. Mwandishi wa habari anapohangaika huku na kule kupata news na picha za matukio ni kitu kile kile cha copy and paste kwa maana anakopi matukio yaliko na pamoja na kukopy taswiras kisha kutuletea kwanye audience ya newsmadia. Asiyeelewa hilo asome kidogo mambo ya uandishi kuhusu matukio na utunzi wa rewaya. Vinginevyo anataka tulete tungo za rewaya au tungo zenye kuhitaji wanaokuna vichwa katika kujadili kama ilivyo jukwaa lile la Home of great thinkers. Magazeti karobu yote news zenye uzito na zinazouza magazeti ni za matukio ambazo huangukia kwenye copy matukio na vivuli vya matuki na paste kwanye kurasa za magazeti na other media for audience.
Kwa namna moja au nyingine uandishi wa habari hizi za kushikwa majasudi kwa Radhia Sweety ni kitu kingine pengine cha kiitikadi kumalizia yaliyomo moyoni, la sivyo habari nyingi tulizonazo hapa ni za mtindo huo wa copy and paste.
Nimeshuhudia wengi wa watanzania ni wale wa daraja la kati na la chini katika kupima mambo.Kuna madaraja yafuatayo kisaikolojia:
- Akili ndogo hupenda kuongelea watu.
- Akili za wastani hupenda habari za matukio.
- Akili za juu ni wale wanaoongelea mambo ya maendeleo na namna kujijenga kimaisha.
Nimejaribu binafsi na baadhi ya watu hapa kuweka mada za kuzibuni kutokana na hali ya maisha kiuchumi, kisiasa, kijamii nk, hoja hizo hazijadiliki isipokuwa ukipata watu 5 ni bahati. Lakini weka habari matukio au kuongelea mambo ya watu hapo jukwaa litachangamka.