masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Povu la manjano hili ahahahahhahaKisla kisla wee umepatia wanakuona sawa na dr of divinity [emoji4] kale tano msikitini gavana [emoji12]
Hoja yako iko wapi Mungu wako mwenyewe halishauriana na shetani na hakaruhusu kumtoa majipu Ayubu na kumfanya hatakalo ila roho tu asiiguse , ahahahahahaha Mungu wako anajua roho ndio muhimu tu vingine vyote kamwachia ibilisigongo mpaka sardaus [emoji117] View attachment 860499View attachment 860500 jihadi yoote hiyo mpaka unakamuliwa ngama na kupulizwa makalio na ibilisi msikitini [emoji117] View attachment 860502...sikupi pole mambo ya kujitakia mnyewe [emoji12] [emoji33]
Ahahahhaahahahahaahhah zawadi malidhawa ndio maana selemani alianza mapema wanawake 700, kazi kwako Ahahahaha jitese huko mbinguni uende ukaimbe mpaka koo likukauke mjitesa ujinga kabisaa yaani malipo kuimba kweli!!Kwani unapofuzu na kukabidhiwa mahulu 72 Wenye makalio ujiuji ft.40 kiuno kama nyigu unapo wangonoa allah naye anaona, unavyo pata speed ya kumwako kumwangu bwabwaju...[emoji38] [emoji38]
Shetani amepewa mamlaka na Mungu wako kumfanya Ayubu chochote ila roho tu ndio aiache ahahahaahaahahhaHapa wamesha mpopoa mawe shetani kawashinda [emoji117] View attachment 860508 [emoji38] [emoji38] [emoji38] kazikeni sasa [emoji24] [emoji24]
Ahahahahhhaha punguza jazba hata Israel ni watoto wa mungu hata Wewe ni mtoto wa Mungu sasa ubaba huo hauna shida, ubaba wenye shida ni wa Bikira maria mama wa Mungu hizi ndio kufuru mnazofundishana , yaani ni upuuzi mtupu mbona ww ni mtoto wa Mungu lakini mbona mama yako haitwi mama wa Mungu? msipoacha kufuru hizo mtapata tabu sana
Ahahahahhhaha punguza jazba hata Israel ni watoto wa mungu hata Wewe ni mtoto wa Mungu sasa ubaba huo hauna shida, ubaba wenye shida ni wa Bikira maria mama wa Mungu hizi ndio kufuru mnazofundishana , yaani ni upuuzi mtupu mbona ww ni mtoto wa Mungu lakini mbona mama yako haitwi mama wa Mungu? msipoacha kufuru hizo mtapata tabu sana
Quran imemaliza kazi Unachofanya wewe ni kulalamika , Ndio maana amesema kuhusu mke ( Bikira maria mama wa Mungu) , huo ndio upuuzi mnaofundisha kila siku bila aibu , Mungu amebainisha njia mbili ukikufuru utaadhibiwa na ukishukuru utapata malipo mema sasa ulitaka Mungu aangamize kila mtu sisi mualamaa ndio kazi yetu kumitoa katika giza watu wanaokufuru kama wwkama ndivyo mbona allah amekulupuka kuzogodoa Wenye Itikadi Hiyo [emoji117] View attachment 860575 hadi povu limemjaa anamuomba Mwenyezi Mungu awaangamize [emoji117] View attachment 860577 angekuwa yeye ndiye Mwenyezi Mungu kwa povu hilo hakuna angebakia lakini huyu ni popo bawa amebakia kulia lia [emoji12] Mwenyezi Mungh watu maradhi yakiwazidi huwa Anawaangamiza kama alivyo iangamiza dunia kwa kuigharikisha kwa Maji! akaja tena kuiangamiza kwa moto! allah yeye analia lia tu ooh Mwenyezi nakuomba uwaangamize [emoji15] [emoji12] [emoji4] kumbe kujikomba komba na upambe nuksi kulianzia kwake [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hata ww Mungu na baba yako , mbona mama yako humuiti mama wa Mungu?, ahahahahaahhhah kwa vile ww mmasai unajistukiaKwani hujui hata Bikira Maria anamuita Mungu ni Baba yake [emoji15] [emoji4] mawazo yenu yamesheheni ngono ngono ngono...vaa mkanda ukajilipue View attachment 860583 uwahi dangulo fake la allah [emoji15]
sasa huoni unavyo kufuru kwa kuitakidi Mwenyezi hana UWEZO Wa KUWA NA MWANA BILA KUWA NA MKE [emoji47] Wakati hata bi adija mnamuita mama wa waumini..ndio sababu hata allah amesha sema kwa ujinga KINGA wenu waislamu woote motoni [emoji53] [emoji4]Quran imemaliza kazi Unachofanya wewe ni kulalamika , Ndio maana amesema kuhusu mke ( Bikira maria mama wa Mungu) , huo ndio upuuzi mnaofundisha kila siku bila aibu , Mungu amebainisha njia mbili ukikufuru utaadhibiwa na ukishukuru utapata malipo mema sasa ulitaka Mungu aangamize kila mtu sisi mualamaa ndio kazi yetu kumitoa katika giza watu wanaokufuru kama ww
Mtu aliopanda baba kassim umesha zaa haya matunda [emoji117] View attachment 860538View attachment 860539View attachment 860541 huyu sijui kakosa nafasi [emoji117] View attachment 860543 unaonaje hapo kibuzi marka [emoji38] [emoji38]
sasa huoni unavyo kufuru kwa kuitakidi Mwenyezi hana UWEZO Wa KUWA NA MWANA BILA KUWA NA MKE [emoji47] Wakati hata bi adija mnamuita mama wa waumini..ndio sababu hata allah amesha sema kwa ujinga KINGA wenu waislamu woote motoni [emoji53] [emoji4]
Hata ww Mungu na baba yako , mbona mama yako humuiti mama wa Mungu?, ahahahahaahhhah kwa vile ww mmasai unajistukia
Futa kumbukumbu zako baadae uje uifute hiyo Aya.Hata kama wamegundua kwamba Mungu hakuwahi kusema hivyo kwamba Jua linachwea katika matope meusi,ni suala la kukiri tu hadharani na kufuta hiyo aya na kisha maisha yanaendelea.Kwani kuna shida gani kufuta hiyo aya katika Kurani na kubakisha yale yaliyo ya kweli?
Muhamad alitakiwa Apewa tuzo ya Oscar kwa kudanganya watu wengi zaidi hapa duniani akifuatiwa na Bi Hellen G White
Eti hata wewe mungu na baba yako [emoji15] hovyo kama ilivyo akili yako ya kisla kisla [emoji12] kiti amesha kuvaa eeh [emoji15] [emoji12] Tunajadili Maandiko dogo! Mkiambiwa mwalimu wenu Wa somo la kumjua Mungu hana SIFA wala MAMLAKA ya Kufundisha hilo somo mnawaka [emoji12]
MBONA HUNA JIPYA AU WEWE UNAPUNGUZA MADUDE KWENYE SERVER ???
Dini zilizomo ndani ya Biblia na wahusika wake
Pamoja na Biblia tukufu kumwelezea kwa ufasaha Mungu-Yehova mwenye sifa kuu kamilifu, takatifu na za pekee (kama tulivyoona katika matoleo yaliyopita ya gazeti hili), imegundulika kuwa ndani ya Biblia pia mnafundishwa dini mbili tofauti. Dini ya kwanza ni ya Mungu-Yehova ambayo ndiyo dini aliyowafunulia Mitume na Manabii wake wote hadi Nabii wake wa mwisho Mtume Muhammad (s.a.w.). Na kama maandiko matakatifu yanavyofundisha (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), dini yake hii, Mungu-Yehova au Allah tokea asili ameiwekea utaratibu kamili na madhubuti wa ibada anazotaka afanyiwe Yeye Peke yake.
Ama ya pili, Biblia imebainisha pia kuwa ni dini ya mungu-mtu ambaye ni tofauti kabisa katika kila hali na Mungu-Yehova. Nayo (dini hii) kama maandiko hayo (ya Biblia tukufu) yanavyofundisha, pia imewekewa ibada zake anazofanyiwa mungu-mtu, ambazo zi tofauti kabisa na ibada zile anazofanyiwa Mungu-Yehova.
Dini hizi mbili ambazo zote zinapatikana ndani ya hicho hicho kitabu kimoja (cha Biblia) daima haziungani mkono. Kinyume chake zinapingana na kugongana moja kwa moja kiasi kwamba imani za msingi za dini moja zimekuwa ni kufru kwenye imani za msingi za dini ya pili.
Bahati mbaya rafiki zangu Wakristo hawalijui hili na mara zote dini hizi wamekuwa wakizichambua pamoja kwa namna ambayo Mungu wa huku wanampeleka kule na Mungu wa kule wanamleta huku!
Kwa hali hiyo, nimedhamiria kuweka wazi hali hii, ili Mungu-Yehova adhihirike kuwa ni nani na abaki katika nafasi yake; na huyo mungu-mtu naye adhihirike ajulikane kuwa ni nani. Na nitafanya hivi kwa kutumia maandiko ambayo sote tunayakubali, yaani Wakristo na Waislamu pia. InshaAllah.
Pamoja na ukweli huo, lakini kabla sijazibainisha dini hizo na wahusika wake, yafaa kwanza tukajikumbusha hapa chini maneno yafuatayo ya Mungu-Yehova aliyowafunulia mapema baadhi ya watumishi wake. Alisema:
"Mungu si mtu, aseme uongo, Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena hatalifikiliza?" (Hesabu 23:19)
Pamoja na Yeye kuwa na dini yake (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), hapo juu Mungu-Yehova bado anatusisitiza kwamba kwa kuwa Yeye kamwe hana sifa za mtu (kama zile za kusema uongo wala kujuta), basi anakataa katakata kwamba Yeye si mtu wala si mwanadamu. Na ni wazi kuwa Mungu-Yehova ameamua kusema hivyo ili kututahadharisha mapema ili hapo baadae tutakapoletewa miungu-watu tufahamu kuwa miungu hao kamwe siyo Mungu-Yehova wala ndani yao hamna sifa yake yoyote wala utukufu wake wowote.
haya ndy majib sahihiPicha ya kwanza na ya tano nikiwa namsimulia mtu jinsI nilivyoliona jua linazama nikamiambia nimeliona jua linazama kwenye maji nitakua namaanisha linazama kwenye maji kweli au ndivyo nilivyoona kwa muono wangu? VipI kuhusu picha ya pili Jua si naliona linazama ardhini? Na picha ya tatu utamuelezeaje mtu kwamba unaliona jua linazama vipi? Nikisema nyuma ya mlima nitakosea? Picha ya nne nikisema jua limezama kwenye mawingu meusi je?
Nadhani hata huyo anaesimuliwa katika Qur an anasema aliliona jua linazama katika matope meusi kwa muono kama huo hapo juu.View attachment 814741View attachment 814742View attachment 814743View attachment 814744View attachment 814745
Wengine wanahakiki kauli ya allah kwa kutumia &%$* [emoji12]Ndio umeandika nini? mbona havina maana au ili mradi uandike tu Ahahahaha
Naomba nikuulize unaamini kipi kati ya sayansi na dini (imani)Kama aya za kitabu cha Mungu zinahitaji msuli kuzielewa basi huyo Mungu kashindwa kazi na katungwa na watu tu, hayupo.
Aangekuwepo, aya zake zisingehitaji kueleweka kw amsuli.
As a matter of fact, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote haandikwi kwenye kitabu.
Kwa sababu ana access ya moja kwa moja kwenye ubongo wa kila mtu, kwa nini aandikwe kwenye kitabu?
Ukiona Mungu huyo kandikwa kwenye kitabu, ujue ni watu tu wameandika hizo habari.
Kwa nini Mungu asiweke kila kitu wazi kwa kila mtu kwenye ubongo wa kila mtu bila kuhitaji kitabu, sijui tafsiri kutoka lugha fulani na utata mwiiingi?
Mungu huyo hayupo, aliyeandikwa katungwa na watu tu.