Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
gongo mpaka sardaus [emoji117] View attachment 860499View attachment 860500 jihadi yoote hiyo mpaka unakamuliwa ngama na kupulizwa makalio na ibilisi msikitini [emoji117] View attachment 860502...sikupi pole mambo ya kujitakia mnyewe [emoji12] [emoji33]
Hoja yako iko wapi Mungu wako mwenyewe halishauriana na shetani na hakaruhusu kumtoa majipu Ayubu na kumfanya hatakalo ila roho tu asiiguse , ahahahahahaha Mungu wako anajua roho ndio muhimu tu vingine vyote kamwachia ibilisi
 
Kwani unapofuzu na kukabidhiwa mahulu 72 Wenye makalio ujiuji ft.40 kiuno kama nyigu unapo wangonoa allah naye anaona, unavyo pata speed ya kumwako kumwangu bwabwaju...[emoji38] [emoji38]
Ahahahhaahahahahaahhah zawadi malidhawa ndio maana selemani alianza mapema wanawake 700, kazi kwako Ahahahaha jitese huko mbinguni uende ukaimbe mpaka koo likukauke mjitesa ujinga kabisaa yaani malipo kuimba kweli!!
 
Ahahahahhhaha punguza jazba hata Israel ni watoto wa mungu hata Wewe ni mtoto wa Mungu sasa ubaba huo hauna shida, ubaba wenye shida ni wa Bikira maria mama wa Mungu hizi ndio kufuru mnazofundishana , yaani ni upuuzi mtupu mbona ww ni mtoto wa Mungu lakini mbona mama yako haitwi mama wa Mungu? msipoacha kufuru hizo mtapata tabu sana

kama ndivyo mbona allah amekulupuka kuzogodoa Wenye Itikadi Hiyo [emoji117]
IMG_20180902_185310_663.jpg
hadi povu limemjaa anamuomba Mwenyezi Mungu awaangamize [emoji117]
IMG_20180908_165614_822.jpg
angekuwa yeye ndiye Mwenyezi Mungu kwa povu hilo hakuna angebakia lakini huyu ni popo bawa amebakia kulia lia [emoji12] Mwenyezi Mungh watu maradhi yakiwazidi huwa Anawaangamiza kama alivyo iangamiza dunia kwa kuigharikisha kwa Maji! akaja tena kuiangamiza kwa moto! allah yeye analia lia tu ooh Mwenyezi nakuomba uwaangamize [emoji15] [emoji12] [emoji4] kumbe kujikomba komba na upambe nuksi kulianzia kwake [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Attachments

  • IMG_20180902_185310_663.jpg
    IMG_20180902_185310_663.jpg
    37.8 KB · Views: 19
Ahahahahhhaha punguza jazba hata Israel ni watoto wa mungu hata Wewe ni mtoto wa Mungu sasa ubaba huo hauna shida, ubaba wenye shida ni wa Bikira maria mama wa Mungu hizi ndio kufuru mnazofundishana , yaani ni upuuzi mtupu mbona ww ni mtoto wa Mungu lakini mbona mama yako haitwi mama wa Mungu? msipoacha kufuru hizo mtapata tabu sana

Kwani hujui hata Bikira Maria anamuita Mungu ni Baba yake [emoji15] [emoji4] mawazo yenu yamesheheni ngono ngono ngono...vaa mkanda ukajilipue
oopsbomb.gif
uwahi dangulo fake la allah [emoji15]
 
kama ndivyo mbona allah amekulupuka kuzogodoa Wenye Itikadi Hiyo [emoji117] View attachment 860575 hadi povu limemjaa anamuomba Mwenyezi Mungu awaangamize [emoji117] View attachment 860577 angekuwa yeye ndiye Mwenyezi Mungu kwa povu hilo hakuna angebakia lakini huyu ni popo bawa amebakia kulia lia [emoji12] Mwenyezi Mungh watu maradhi yakiwazidi huwa Anawaangamiza kama alivyo iangamiza dunia kwa kuigharikisha kwa Maji! akaja tena kuiangamiza kwa moto! allah yeye analia lia tu ooh Mwenyezi nakuomba uwaangamize [emoji15] [emoji12] [emoji4] kumbe kujikomba komba na upambe nuksi kulianzia kwake [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Quran imemaliza kazi Unachofanya wewe ni kulalamika , Ndio maana amesema kuhusu mke ( Bikira maria mama wa Mungu) , huo ndio upuuzi mnaofundisha kila siku bila aibu , Mungu amebainisha njia mbili ukikufuru utaadhibiwa na ukishukuru utapata malipo mema sasa ulitaka Mungu aangamize kila mtu sisi mualamaa ndio kazi yetu kumitoa katika giza watu wanaokufuru kama ww
 
Kwani hujui hata Bikira Maria anamuita Mungu ni Baba yake [emoji15] [emoji4] mawazo yenu yamesheheni ngono ngono ngono...vaa mkanda ukajilipue View attachment 860583 uwahi dangulo fake la allah [emoji15]
Hata ww Mungu na baba yako , mbona mama yako humuiti mama wa Mungu?, ahahahahaahhhah kwa vile ww mmasai unajistukia
 
Quran imemaliza kazi Unachofanya wewe ni kulalamika , Ndio maana amesema kuhusu mke ( Bikira maria mama wa Mungu) , huo ndio upuuzi mnaofundisha kila siku bila aibu , Mungu amebainisha njia mbili ukikufuru utaadhibiwa na ukishukuru utapata malipo mema sasa ulitaka Mungu aangamize kila mtu sisi mualamaa ndio kazi yetu kumitoa katika giza watu wanaokufuru kama ww
sasa huoni unavyo kufuru kwa kuitakidi Mwenyezi hana UWEZO Wa KUWA NA MWANA BILA KUWA NA MKE [emoji47] Wakati hata bi adija mnamuita mama wa waumini..ndio sababu hata allah amesha sema kwa ujinga KINGA wenu waislamu woote motoni [emoji53] [emoji4]
 
Mtu aliopanda baba kassim umesha zaa haya matunda [emoji117] View attachment 860538View attachment 860539View attachment 860541 huyu sijui kakosa nafasi [emoji117] View attachment 860543 unaonaje hapo kibuzi marka [emoji38] [emoji38]

MBONA HUNA JIPYA AU WEWE UNAPUNGUZA MADUDE KWENYE SERVER ???

Dini zilizomo ndani ya Biblia na wahusika wake

Pamoja na Biblia tukufu kumwelezea kwa ufasaha Mungu-Yehova mwenye sifa kuu kamilifu, takatifu na za pekee (kama tulivyoona katika matoleo yaliyopita ya gazeti hili), imegundulika kuwa ndani ya Biblia pia mnafundishwa dini mbili tofauti. Dini ya kwanza ni ya Mungu-Yehova ambayo ndiyo dini aliyowafunulia Mitume na Manabii wake wote hadi Nabii wake wa mwisho Mtume Muhammad (s.a.w.). Na kama maandiko matakatifu yanavyofundisha (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), dini yake hii, Mungu-Yehova au Allah tokea asili ameiwekea utaratibu kamili na madhubuti wa ibada anazotaka afanyiwe Yeye Peke yake.

Ama ya pili, Biblia imebainisha pia kuwa ni dini ya mungu-mtu ambaye ni tofauti kabisa katika kila hali na Mungu-Yehova. Nayo (dini hii) kama maandiko hayo (ya Biblia tukufu) yanavyofundisha, pia imewekewa ibada zake anazofanyiwa mungu-mtu, ambazo zi tofauti kabisa na ibada zile anazofanyiwa Mungu-Yehova.

Dini hizi mbili ambazo zote zinapatikana ndani ya hicho hicho kitabu kimoja (cha Biblia) daima haziungani mkono. Kinyume chake zinapingana na kugongana moja kwa moja kiasi kwamba imani za msingi za dini moja zimekuwa ni kufru kwenye imani za msingi za dini ya pili.

Bahati mbaya rafiki zangu Wakristo hawalijui hili na mara zote dini hizi wamekuwa wakizichambua pamoja kwa namna ambayo Mungu wa huku wanampeleka kule na Mungu wa kule wanamleta huku!

Kwa hali hiyo, nimedhamiria kuweka wazi hali hii, ili Mungu-Yehova adhihirike kuwa ni nani na abaki katika nafasi yake; na huyo mungu-mtu naye adhihirike ajulikane kuwa ni nani. Na nitafanya hivi kwa kutumia maandiko ambayo sote tunayakubali, yaani Wakristo na Waislamu pia. InshaAllah.

Pamoja na ukweli huo, lakini kabla sijazibainisha dini hizo na wahusika wake, yafaa kwanza tukajikumbusha hapa chini maneno yafuatayo ya Mungu-Yehova aliyowafunulia mapema baadhi ya watumishi wake. Alisema:

"Mungu si mtu, aseme uongo, Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena hatalifikiliza?" (Hesabu 23:19)

Pamoja na Yeye kuwa na dini yake (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), hapo juu Mungu-Yehova bado anatusisitiza kwamba kwa kuwa Yeye kamwe hana sifa za mtu (kama zile za kusema uongo wala kujuta), basi anakataa katakata kwamba Yeye si mtu wala si mwanadamu. Na ni wazi kuwa Mungu-Yehova ameamua kusema hivyo ili kututahadharisha mapema ili hapo baadae tutakapoletewa miungu-watu tufahamu kuwa miungu hao kamwe siyo Mungu-Yehova wala ndani yao hamna sifa yake yoyote wala utukufu wake wowote.
 
sasa huoni unavyo kufuru kwa kuitakidi Mwenyezi hana UWEZO Wa KUWA NA MWANA BILA KUWA NA MKE [emoji47] Wakati hata bi adija mnamuita mama wa waumini..ndio sababu hata allah amesha sema kwa ujinga KINGA wenu waislamu woote motoni [emoji53] [emoji4]

Asili ya imani ya mungu-mtu na desturi zake

Kulingana na mafundisho ya Biblia tukufu, asili ya imani ya mungu-mtu imetokana na watu wa mataifa, yaani wapagani ambao wengi wao ndio ambao hawakubahatika kufikiwa na ujumbe wa Mungu-Yehova kupitia msururu wa Manabii wake ambao kwa idadi kubwa aliwatuma kwa wana wa Israeli.

Kwa hali hiyo, ni wazi kuwa watu hawa (wa mataifa au wapagani) walikuwa mbali kabisa na Mungu-Yehova kwa kutomjua na kwa hiyo wakaangukia katika imani potofu ya kuamini miungu bandia yenye desturi za kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Uthibitisho wa hayo tunaupata katika maandiko ya Biblia tukufu yafuatayo:

"Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamake, ambaye hajaenda kabisa. Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena, ambaye akamkazia macho na kuona kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, simama kwa miguu yako sawa sawa. Akasimama upesi akaenda. Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Kilikaonia, miungu wametushukia kwa mifano ya wanadamu. Wakamwita Barnaba, Zeu na Paulo, Herme, kwa sababu ndiye aliyekuwa mnenaji. Kuhani wa Zeu ambaye hekalu lake lilikuwa mbele ya mji, akaleta ng'ombe na taji za maua hata malangoni, akitaka kutoa dhabihu pamoja na makutano". (Matendo ya Mitume 14:8-13)

Tunachoelezwa na maandiko hayo ya Biblia Tukufu hapo juu ni kwamba, Bwana Paulo na mwenzie Barnaba walipofika Listra (huko kwa watu wa mataifa au wapagani) waliwakuta wenyeji wa huko tayari walikuwa na dini yao yenye miungu iliyokuwa na tabia ya kujigeuza kuwa wanadamu. Miungu hiyo ambayo tayari ilikuwa na majina yao kama hayo ya Zeu na Herme, walikuta pia tayari imewekewa taratibu za dini, ikiwemo hiyo ya kuwa na mahekalu.

Aidha, waliikuta dini yao hiyo tayari imewekewa pia utaratibu wake wa ibada wanazoifanyia miungu yao hiyo; kama hiyo ya kuitolea miungu hiyo dhabihu kwa kuichinjia wanyama na kadhalika.

Maelezo hayo ya Biblia vile vile yanaonyesha pia kuwa kwa kuathiriwa na imani yao hiyo ya miungu-watu, watu hao (wa mataifa au wapagani) walipokuwa wakimwona mtu afanyaye maajabu, basi humwita mtu huyo kuwa ni mungu kwa majina ya miungu yao hiyo (akina Zeu na Herme) kama walivyowaita hapo kina Paulo na mwenzie Barnaba kwa kuona jinsi walivyomfanyia maajabu kiwete. Kwa kuwa waliamini kuwa miungu yao ndio ifanyayo hivyo.

Kwa ujumla basi, hiyo ndiyo hali halisi aliyoikuta Bwana Paulo na mwenzie Barnaba kwa watu wa mataifa yaani wapagani.

Kwa shuhuda hiyo ya Biblia, tunaona wazi kuwa asili ya imani ya mungu-mtu mwenye desturi ya kujigeuza mwanadamu inatokana na watu wa mataifa, yaani wapagani.
 
Hata ww Mungu na baba yako , mbona mama yako humuiti mama wa Mungu?, ahahahahaahhhah kwa vile ww mmasai unajistukia

Eti hata wewe mungu na baba yako [emoji15] hovyo kama ilivyo akili yako ya kisla kisla [emoji12] kiti amesha kuvaa eeh [emoji15] [emoji12] Tunajadili Maandiko dogo! Mkiambiwa mwalimu wenu Wa somo la kumjua Mungu hana SIFA wala MAMLAKA ya Kufundisha hilo somo mnawaka [emoji12]
 
Hata kama wamegundua kwamba Mungu hakuwahi kusema hivyo kwamba Jua linachwea katika matope meusi,ni suala la kukiri tu hadharani na kufuta hiyo aya na kisha maisha yanaendelea.Kwani kuna shida gani kufuta hiyo aya katika Kurani na kubakisha yale yaliyo ya kweli?
Futa kumbukumbu zako baadae uje uifute hiyo Aya.
 
Eti hata wewe mungu na baba yako [emoji15] hovyo kama ilivyo akili yako ya kisla kisla [emoji12] kiti amesha kuvaa eeh [emoji15] [emoji12] Tunajadili Maandiko dogo! Mkiambiwa mwalimu wenu Wa somo la kumjua Mungu hana SIFA wala MAMLAKA ya Kufundisha hilo somo mnawaka [emoji12]

Mbona hamnà mapicha ya advertisement au ulisahau??
Mwenye mamlaka ni Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis??
 
MBONA HUNA JIPYA AU WEWE UNAPUNGUZA MADUDE KWENYE SERVER ???

Dini zilizomo ndani ya Biblia na wahusika wake

Pamoja na Biblia tukufu kumwelezea kwa ufasaha Mungu-Yehova mwenye sifa kuu kamilifu, takatifu na za pekee (kama tulivyoona katika matoleo yaliyopita ya gazeti hili), imegundulika kuwa ndani ya Biblia pia mnafundishwa dini mbili tofauti. Dini ya kwanza ni ya Mungu-Yehova ambayo ndiyo dini aliyowafunulia Mitume na Manabii wake wote hadi Nabii wake wa mwisho Mtume Muhammad (s.a.w.). Na kama maandiko matakatifu yanavyofundisha (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), dini yake hii, Mungu-Yehova au Allah tokea asili ameiwekea utaratibu kamili na madhubuti wa ibada anazotaka afanyiwe Yeye Peke yake.

Ama ya pili, Biblia imebainisha pia kuwa ni dini ya mungu-mtu ambaye ni tofauti kabisa katika kila hali na Mungu-Yehova. Nayo (dini hii) kama maandiko hayo (ya Biblia tukufu) yanavyofundisha, pia imewekewa ibada zake anazofanyiwa mungu-mtu, ambazo zi tofauti kabisa na ibada zile anazofanyiwa Mungu-Yehova.

Dini hizi mbili ambazo zote zinapatikana ndani ya hicho hicho kitabu kimoja (cha Biblia) daima haziungani mkono. Kinyume chake zinapingana na kugongana moja kwa moja kiasi kwamba imani za msingi za dini moja zimekuwa ni kufru kwenye imani za msingi za dini ya pili.

Bahati mbaya rafiki zangu Wakristo hawalijui hili na mara zote dini hizi wamekuwa wakizichambua pamoja kwa namna ambayo Mungu wa huku wanampeleka kule na Mungu wa kule wanamleta huku!

Kwa hali hiyo, nimedhamiria kuweka wazi hali hii, ili Mungu-Yehova adhihirike kuwa ni nani na abaki katika nafasi yake; na huyo mungu-mtu naye adhihirike ajulikane kuwa ni nani. Na nitafanya hivi kwa kutumia maandiko ambayo sote tunayakubali, yaani Wakristo na Waislamu pia. InshaAllah.

Pamoja na ukweli huo, lakini kabla sijazibainisha dini hizo na wahusika wake, yafaa kwanza tukajikumbusha hapa chini maneno yafuatayo ya Mungu-Yehova aliyowafunulia mapema baadhi ya watumishi wake. Alisema:

"Mungu si mtu, aseme uongo, Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena hatalifikiliza?" (Hesabu 23:19)

Pamoja na Yeye kuwa na dini yake (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), hapo juu Mungu-Yehova bado anatusisitiza kwamba kwa kuwa Yeye kamwe hana sifa za mtu (kama zile za kusema uongo wala kujuta), basi anakataa katakata kwamba Yeye si mtu wala si mwanadamu. Na ni wazi kuwa Mungu-Yehova ameamua kusema hivyo ili kututahadharisha mapema ili hapo baadae tutakapoletewa miungu-watu tufahamu kuwa miungu hao kamwe siyo Mungu-Yehova wala ndani yao hamna sifa yake yoyote wala utukufu wake wowote.

Hwishi kumdharau mtume wako [emoji47] Yaani ulicho copy na kututupia kama hujui KINAMNYIMA KWA ASILIMIA 100% SIFA YA KUWA MTUME, NABII, NA KIONGOZI...HERI YA WEWE KULIKO BABA KASSIM [emoji12] Hadi ANAAMINI [emoji117]
IMG_20180826_203118_456.jpg
IMG_20180826_203042_052.jpg
na Amewahakikishia vipo safi na hana ubaguzi [emoji4] Leo hii gavana ameona hivyo vitabu haviaminiki [emoji15] na anabagua [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimesha kukuchonga kwa allah [emoji4]
 
Picha ya kwanza na ya tano nikiwa namsimulia mtu jinsI nilivyoliona jua linazama nikamiambia nimeliona jua linazama kwenye maji nitakua namaanisha linazama kwenye maji kweli au ndivyo nilivyoona kwa muono wangu? VipI kuhusu picha ya pili Jua si naliona linazama ardhini? Na picha ya tatu utamuelezeaje mtu kwamba unaliona jua linazama vipi? Nikisema nyuma ya mlima nitakosea? Picha ya nne nikisema jua limezama kwenye mawingu meusi je?

Nadhani hata huyo anaesimuliwa katika Qur an anasema aliliona jua linazama katika matope meusi kwa muono kama huo hapo juu.View attachment 814741View attachment 814742View attachment 814743View attachment 814744View attachment 814745
haya ndy majib sahihi
 
Kama aya za kitabu cha Mungu zinahitaji msuli kuzielewa basi huyo Mungu kashindwa kazi na katungwa na watu tu, hayupo.

Aangekuwepo, aya zake zisingehitaji kueleweka kw amsuli.

As a matter of fact, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote haandikwi kwenye kitabu.

Kwa sababu ana access ya moja kwa moja kwenye ubongo wa kila mtu, kwa nini aandikwe kwenye kitabu?

Ukiona Mungu huyo kandikwa kwenye kitabu, ujue ni watu tu wameandika hizo habari.

Kwa nini Mungu asiweke kila kitu wazi kwa kila mtu kwenye ubongo wa kila mtu bila kuhitaji kitabu, sijui tafsiri kutoka lugha fulani na utata mwiiingi?

Mungu huyo hayupo, aliyeandikwa katungwa na watu tu.
Naomba nikuulize unaamini kipi kati ya sayansi na dini (imani)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom