Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

Hakuna mchezo hapo ilaha ni vita na shehetani [emoji53] Ayubu hakushika jiwe kumpopoa shetani na ALISHINDA [emoji123] [emoji106] Hawa walio nunua mawe kwa dola na kumvambia shetani wakiwa nusu uchi shetani kawashinda [emoji117] bishia manake ubishi kwenu ni miratul rasul [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
ahahahahahahahahhhahahaa ndio kaongea nini? unatumalizia MB zetu kusikiliza matapishi hayo ahahahahhahahaha
Hata mende kwa kuzowea kulabua mavi chooni ukimpa pilau ataona matapishi [emoji38] [emoji38]
 
Mbona unakimbia swali?? Hivi huyo mungu aliyejitia nyama akajifanya binadamu Huo uungu alikuwachia wewe??!

Hivi huyo mungu Anaye msalia baba yake fatuma na kuoga Akiwa na janaba na unajua sababu za kuoga [emoji117] na yeye anapulizwa makalio kama wewe anapo swali [emoji117] wewe unamsujudia eti ndie aliye kuumba wee kichwani ni maradhi ati [emoji38] [emoji38] [emoji33]
 

Attachments

  • IMG_20180910_104926_273.jpg
    70.3 KB · Views: 22
Huwezi na huna UWEZO wa kufanya Mungu toy ilaha Mungu ANA UWEZO WA Kukufanya wewe toy ima uoze ugeuke funza au Leo uwe mbuguma vidume wanakugombea [emoji123] [emoji106] TAMKA UWEZO HUO MUNGU HANA [emoji15] [emoji47]
Mimi siwezi kumfanya Mungu toy kweli kabisa ndio maana utanisikia nikiongea kuwa Mungu katundikwa kama nyama ya mbuzi, lakini wewe na wenzako mnamfanya Mungu toy watu wanamtemea mate mara wamempiga mikuki huo ni mchezo wanaofanyiwa matoy, usipoacha imani hiyo iliozeeka naya ovyo itakula kwako ahahahahahahahahaha
 
Ahahahahahhahhahahahahahaha bado ujaelewa mambo sio kosa lako sijaona hoja yako ya msingi uislamu umeelekeza vizuri namna ya kumswalia mtume sasa uvivu wako wa kusoma unakuja na udhu kwa kweli unatapata kwelikweli mimi sio kosa langu,halafu umeleta unarudia tena picha ile ile unayotuma ya maelekezo ya udhu unaonekana umefulia umekosa jipya unaweweseka
 
Naona umeanza kuchanganyikiwa au unajitia wazimu , hivi wapi uliniuliza suali la majina 99 ya Allah??
Kama unakimbia kujibu swali langu kistyle kimbia Tu si aibu
Wapi nilikuuliza majina 99 ya Allah?

Post namna 2337 umeisoma? Umeiruka tu humuisoma? Umeisoma ukaisahau? Umeisoma ila hukuielewa? Au umeisoma, ukaielewa, ila unajibaraguza tu?

God omnipotence in the bible

God is Omnipotent

God is omniscient in the bible

God is Omniscient
 
A ha hahahhhahahahahahaahahah hoja ya msingi imekwisha Ayubu alichezewa na shetani , hayo mapicha unayotoa nikujifurahisha tu maana umeshikwa pabaya unaamua kujitekenya na kucheka mwenyewe , ahahahahahahahahaajajajahaja sasa ameamia kwenye mapicha na malink kama mwanzo mambo yamekuwa magumu
 
kwasababu ni mbobezi kwenye kusaidia watu
Siongelei habari za jumla jumla naongelea mimi specifically.

Kipi kilichokufanya ufikirie utaweza kunisaidia mimi na si mimi kukusaidia wewe?

Ubobezi wako usilete ulowezi.
 
Siongelei habari za jumla jumla naongelea mimi specifically.

Kipi kilichokufanya ufikirie utaweza kunisaidia mimi na si mimi kukusaidia wewe?

Ubobezi wako usilete ulowezi.
Kama nilivyoandika juu hapo kwakuwa wewe(kiranga) ni mtu, hofu ondoa naweza kukusaidia haya niambie tatizo lako ni lipi nikusaidie
 
Kama nilivyoandika juu hapo kwakuwa wewe(kiranga) ni mtu, hofu ondoa naweza kukusaidia haya niambie tatizo lako ni lipi nikusaidie
Tatizo langu la awali kabisa hujaweza kuniambia kwa nini unafikiri unaweza kunisaidia.

Kiranga is a singularity.
 
Tatizo langu la awali kabisa hujaweza kuniambia kwa nini unafikiri unaweza kunisaidia.
Unarudia jambo lile lile nimeshakwambia mimi ni mbobezi kwenye kusaidia watu , unachotakiwa ni kutoa tatizo lako usaidiwe
 
Unarudia jambo lile lile nimeshakwambia mimi ni mbobezi kwenye kusaidia watu , unachotakiwa ni kutoa tatizo lako usaidiwe
Kama huwezi kunisaidia kunieleza kwa nini unafikiri unaweza kunisaidia huwezi kunisaidia kwa makubwa zaidi ya hilo.

Ahsante.
 
Kama huwezi kunisaidia kunieleza kwa nini unafikiri unaweza kunisaidia huwezi kunisaidia kwa makubwa zaidi ya hilo.

Ahsante.
Mficha maradhi kifo umuumbua, endelea kukumbatia tatizo lako wakati mbobezi nipo tena wakujitolea bila malipo

Kila la kheri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…