Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.


Mukuli Bokera! nikupe kweli hii baada ya miaka.500 Kaja Muhammad ibn abd allah akaanza kusimulia kwamba nimefunuliwa na Mungu kwamba kulikuwa na isa ibn mariam mjukuu wa Imran hawakumsulubu wala kumuua! Unamuelewaje?
 
Anza kunya kisha chukua kopo piga ile nawaitul raafal hadatha [emoji53] kidole cha kati mpaka ndaniii [emoji23]
ndio umeandika nini? ungekuwa timamu ungekuwa ushaacha imani za kijuha kuwa Mungu kafanywa kikaragosi na raia
 
Mukuli Bokera! nikupe kweli hii baada ya miaka.500 Kaja Muhammad ibn abd allah akaanza kusimulia kwamba nimefunuliwa na Mungu kwamba kulikuwa na isa ibn mariam mjukuu wa Imran hawakumsulubu wala kumuua! Unamuelewaje?
Kama Wewe mpaka leo Umeshindwa kuthibitisha huyo yesu unaemsema kasulubiwa je alisulubiwa saa ngap? mohamadi amesema kweli
 
Ahahahahhhahahaa labda waraka kwa wagalatia , hoja ya msingi imekwishwa swafan kulala na aisha ni uzushi na udaku , kwasababu ili uonekane umesema kweli lazima kuwe na mashahidi 4, na kwasababu umekosa hao mashahidi wewe unabakia kuwa ni mmbeya uliokubuhu
 
Ahahahahhahahahahahha bure kabisa hivi uoni aibu kuwa unaonekana mjinga, Mungu amesema Aisha hakuzini Wewe unalazimisha kazini sasa hizo si bange, halafu hiyo hadith inasema watatu shetani ndio kwa maana anawashawishi sasa ni juu ya wawili hao kukubali au kukataa ushawishi huo , labda nikuulize swali dogo kwani kila shetani anaposhawishi watu kufanya uovu huwa anafanikiwa kwa kila mtu? ebu acha gongo hapo hakufanikiwa ndio maana hakuna ushahidi wowote unaokulinda umebaki kubweka kama mbwa aahahahhahahhhhah
 
Ahahhaahahahhahahhahahahahaha ndio ujue waislamu tunajua hili ni jiwe na huyu yesu ni mtu , huwezi kuta tunaabudu vitu au viumbe wa Mungu badala ya Mungu, Omar amesema kweli na wala mtume akuwai kuwaambia waislamu waabudu kiumbe au Jiwe, hayo mambo huko kwenu mpaka wacheza filamu mnawajaza mapicha yao makanisani ahahahahahaahahahaha
 
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO NI MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] Habari ndio hiyo hutaki meza sumu ya panya usepe [emoji38] [emoji38]
Ahahahhahahaahaaaaaa siwezi kumeza kwasababu mjinga kakumbatia ujinga, ntakachofanya ni kuendelea kumtoa gizani kuwa Yesu alikuwa anajamba kama ww acha imani za kibahau
 
Kama UJASILIMU unajidanganya bureeeee, wewe endelea kujipa moyo huku unaungua , Mungu alisema tumiulize swali moja tu je MMESILIMU? kama bado changamka mda umebaki mdogo
 

You killed it, even a fool can understand your detailed explanation. Bravo.
Some people reject the truth only because it requires change.
 
Mukuli Bokera! nikupe kweli hii baada ya miaka.500 Kaja Muhammad ibn abd allah akaanza kusimulia kwamba nimefunuliwa na Mungu kwamba kulikuwa na isa ibn mariam mjukuu wa Imran hawakumsulubu wala kumuua! Unamuelewaje?


Kwani Biblia inasemaje?

Mathayo anatufahamisha katika Injili yake:

"Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako. Akajibu, akawaambia, kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona. Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mt. 12:38-40) (Rejea Yona 1:15 –2:1).

Kwa maelezo haya ya Yesu ni kwamba hatakufa kama vile ambavyo Yona hakufa, ila atakaa kaburini siku tatu, mchana na usiku kwa kila siku, na hivyo kusingekuwa na ufufuko. Lakini Mathayo anaeleza katika 27:45 – 28:1-6 kwamba Yesu alikufa, akazikwa kisha akafufuka. Kanisa nalo linafundisha kwamba Yesu alikufa Ijumaa jioni na akafufuka Jumapili alfajiri, yaani kukaa kaburini siku moja na nusu tu.

Bado kuna hitilafu nyingi kuhusu mwisho wa Yesu baada ya kukamatwa.

Kwa mfano, Marko anasema Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi (Mk. 15:25) lakini Yohana anasema alisulubiwa baada ya saa sita mchana (Yn. 19:14).

Luka anapingana anaposema kwamba Yesu alipaa siku ile ile aliyofufuka (Lk. 24:13-51).

Lakini katika kitabu chake cha Matendo ya Mitume akaeleza kuwa alipaa siku ya arobaini baada ya kufufuka (Mdo 1:1-12).

Licha ya hayo, hakuna ushahidi wowote unaothibitisha kama Waandishi wa Injili nne walikuwa watu wa kutumainiwa na walioongozwa na Mungu. Kwa mfano, Biblia Takatifu, Agano Jipya, UBS 1990, inaeleza katika uk. 13 "utangulizi wa Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo":

Injili ya Mathayo haisemi chochote kuhusu mtungaji wake. Kadiri ya mapokeo ya zamani, Mathayo mtoza ushuru na mmoja wa Mitume kumi na wawili aliandika maneno ya Yesu katika lugha ya Kiaramu. Bahati mbaya mtungaji wa Injili yetu ya sasa aliyeandika katika lugha ya Kigiriki (ambaye habari zake maalum hatuna) aliongozwa na mawaidha ya Mathayo, mfuasi wa Yesu).

Na kuhusu Injili ya Luka tunaelezwa:

Kadiri ya mapokeo ya zamani Injili ya tatu imeandikwa na Luka aliyezaliwa Antokia akawa Daktari. Alikuwa mpagani (au wa asili ya mazingira ya Kigiriki) si Myahudi kama walivyokuwa akina Mathayo, Marko na Yohana (Uk. 84 wa Biblia hiyo hiyo).

Nayo Biblia Takatifu T.M.P. Book Department Tabora, 1967, uk, 911 inaeleza kwamba Marko hakuwa mwanafunzi wa Yesu, na Injili yake ni muhtasari wa mafundisho ya Petro. Na ama Injili ya Yohana inajishuhudia yenyewe kwamba waandishi wake ni wengi na wala hawafahamiki:

Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli. (Yn. 21:24).

Na hii ikawa ndio sababu ya wasomi wa juu wa Kikristo kusema kwamba mwandishi wa Injili hii sio Yohana, huenda labda ni wanafunzi wake (Dictionary of the Bible, John Mackenzie; 1981 maelezo kuhusu Injili ya Yohana).

Napenda kukufahamisha kwamba utupe hoja kuthibitisha kwamba itikadi unayoitetea haikujengeka juu ya dhana.

Pia kwa Waislamu kupinga kifo cha Yesu sio kumpinga Mungu kwa sababu Mwenyezi Mungu hajasema mahali popote kwamba Yesu kafa.

Hayo ni madai ya watu wasiofahamika (kwa wanahistoria wa Kikristo na Wakristo wenyewe) pamoja na Wapagani.

Tuzingatie tahadhari aliyoitoa Mwenyezi Mungu katika Qur’an Tukufu:

Basi adhabu kali itawathibitikia wale wanaoandika kitabu kwa mikono yao, kisha wakasema, "hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu". (Wanasema uwongo huo) ili wachukue thamani ndogo ya kilimwengu. Basi ole wao kwa yale walivyoyaandika kwa mikono yao (wakasingizia kuwa ya Mungu). Na ole wao kwa yale wanayoyachuma. ( Qur’an Tukufu 2:79).
 
You killed it, even a fool can understand your detailed explanation. Bravo.
Some people reject the truth only because it requires change.


Mr. Venture 😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
huyo humjui [emoji47] ni mtoto Wa abd allah [emoji4]


WATOTO WA PAULO HAWA


German report details widespread and ongoing clerical child sex abuse
Study finds evidence of nearly 4,000 cases of abuse, and says it ‘continues to take place’

Wed, Sep 12, 2018, 19:17


Derek Scally in Berlin



Bishop Stephan Ackermann of Trier, who was appointed head of German Catholic efforts to investigate the scale of abuse in church ranks, described the results as “depressing and shameful for us”. File photograph: Torsten Silz/AFP/Getty Images





German researchers have uncovered evidence of at least 3,677 cases of clerical physical and sexual abuse in the German church over seven decades.

A 350-page report, due to be presented later this month but leaked on Wednesday, found the most recent cases date from 2010. This suggests that abuse of minors by Catholic clerics in Germany is in no way a “historical phenomenon but . . . continues to take place”.

The study covers 38,000 church files from 27 German dioceses, with indications that 1,670 German clerics abused mostly young boys, up to a half under 13 years old at the time. The vast majority of victims had contact with clergy in a religious or pastoral context and over half – 969 – were altar boys.

The number of collated abusers corresponds to 4.4 per cent of active religious – rising to 5.1 per cent among parish priests. But the authors warned that “this represents a low estimate”.

Weeks after the Philadelphia grand jury report uncovered decades of clerical abuse, and a papal visit to Ireland dominated by its abuse legacy, the German abuse report uncovered about 600 incidents of statutory rape.

In echoes of Ireland, researchers found that many priests facing accusations were moved without their new parish being informed of the circumstances.

By doing so, German bishops had “recklessly or consciously accepted” the related risk to children in new parishes, the authors of the report said.
 
Mukuli Bokera! nikupe kweli hii baada ya miaka.500 Kaja Muhammad ibn abd allah akaanza kusimulia kwamba nimefunuliwa na Mungu kwamba kulikuwa na isa ibn mariam mjukuu wa Imran hawakumsulubu wala kumuua! Unamuelewaje?
Mkuu mgeni, hayo ni mambo ya kiimani inahitaji open mind kujifunza ya upande usiokuwa kwako, mababu zetu wasingepokea mapya uislamu na ukiristo visingekuwepo kwetu, so open your mind to allow learning process to take place, binafsi tangia udogo wangu nliposikia wakristo namm muislamu ilinichanganya sana, nliwaza ikiwa Luna mungu wawili???, BT toka nkiwa kidato cha kwanza nmekua karbu sana na wakristo ili nijue wanachoabudu! maana Kama makundi mawili makubwa kila watu wanamungu wao maana yake nilitaka kujua!!! na nlijifunza kwa moyo safi nkaelewa na nmekuw mwislamu halisi wa kujua ila mwanzo nlikua wa kuzaliwa tu.ila kungekua sahihi huko wallah ningehami! NAKUJIBU SASA, Mungu alituma manabii wengi na kwavipindi tofauti ili kuleta ujumbe wake kwa watu MF musa, nuhu, yesu, daudi, Muhammad Nk. Na wrote walileta ujumbe kwanamna tofauti kadri Mungu alivyomkadiria. Maana ake ni kwamba manabi wote walitumwa na Mungu mmoja katika vipindi tofauti tofauti na Muhammad ndie mtume wa mwisho kuja BT yupo ambae alipaa atarudi(yesu)kila hatakuja mpya baada ya Muhammad. kabla ya Adam kushushwa tayari shetani alikuwepo hapa duniani na alikua keshaeneza tamaduni zake za kichawi kila kona, ndio maana utakuta kila kijiji inasemekana Luna mambo ya kishirikina, hivyo Mungu nlikua anatuma mitume ili kulingania watu namna ya kuishi(katiba y duniani/vitabu vya Mungu)na kila mtume alikuja katika kipindi maalumu kwa watu wa enzi maalumu.anapoondoka nabii mmoja ajae mpya anaweza kuwa na mabadiliko Fulani ya kisheria kadri Mungu anavyomuongoza.kwahyo si ajabu baadhi ya mambo ya musa yakafanana na ya yesu au Muhammad, Muhammad amekuja na sheria zake lakini Mungu akaona busara kutukusanyia habar na visa vya manabii waliopita ili tujua kuwa sisi si wa kwanza kutungiwa sheria, hizi tafrani za kidini ni kazi Ya IBILISI kuvuluga wanadamu tena kwakutumia wanadamu vibaraka wake hata kuyumbisha maandiko ya Mungu, so tuwe lakini TUSIONE TWAELEA TUMEUMBWA, na aliyetuumba katupa muongozo wa namna ya kuishi hapa duniani na kwa zama hizi Qur'an ndio. nb.anapokuja nabii mpya wapi waliobaki na sheria za nabii aliepita,vile wapi ambao si waislamu wala wakristo kila ni watu wa matambiko tu,MWENYEZIMUNGU NDIE MJUZI ZAIDI TUSIMUINGILIE KATIKA MAMLAKA YAKE, JIULIZE ULITOKA WAPI? KWANINI UPO HAPA? NA BAADA YA HAPA UTAENDA WAPI? vile unaweza pata raha au tabu wakati umelala kupitia ndoto basi labda hata ukifa nafsi yako itayahisi hayo, chukulia usingizi ni mfano wa kifo na ndoto ndo mfano wa malipo yako.vile mambo duniani yalivyopangika, bila shaka Luna aliyeyapanga, naamini anayeishi kwa kufuata injiri, torati, zaburi na Qur'an tukufu wanamalipo mwema wakifa, Kufa ni lazima,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…