Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Unakuja na story zako za kipaganizm. Majibu ninayo ila Sioni umuhimu wa kukufafanulia. Najua unatafuta sababu ili nionekana na kashifu Dini yako. Shame on you.

Nataka unijibu hili.
Unaelewa nini unaposikia neno "Supersitition?".
 
mushahara ona mwenzio kaja na c&p kaona ni rejea safi sanaà kuliko alio waachia allah kwa kinywa cha baba fatu [emoji4] kama wewe sio kafir mrekebishe ilaha kama kafir kausha [emoji4]
Hiyo ndio ibada iliyobaki ,kutandikana miti
 
Unakuja na story zako za kipaganizm. Majibu ninayo ila Sioni umuhimu wa kukufafanulia. Najua unatafuta sababu ili nionekana na kashifu Dini yako. Shame on you.

Nataka unijibu hili.
Unaelewa nini unaposikia neno "Supersitition?".
Kwani Roho Mtakatifu wako Leo Kalala vibaya hajakusaidia kulijua hata uniulize mimi
 
Umechanganyikiwa. Huna hoja.
Hoja ni wapi yesu alitamka Mimi ndiye Mungu?

Utabaki kuleta maneno ya watu ya kuunga unga na tafsiri za LGBT za John 1.1 mara John 10,30 Mara ndoto za walioshiba divai na kiti Moto , Alfa na Omega
 
NIMEIPITIA VEMA HII MADA KWA UFUPI WAISLAMU WAJITAFAKARI VEMA NA KUIJUA VEMA DINI YAO NA MTUME WAO....
Kuna uongo mwingi sana ndani yake
 
Hoja ni wapi yesu alitamka Mimi ndiye Mungu?

Utabaki kuleta maneno ya watu ya kuunga unga na tafsiri za LGBT za John 1.1 mara John 10,30 Mara ndoto za walioshiba divai na kiti Moto , Alfa na Omega
for the works which the Father has given Me to finish—the very works that I do—bear witness of Me, that the Father has sent Me. And the Father Himself, who sent Me, has testified of Me. You have neither heard His voice at any time, nor seen His form. But you do not have His word abiding in you, because whom He sent, Him you do not believe. You search the Scriptures, for in them you think you have eternal life; and these are they which testify of Me. But you are not willing to come to Me that you may have life” (John 5:36-40).
 
NIMEIPITIA VEMA HII MADA KWA UFUPI WAISLAMU WAJITAFAKARI VEMA NA KUIJUA VEMA DINI YAO NA MTUME WAO....
Kuna uongo mwingi sana ndani yake
Mkuu, Umesema Vyema sana.

Kuna mengine hata ukieleza hapa kwa ushahidi wa ayah na hadithi za Koran bado watajihisi kukashifiwa na sio kuelezwa Ukweli. Na hii ni Kwakua ni Ukweli Mchungu sana.

Hapa nilipo kuna mengine, nasita ku post kwasababu yatawaongeza Uchungu.
 
Alitamka wapi , Mimi ndiye Mungu?? Or I am God worship me??
 

Hilo ndilo domo Jumba la maneno
 
Alitamka wapi , Mimi ndiye Mungu?? Or I am God worship me??
Yohana 1:1-5
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
[5]Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.



Yohana 17:5
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.


1 Wakorintho 8:6
lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.

Yohana 10:30
[30]Mimi na Baba tu umoja.

Yohana 10:36
[36]je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?
 
Kwa Ubongo wa Gavana ninavyoujua. Atatafuta topic mpya ili kuendelea na jihadi.[emoji2] [emoji2]
 
Mbona kila siku amtuelewe , Yesu kasema mjifunze kwake wap kamifundisha yeye ni Mungu?
 
Ahahaahaahaaha ukweli mchungu ni kuamini kuwa 1+1+1=1 hizi hesabu ata kichaa hawezi andika hilo jibu au ukweli mwengine ni kumfanya mtu kama ww kuwa Mungu tena unamsemea kana kwamba mwenyewe mdomo wake ulikuwa umeshonwa hii ni hatar kwelikweli
 
Wewe mtumwa hawezi kuwa sawa na mtumaji ahahaahaahaaha uwezi kuta sehemu yesu kafundisha hicho unachokilazimisha, baba ni mkuu kuliko mimi
 
NIMEIPITIA VEMA HII MADA KWA UFUPI WAISLAMU WAJITAFAKARI VEMA NA KUIJUA VEMA DINI YAO NA MTUME WAO....
Kuna uongo mwingi sana ndani yake
Kama unaamin Mungu wako alitundikwa kama nyama na viumbe wake ili awaokoe viumbe hao hao kutoka kwa kiumbe mwengine(shetani) nafikir hata akili yako haiko sawa , Mungu kachonga kinyago halafu kinamtisha bureee kabisaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…