Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Alisema.... enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu.

Sasa sisi ni wanafunzi wa Kristo. Ufupi.. Wakrito.
Jibu swali nani alimiambia nyie ni wakristo? wapi mlianza kuitwa wakristo, wanafunzi wa yesu wameishi na yesu mda wote hakuna aliejiita mkristo
 
Tofautisha Judaism , Israel na ukristo. Ukristo ni imani agano uliloasisiwa na Yesu. Haujawahi kuwa dola na kupigania ardhi au lolote katika dunia. Na. pia tofautisha Ukristo na Uroma au Usabato au Protestant .

Samwel alikua na mission kwa Waisrael kupigania uwepo wake ili dunia tuamini Mungu anayeabudiwa Israel ni mkùu kuliko miungu wengine wote akiwemo Allat.

Pia Samwel kama nabìi hakuwahi kùua kama Mohamed wa warembo.
 

[emoji118] [emoji117] hujui kusoma, aliye takiwa kukusomea kafa...hivyo sishangai unavyo yapotoa Maandiko[emoji12]
 
Kwa nyongeza.

Vita za kinadaudi zilikua za kitaifa si kidini hawakulazimisha mateka wao kuabudù katika Judaism. Ile Mohamed alilazimisha victim kuwa waislam
 
Ahahahahahahahahhhhahahahahahaha utakataa vitabu vyote vya nyuma, sasa unashangaa vipi nabii kupigana vita kumbe unajua wakina samweli walipigana ahahahahahaahhahhahaaha , ndio maana nikasema hoja yako haina mashiko mpaka unamuona Yesu anazaliwa hapo watu wamemwaga damu na Mungu aliwaamuru kumwaga damu za watu, kwahiyo amri ya kupigana vita sio ngeni kwa Mungu
 
Kwa nyongeza.

Vita za kinadaudi zilikua za kitaifa si kidini hawakulazimisha mateka wao kuabudù katika Judaism. Ile Mohamed alilazimisha victim kuwa waislam
Ahahahaahahahaah Musa alipagana vita zote za kidini ndio maana aliambiwa awapige mpaka waache kuabudu masanamu( vita vya kitaifa wapi na wapi na kuabudu)
 
View attachment 867962 [emoji118] [emoji117] hujui kusoma, aliye takiwa kukusomea kafa...hivyo sishangai unavyo yapotoa Maandiko[emoji12]
Petro huyu ndio yule asie na elimu au kuna mwengine? Ahahaahahahhhhj
MATENDO YA MITUME 4:13
";Basi walipoona ujasiri wa PETRO na YOHANA,na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na ELIMU, wasio na MAARIFA , wakastaajabu,,wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na yesu";

ahahahhahabahaahajajajjjaja unamaanisha hawa au kuna wengine
 
Issue ni ukristo haujawahi kuenezwa kwa panga. Note Ukristo ulianza kwa Yesu.

Na vita za kabla ya Yesu hakuwa na lengo la kueneza Judaism. Bali kudhihilisha Mungu wa Judaism ni mkùu kuliko miungu yote hata mungu Allah wa Waomori na Wakoreshi kwao na Mohamed wa Mademu. Alishindwa vita na Mungu wa Israel
 
Kwahiyo kwa hoja yako ni kuwa Mungu wa Musa na Mungu wa samweli alifanya kosa kuruhusu matumizi ya panga?
 
Mpaka yesu anaondoka hakuna ukristo wew unapaswa kutuambia nani alianza kumiita nyie wakristo?
 
Ahahahaahahahaah Musa alipagana vita zote za kidini ndio maana aliambiwa awapige mpaka waache kuabudu masanamu( vita vya kitaifa wapi na wapi na kuabudu)
Hahaha. Naona unatunga kitabu mpya kama Mohamed. Hiyo haujawahi kuweko katika bible. Mussa hajawahi kuwafanya kabila lolote waabudu katika Judaism.
 
Maligo ndio nini wewe? unajibujibu tu kipigo kimekuwa kikali kama cha mbwa koko ahahahahaahhahhahajahaha
eti kipigi [emoji38] [emoji38] [emoji38] basi hapo kwa akili za kisilamu unaona umepatiaaà na unamnusuru mtume [emoji4]
 
Hahaha. Naona unatunga kitabu mpya kama Mohamed. Hiyo haujawahi kuweko katika bible. Mussa hajawahi kuwafanya kabila lolote waabudu katika Judaism.
Ahaahahahahahhahhha rudi tena ukasome uwezo wako mdogo hii ndio amri aliopewa musa na akaitekeleza mjomba hatubahatishi
KUMB la Torati 20:17-18
17";Lakini uwaangamize kabisa , mhiti, na mwamori, na mkaanan, na mperizi , na mhivi,na myebusi, kama alivyokuamuru Bwana Mungu wako;
18";. Wasije WAKAWAFUNZA kufanya mfano wa MACHUKIZO yao, yote; waliyoifanyia MIUNGU yao; hivyo itakuwa ni MAKOSA juu ya Bwana, Mungu wenu";

ahahahahahahahahhahahahhaha tena WAUENI wote kwa taarifa yako hao ndio walikuwa wenye nchi yao hiyo ya ahadi, kisingizio cha kuwaua umekiona mubashara " “WASIJE WAKAWAFUNZA KUFANYA MFANO WA MACHUKIZO YAO YOTE,WALIYOIFANYIA MIUNGU YAO" ,hii ni sababu tu lakini lengo walikuwa wanataka kupora nchi ya watu
 
eti kipigi [emoji38] [emoji38] [emoji38] basi hapo kwa akili za kisilamu unaona umepatiaaà na unamnusuru mtume [emoji4]
Mbona unalialia ndio kwanza nimeanza kutoa mabomu ya mkono , utaita maji mma Wewe ni jiwe juu ya jiwe
 
Ndo tofauti na Mohamed. Mohamed aliteka na kuwafanya waislam.

Pia jua ilikua Katka establishment ya state of Israel.

Katika establishment of Christianity hakuna vita ni neno tu.

Uislam wao ni upanga na mademu basi. .
 
Mbona unalialia ndio kwanza nimeanza kutoa mabomu ya mkono , utaita maji mma Wewe ni jiwe juu ya jiwe

Umesha vurugwa uko mbende mbende..umebakia ooh mabomu ya mkono, mma ndio maji, ndio unamnusuru baba fatù kihivyo [emoji12] Fundisha uislamu na umgeze baba kassim kama shababi [emoji53]
 
Namaanisha mikengele [emoji53]
 
Waandishi waliandika kile walichoandika. Hata Leo tukio moja reporter huandikà katika angel tofauti na priority tofauti.
Ni kweli kwani mimi nikikuambia uliandika message yako 9:34 am na mwengine akiandika uliandika message yako saa 12:34 pm wote wako sawa au vipi ??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…