Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

Sasa ngoja tukonyeshe uongo wako;

Nakunukuu;
2. “Believers, do not ask about things which, if revealed to you, would disappoint you. Some people before you did ask such questions, and on that account LOST THEIR FAITH.” (Quran. 5: 101-102)

Hiyo[emoji121]️ tafsiri yako ya uongo umeizusha na kuandika uongo usiokuwa na tija.

Tafsiri ya kweli ipo kama ilivyo hapo chini[emoji116][emoji116];
Quran 5:101
O you who have believed, do not ask about things which, if they are shown to you, will distress you. But if you ask about them while the Qur'an is being revealed, they will be shown to you. Allah has pardoned that which is past; and Allah is Forgiving and Forbearing.

Tafsiri hiyo inakupa wazi kuwa wewe ni mzushi.

Nakunukuu;

Quran 10:47
And for every nation is a messenger. So when their messenger comes, it will be judged between them in justice, and they will not be wronged.

Hiyo verse haiashirii kuwa Mohammed amekuja kwa waarabu peke yake. Soma uelewe kilichoandikwa.

Quran 14:4
And We did not send any messenger except [speaking] in the language of his people to state clearly for them, and Allah sends astray [thereby] whom He wills and guides whom He wills. And He is the Exalted in Might, the Wise.

Hiyo pia verse iko wazi kusema kuwa mitume yote imekuja na lugha ya watu atokeapo. Wazungu wanasema Charity begins at home. Yaani kitu chochote kizuri kwanza unaanza na watu wako wa Karibu. Yaani Mtume Muhammad ameleta ujumbe kutoka kwa Mungu kwa kuanzia kwa watu wake kwanza. Au ulitaka uongee lugha gani kwako ili iwe sawa??? Au ulitaka YESU aongee kiswahili na Mayahudi wenzake? Wangemuelewa? Au Musa angekuwa anaongea kichina Wayahudi wangeelewa?? Mitume yote ni binaadamu na walikuwa wana makabila kama Mimi na wewe. Kwani wao ni viumbe tu. Kwa hiyo lazima waongee lugha atokeapo. It is VERY STUPID to say Mtume kaja kwa waarabu tu kwa sababu alikuwa anaongea kiarabu na alitokea arabuni. That's foolish thing ever to hear.

Quran 16:36
And We certainly sent into every nation a messenger, [saying], "Worship Allah and avoid Taghut." And among them were those whom Allah guided, and among them were those upon whom error was [deservedly] decreed. So proceed through the earth and observe how was the end of the deniers.

Hiyo verse Mtume kaambiwa atuambie sisi kuwa MUNGU ameleta Wajumbe katika kila taifa lililopita. Hapo lugha ya wakati ULIOPITA imetumika. Hakuna maana kuwa YEYE ni Mtume wa WAARABU TU. Wewe unapotosha watu na kujipotosha wewe mwenyewe. Yaani umeandika upuuzi kweli.

Quran 5:48
And We have revealed to you, [O Muhammad], the Book in truth, confirming that which preceded it of the Scripture and as a criterion over it. So judge between them by what Allah has revealed and do not follow their inclinations away from what has come to you of the truth. To each of you We prescribed a law and a method. Had Allah willed, He would have made you one nation [united in religion], but [He intended] to test you in what He has given you; so race to [all that is] good. To Allah is your return all together, and He will [then] inform you concerning that over which you used to differ.

Hiyo translation haina ishara yoyote kama unavyodai wewe. Au hujui kiingereza? Hiyo verse inajieleza vizuri tu. Yaonekana ume copy & ku paste bila ya kuelewa unachokifanya. Haina dalili yoyote kuwa Muhammad kaja kwa Waarabu tu.

Quran 32:3
Or do they say, "He invented it"? Rather, it is the truth from your Lord, [O Muhammad], that you may warn a people to whom no warner has come before you [so] perhaps they will be guided.

Mtume Muhammad hajawekewa kikomo kwa kuambiwa kuwa yeye ameletwa kwa ajili ya Waarabu TU au kwa ajili ya watu fulani tu. Hiyo Verse inaashiria kuwa kaletwa kwa ulimwengu wote. Wewe mdengereko na Msukuma muliletewa Mtume wenu???? Basi hiyo verse inamuambia Muhammad kuwa yeye sio kwa waarabu tu bali kwa kila kabila liloluwa duniani wakiwemo na Wayahudi. Kwani katika hiyo Verse hakuna neneo TU lililotumika. Yaani katika miongoni kwa watu wa kuwaongoza ni pamoja na wale ambao hawaja shushiwa Wajumbe.

Quran 6: 156-157
[We revealed it] lest you say, "The Scripture was only sent down to two groups before us, but we were of their study unaware,"

Msije mukasema: maarifa wawili kabla yetu yameteremshiwa kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyokuwa wakiyasoma.

Hapo [emoji121]️[emoji121]️ MUNGU anawaambia waarabu wasitafute kisingizio cha kukataa ujumbe wa MUNGU eti kwa kuwa kitabu hakijashuka kwa lugha wanayoifahamu.

Hebu tazama tafsiri yako[emoji116][emoji116];
Na ili kuthibitisha hilo Ayati inahakikisha kua kama Koran ingeshushwa kwa wasio waarabu wasinge amini. Haina kichwa wala miguu. Kizungu kama hujui tazama Quran kwa tafsiriya lugha ya Kiswahili.


Quran. 26: 198-199
198And even if We had revealed it to one among the foreigners

199And he had recited it to them [perfectly], they would [still] not have been believers in it.

198 Na lau kuwa tungeli iteremsha juu ya mmoja wa wasio kuwa waarabu.

199 Na akawasomea, wasingelikuwa wenye kuamini.

Hapo MUNGU anamwambia Mtume wake kuwa hao watu wako wanakiburi. Angekuja mtu ambaye sio mwarabu wasingemkubali. Hizo a ya mbali hakuna mahusiano yoyote na hoja yako.


Sawa wewe tafsiri hii [emoji116][emoji116]umeitoa wapi????
Na ili kuepuka usumbufu Koran inazidi kusema. Inawataka wakristo kufuata mafundisho yao na mafunuo yao. Koran ni kwa wale tu wasiopata mafunuo.

Quran 5:19
O People of the Scripture, there has come to you Our Messenger to make clear to you [the religion] after a period [of suspension] of messengers, lest you say, "There came not to us any bringer of good tidings or a warner." But there has come to you a bringer of good tidings and a warner. And Allah is over all things competent.

Hapo MUNGU anawaonya nyinyi musiseme Muhammad kaja kwa waarabu tu, nyinyi pia Muko katika kuongozwa nae. Baadae musije mukasema hamujaletewa warning .

Tafsiri yako hapa [emoji116][emoji116]ipo sahihi. Nakunukuu;
Kwakua Allah anajua kuna watu wabishi Sana na hawaelewi. Na Yeye Anataka hata viziwi waelewe kile anachomaanisha kwa msisitizo kabisa.

Ni kweli kabisa munajijua kuwa munabisha bila sababu. Ni kiburi tu kinawasumbua.

Quran 6:92
And this is a Book which We have sent down, blessed and confirming what was before it, that you may warn the Mother of Cities and those around it. Those who believe in the Hereafter believe in it, and they are maintaining their prayers.

therefore, using the conjunction "and", the Quran says, "and so that you may warn the Mother of Cities and all around her", not "so that you may warn Makkah and all around her" and not "so that you may warn the Mother of Cities and all around her", stating that the purpose of the Quran and Prophet Muhammad being sent was not warning the nation of Arabs only but with the meaning of "the Quran is only a warning for the realms" the verse before it and that the vastness of its scope should not be forgotten. And especially the scope of the following verse is stated:

"O Muhammad! We have not sent thee but as a (Messenger) to men, giving them Glad tidings, and warning them (against sin)." (Saba', 34/28)

Wewe tafsiri zako zote ni za uongo. Umecopt na kupaste uongo wa mapadri zenu. Kwa kweli unajipotezea muda.
 


WAMECHANGANYIKIWA WAMECHUKUA BREAK , WANAKUJA NA MAJINA YA nyabhera 😛😛😛
 
Bikra muhimu ndio maana wenye Nguvu zao wakina selemani walikuwa na 700 , huu ni mzigo mkubwa kwa vibamia ahahahaaaaahahaahaa , mlichoahidiwa nyie ni kuimba na kuabudu, yaani kujitesa kote Kumbe ujira ni kuimba na kuabudu ahahahhahahahaaha
 
unapata kitabu gani maneno hayo ??
Imeeandikwa................ Yesu aliulizwa je ufalme wa Mungu unakuja lini akajibu...................... ufalme wa Mungu uu ndani yenu. Maana yake upo ni jambo la kiroho siyo political. soma mathayo 17 20 na 21. asante.
 
Imeeandikwa................ Yesu aliulizwa je ufalme wa Mungu unakuja lini akajibu...................... ufalme wa Mungu uu ndani yenu. Maana yake upo ni jambo la kiroho siyo political. soma mathayo 17 20 na 21. asante.
Usipende kugeneralize lete vifungu humu na nukuu zake ili ukikamatwa usibadilishe maneno
 
Imeeandikwa................ Yesu aliulizwa je ufalme wa Mungu unakuja lini akajibu...................... ufalme wa Mungu uu ndani yenu. Maana yake upo ni jambo la kiroho siyo political. soma mathayo 17 20 na 21. asante.



usidanganye bado jua halijatua ,MCHANA WOTE HUU ????? hata aibu huna wala kumwogopa mungu hujali !!!!!!!

MATHAYO 17:20 INASEMA


Matayo 17:20 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

20 Akawajibu, “Kwa sababu ya imani yenu ndogo. Nina waambieni kweli, mkiwa na imani kama punje ndogo ya haradali, mtauambia mlima huu, ‘Ondoka hapa uende pale’ nao utaondoka; na hakuna ambalo halitawezekana kwenu.

Matayo 17:21 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

21 “Lakini pepo wa aina hii hatoki ila kwa kuomba na kufunga.”]
 
Sorry nimekosea ni Luka si mathayo misitari hiyo hiyo. barikiwa
 
Sorry nimekosea ni Luka si mathayo misitari hiyo hiyo. barikiwa


Huko utakako na twende

Luka 17:20 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

20 Siku moja, Mafarisayo walipomwuliza Yesu Ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi: “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuone kana,
Luka 17:21 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
21 wala watu hawatasema, ‘Huu hapa’ au ‘Ule kule’ kwa maana Ufalme wa Mungu umo ndani yenu.”

Aya ya Mathayo 16:28 haiongelei ufalme wa mungu wa Mafarisayo , inaongelea baadaye watakapomwona mwana wa Adamu akija katika ufalme wa mungu

AU KISWAHILI KINAANZA KUKUPIGA CHENGA ????


“Amini nawaambieni, pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapo muona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.” (Mathayo 16:28
 
nikusaidia zaidi kunatofauti ya wanafunzi na theanshara. waliokuwa 12 ni thenashara,

NDIO UMEANDIKA LUGHA GANI HII HAPO KWENYE RED ??? MBONA UMEANZA KUCHANGANYIKIWA ???

HIVI YUDA HAYUMO KATIKA WANAFUNZI WAKE 12 ALIOWACHAGUA ??
thenashara maana yake 12. in this context ni wale wanafunzi kumi na mbili yesu aliowachagua lakini wanafunzi walikuwa wengi amabao walimfuata wenyewe na pale juu ulipouliza alikuwa anawajibu wanafunzi wengi si thenashara tu yaani wale kuminambili. note hata mini ni mwanafunzi wa Yesu ila si thenashara. afu nahisi sasa hivi jua linazama kwenye matope pande za huku kanda ya ziwa tanzania tetet Mohamed bwana
 
Imeeandikwa................ Yesu aliulizwa je ufalme wa Mungu unakuja lini akajibu...................... ufalme wa Mungu uu ndani yenu. Maana yake upo ni jambo la kiroho siyo political. soma mathayo 17 20 na 21. asante.
Ndio maana nikakwambia ulete nukuu kama ilivyo ili janja janja isiwepo mfano hiyo
MATHAYO 17:20-21 iko hivi
20"Yesu akawaambia , kwasababu ya upungufu wa imani yenu, kwa maana amin, nawaambia mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, ondoka hapa uende kule;nao utaondoka ;wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.
21"(lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga

Ahahahahhhaha umeona sasa wewe unazungumzia Ufalme wa Mungu, huku tunazungumzia mambo ya imani juu ya Mungu yaaani vitu vyenye muktadha tofauti
 


sasa katika hao 12 Yuda yumo au hayumo ???
 

haha. una shida kweli ndo maana unaburuzwa na iman za kuunga. kama ufalme wa Mungu ni wa kiroho basi Yesu alianzisha uflame wake wa kiroho nao ndo imani ya wanafunzi wake yani ukristo. basi miongoni mwao walimuona yesu katika uflme wake ya akiwa amefufuka ndipo uflme wake ukianza.
 
bob uwe unapitia basi tread tayari mwenzi alisha weka nikwamwambia nimekosea ni Luka si Mathayo mistari hiyo hiyo
 
sasa katika hao 12 Yuda yumo au hayumo ???
yumo. ila hujaelewa tofauti ya wanafunzi na thenashara. wanafunzi ndo waliambiwa na wakua wengi kama mkutano na akawaambia watashiriki katika kuhukumu kabila za Israel
 
yumo. ila hujaelewa tofauti ya wanafunzi na thenashara. wanafunzi ndo waliambiwa na wakua wengi kama mkutano na akawaambia watashiriki katika kuhukumu kabila za Israel


Usijisumbue bure wala usipoteze muda , Jee Yuda alichaguliwa au hakuchaguliwa katika hao 12 ???
 
Haya rudini kwenye mada. Allah wenu ilikuwaje adanganye jua linzama kwenye matope. neno hili kama lingekuwa limesemwa na Mohamed kiubinadamu nigeelewa nadharia zenu za eti aliona kwa mbali. lakini aliambiawa na Allah basi siamini Allah ni Mungu Mungu hawezi kuwa kuwa fala hivyo. hata asijue jua liko vipi.
 
What Your wrote in the above is in according to Islamic perseption. Not according to True Almighty Living God.

Besides none of you, have good deeds when it comes to faith. You only remained with bad deeds.
-It is acceptable to hate non-believers
-To kill Non-believers.
-To discriminate non-believers
- Bigotry: To call them Bad names like Kafir, Kuffar,Najis.
-to rape.
-To beat wives
-To enslave blacks
Etc.

[emoji115] These acts signify of devil presence.

No Human can serve fellow Human. Only God that can serve human. And that is Through Jesus Christ. 'the 'Word' .

Dhambi iliingia duniani kupitia Mti. Na imetoka kupitia Mti wa Msalaba.
Dhambi ilianzia Bustanini. Na Bustanini ndipo Ukombozi ulipoanzia.
Uumbaji ulianzia kwenye Maji. Na Uumbaji wa mara ya Pili unafanyika kwa Maji kupitia Ubatizo. We see science through all of it.
Kwa maana imeandikwa,

1 Corinthians 1:18
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…