Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.



Kuhusiana na Kafara


"Na katika kila ummah tuliwafundisha namna ya kufanya kafara ili wapate kulikumbuka na kulitukuza jina la Mwenyezi Mungu kwa riziki alizowaruzuku - - - nyama na damu havimfikii Mwenyezi Mungu, ni uchaji Mungu wenu ndio humfikia". (Quran 22:34,37)


Kwa hiyo, Uislamu haumini kwamba Yesu aliuliwa. Quran inasema:


"Walisema kwa jeuri, tulimuua Yesu kristo, mwana wa Mariamu, mjumbe wa Mwenyezi Mungu --- lakini hawakumuua wala hawakumsulubisha - bali Mwenyezi Mungu alimpaisha juu kwenda kwake (Mwenyezi Mungu)." (Quran 4:157-158)


Kwa kifupi, imani ya ukristo kuwa Yesu aliteswa na kuuliwa ili awe kafara ya dhambi za wanadamu haina nafasi yeyote katika Uislam. Waislamu wanaamini kwamba Mwenyezi Mungu anachotaka ni toba ya kweli:


"Ombeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu na tubuni toba ya kweli. Kwani Mola wangu bila shaka ni mwingi rehema na Mwenye kuwapenda waja wake." (Quran 11:90)
 
John 10:11
Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa UHAI WAKE kwa ajili ya kondoo.

HILI NDILO AGANO LA MILELE
John 6:51
Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; mtu akila chakula hiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.


John 6:54
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
 
Uislamu tumeifundisha kwelikweli lakini wahenga Wanasema" MWANA WA MTU KIZUKA AKIZUKA ZUKA NAE" tulia sindano ndio kwanza inaanza
kelele za Mlango hazimzuii MWENYE nyumba kupata usingizi mnonoõ [emoji106] wee mtu Mzima unamtishia nyau [emoji53] [emoji12]
 
Alie fanya dhambi ni Adam! sasa wewe gavanaUmefanya dhambi gani hadi umo humu duniani [emoji47] [emoji47]
 

hicho ulicho andika mbona muhammad hakuinua mkono Aseme Yesu una dhambi [emoji47] [emoji12] mzushi mkubwa wee [emoji15] OLE WAKO [emoji53]
 
Tukio limejaa utapeli mtupu unamsingizia yesu uongo , wapi yesu alikwambia nyekundu ndio dhambarau ? unamzushia uongo roho mtakatifu wakati uongo mmeandika wenyewe
Kakubaliane kwanza na baba fatuma afu uje [emoji12] kafir mkubwa wee [emoji12]
 
taja full adress wacha kutajataja vitu nusu , msimbazi kubwa sema ulipo tuje tukuvue ujinga uliokukaa kuhusu kuwapa uungu wajamba mashuzi ahahahah
HAKI YA MUNGU WEKA MIADI TUKUTANE WAPI TENA KWA GHARAMA ZANGU! NISIPO KUJA NILAANIWE MIMI NA KIZAZI CHANGU [emoji53]
 
Alie fanya dhambi ni Adam! sasa wewe gavanaUmefanya dhambi gani hadi umo humu duniani [emoji47] [emoji47]



Kuokoka kwa Imani Peke Yake


Kwa haraka haraka, imani ya wokovu katika Ukristo inasema kwamba mwanadamu anaweza kuokoka kwa kuamini tu kuwa Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu.


Kuwaridhisha Watu wa Mataifa (Gentiles)


Kulikuwa bado kuna suala juu ya nini kitakachotokea baada ya kifo. Mitume wote walifundisha juu ya raha za peponi na shida za motoni, Yesu pia alilifundisha hili. Waumini wapya wa Paulo walihofishwa sana juu ya hili. Walitaka kujua ni namna gani wangeweza kuwa na uhakika wa kuingia peponi pindi mwisho wa dunia utakapofika.


Sheria ya Kiyahudi ilifundisha kwamba mtu angeweza kuokoka kwa kutii sheria za Mwenyezi Mungu, watu wa mataifa, hawakulifurahia wazo hili. Walikwenda kulalamika kwa Paulo kwamba kutii sheria za Mwenyezi Mungu lilikuwa ni jambo gumu sana kwao. Katika kulitatua tatizo hili, Paulo alisema utii wa sheria halikuwa jambo la lazima:


"- - Ni dhahiri kwamba sheria haiwezi kumfanya mtu akubalike mbele ya Mungu- - - hakuna uhusiano kati ya sheria na imani --- kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria- - -". (Wagalatia 3: 11-13)


Japokuwa sheria ilikuwa inamweleza mwanadamu yepi ni mazuri na yepi ni maovu na kuwahimiza kufanya mema na kuepuka maovu Paulo alisema kwamba kuja kwa Yesu kulibatilisha msingi kwamba utii wa sheria ni muhimu kwa ajili ya wokovu:


"Maana mtu hufanywa akubalike mbele ya Mungu kwa imani si kwa kutimiza matakwa ya sheria." (Waroma 3:28)


Licha ya ukweli kwamba Yesu mwenyewe alisema kuwa hakuja kuivunja sheria bali kuikamilisha (Mathayo 5:17), Paulo alilidharau kabisa wazo hili, akasema kwamba kumuamini Yesu peke yake kunatosha kumfanya mtu aokoke.

Kwa mujibu wa Paulo, kuja kwa Yesu na kuyatoa maisha yake kama kafara ya dhambi za wanadamu, kulikuwa ndio mwisho wa haja ya kufuata sheria ya Mungu ili kupata wokovu.

Sasa hivi imani peke inatosha.

Uokovu sasa hivi haukutegemea ubora wa maisha ya mtu kimaadili au vitendo vizuri alivyovifanya, bali unategemea imani mtu aliyokuwa nayo.
 
Hafufuki ila aliyekufa. Inamaana YESU alikufa??? Yaani MUNGU alikufa??Halafu alipokufa huyo MUNGU dunia hii ilikuwa inaendeshwa na nani wakati alipokuwa KAFA????

Yaani kwa kweli Common sense haifanyi kazi mbele ya Imani. Munadanganywa kama watoto wadogo kwenye Biblia YENU.
 
Kwenye Ukristo tangu Historia. Kila Manabii wanamuashiria Kristo. Kuanzia Adam, Abraham moses, Na kuendelea..

Mark 8:29.
Naye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.

Neno hili liliwafanya hata wanafunzi wale kuona hakuna haja ya Yesu Kufa kwakua yeye ni Al-messiah.
Lakini ukiendelea Chini anawaambia huo ni Mpango wa Kimungu. Hauhitaji oppinions za wanadamu. Hauhitaji Opinions zako.
Kwahiyo Yeyote anayekataa kua Yesu hajafa. Anayo mawazo ya Shetani na sio Ya Mungu.
(Marko8:33)
 
Naona Taratiibu Unahubiri Injili. Upo vizuri.
Japo Tatizo lako bado unapomshambulia Paulo kwa kuandika Porojo zako.
Ni sawa Imani bila Matendo Imekufa. Wakristo wote Duniani wanalitambua Hilo100%.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
View attachment 868335 hicho ulicho andika mbona muhammad hakuinua mkono Aseme Yesu una dhambi [emoji47] [emoji12] View attachment 868336 mzushi mkubwa wee [emoji15] OLE WAKO [emoji53]


HUJAMJUA TU MZUSHI NI NANI ; USIWE MJINGA KIASI HIKI

Laana ya Sheria


Paulo alikuwa na sababu nyingine kuhusiana na msimamo wake juu ya sheria ya Mwenyezi Mungu. Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu "aliyetundikwa katika mti"--- kwa maneno mengine aliyesulubiwa "amelaaniwa na Mungu".


Ili kulinda hoja yake kuwa Yesu alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zetu, na kwa sababu sheria inasema aliyesulubiwa amelaaniwa, Paulo aliamua kuiponda sheria kwa kusema:


"Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na sheria, wako chini ya laana. --- Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajiliyetu; maana maandiko yasema "Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa". (Wagalatia 3:10:13)


Kwa sababu Paulo aliiona sheria ya Mungu kuwa ni laana, hivyo maneno ya Mungu katika kumbukumbu la Torati 21:23 hayakuwa na maana yoyote.

Alipotosha maneno ya aya hii kwa kusema kuwa kwa sababu Yesu alipatwa na laana kwa kuwa aliuliwa kwa kusulubiwa msalabani, na kwa vile yeye hakuwa na hatia, aliibeba laana hii kwa sababu ya dhambi za wengine.

Na kwa sababu hii (Yesu) hakuwa na chembe chembe zozote za aibu au udhahili unaotokana na laana.

Alilofanya Paulo hasa ni kulipa utukufu jambo ambalo awali lilikuwa linaonekana ni la aibu sana (kutundikwa msalabani) ili aweze (Paulo) kutetea imani aliyoanzisha kwamba uokovu umepatikana kwa sababu ya kusulubiwa na kufa kwa Yesu kwa kudai kuwa kutundikwa kwake msalabani (Yesu) hakukumletea aibu yoyote japo sheria haikubaliani na wazo hili.


Anis Shorrosh anasema: "Msalaba, alama ya aibu, kupitia kwa Yesu ulibadilika na kuwa changamoto. Msalaba, uliokuwa alama ya kifo, kupitia kwa Yesu, ulibadilika na kuwa alama ya uhai".


Kwa sababu ya upinzani mkali kutoka kwa wanafunzi wa Yesu, Paulo alilazimika kwenda pole pole katika utekelezaji wa jambo hili.

Alianza na kitu kimoja ambacho watu wa mataifa walikipinga sana, yaani kutahiri (tohara). Kwa mujibu wa Paulo, Ibrahimu alikuwa mwongofu hata kabla ya kutahiriwa, sasa kwa nini watu waendelee kusumbuliwa kwa kuwataka watahiriwe?

Paulo aliuupuza ukweli kwamba Mungu alikuwa ameweka agano hili mamia ya miaka kabla ya kuja Ibrahim.

Kwa upande wake Nabii Ibrahim alipewa amri hii kutoka kwa Mungu juu ya kuwatahiri watoto wa kiume wote kuanzia wa zama zile na wote ambao watafuatia baadaye katika kitabu cha Mwanzo 17:14, Mungu aliliweka wazi jambo hili:


"Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu".


Mtu anaweza kushangaa vipi Paulo aamue kuyafuta maneno haya ya Mungu bila uoga wowote. Ubatizo ulichukua nafasi ya tohara (kutahiri), kumwagiwa maji sasa kumefanywa kuwa ndio alama ya agano baina ya Mungu na Mkristo. Watu wa mataifa walifurahia sana mabadiliko haya yaliyofanywa na Paulo.


Baada ya hili alianza kufanya mabadiliko katika uhalali na uharamu wa vyakula, na masuala mengine yalifuatia moja baada ya jingine.

Ndani ya muda mfupi, sheria ya Mwenyezi Mungu haikuonekana tena kuwa ni mwongozo, unaostahiki kufuatwa katika maisha ya kila siku bali lililokuwa muhimu ni tu kuwa na imani kuwa Yesu aliteswa na hatimaye kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu. Hii ilikuwa inatosha kabisa kwa uokovu na sio kufuata sheria ya Mungu.


Kwa mujibu wa Paulo, suala la kufanya matendo mazuri kwa Mkristo linaweza tu "kuja lenyewe".

Na muhimu zaidi kwa mkristo ni kuelewa kwamba vitendo vizuri peke yake haviwezi kumfanya mtu aokoke hata kidogo.

Jambo pekee linaloweza kumfanya mtu aokoke ni imani juu ya uwezo wa Yesu wa kuokoa na kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi zetu ili tupate kuokoka - imani hii peke yake inatosha kumfanya mtu aokoke na adhabu ya moto wa jahanamu.
 
Allah does not like to have female children (Qur'an 53:21-22)

[emoji115] [emoji115]
WHAT ALLAH SAYS ABOUT HIMSELF.
Allah anataka watoto wa kiume..



 Qur'an 53:19-22:
19
Did you see Al-Lat and Al-'Uza

20 and Manat the third one?

21What for you the male gender ones and to Allah the females?

22This is a really unjustified division.

Binafsi Sijawahi kuona Mungu akizungumza kitu kama hicho hapo kabla.


 1)[emoji117] Allah says it is unfair for him to have daughters (Al-Lat, Al-‘Uza, and Manat) instead of sons.

2) [emoji117] it is unfair that the Arabs get sons—“for you the males and for me the females”—while he gets only daughters.


Fikiria sasa kama allah analalamika kua waarabu wamebarikiwa zaidi, kwasababu wana watoto wa Kiume(Sons). Wakati yeye ana mabinti tu(Daughters).


Je allah ndiye Muumbaji?

Kwanini hajajibarikia kua na wana wa kiume?

Qur'an 6:101
(Muhammad Pickthall translation) explains why:


The Originator of the heavens and the earth! How can He have a child, when there is for Him no consort, when He created all things and is aware of all things?


[emoji115] [emoji115] .

Qur’an 6:101 inahoji allah anawezaje kua na Mwana ikiwa hana mke?.

Kwakua hili ndio Jibu wanalotakiwa kupewa Wakristo kua allah hana Mwana. Bila shaka inaonyesha allah ana Uelewa potofu kuhusu kile Wakristo wanaamini.

Hakuna Mkristo anayeamini kua Maria Mamaye Yesu Kristo ni Mke wa Mungu.

Kutokuelewa kwa Allah, inadhihirisha bila shaka kua allah hawezi kua Mungu yule ambaye Wakristo wanamuamini.

Lakini pia kwasababu anafikiri kama ana akili za kiBinadamu— kwamba hawezi kua na Mtoto mpaka awe na Mke wa ku sex naye na kumzalisha!. Hii ni akili ya Kibinadamu zaidi

Qur’an 6:101 was speaking from the mentality of a man, not God—a man who is sure that if he does not have a woman, then he cannot have children. He tried to speak for God, but he can only speak within his limits as a man.
 
Naona Taratiibu Unahubiri Injili. Upo vizuri.
Japo Tatizo lako bado unapomshambulia Paulo kwa kuandika Porojo zako.
Ni sawa Imani bila Matendo Imekufa. Wakristo wote Duniani wanalitambua Hilo100%.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Paulo Alifanikiwa kwa
Kukamilisha Jambo Gani ?


Paulo aliwapatia wakristo wapya imani ya wokovu kwa imani peke yake kwa sababu kubwa moja:

Kupata wafuasi miongoni mwa watu wa mataifa.

Watu wa mataifa walikuwa wamechunguza matendo mbali mbali ya kidini yaliyokuwa yanafanywa na Wayahudi lakini walikuwa wanasita kuukubali ukristo kwa sababu ya kuepuka miongozo na kanuni katika sheria ya Musa.


Imani na msingi huu wa mwisho yaani kuokoka kwa imani peke yake, imani ya kumwamini Yesu, ilikuwa ni imani kubwa na muhimu sana kuliko zote iliyobuniwa na Paulo.

Na japokuwa ilikuwa ni dhambi kubwa sana kufanya mabadiliko katika imani kubwa na muhimu kama hii, lakini mabadiliko haya ndiyo yaliyopelekea mafanikio makubwa aliyoyapata Paulo katika kazi yake, kwa sababu aliwapa mambo yote muhimu waliyoyataka.

Na kwa sababu hii watu wengi walimiminika makundi kwa makundi kuingia katika hii dini mpya ya Paulo yaani "Ukristo wa Paulo" sio "Ukristo wa Yesu".

Yesu hakuwa amekusudia kufundisha mafundisho tofauti na yale waliyokuwa nayo Wayahudi kutoka kwa Nabii Musa wala hakukusudia kuanzisha dini mpya, lakini kwa sababu ya Paulo, Ukristo ulizaliwa na kuenea duniani kote, shukrani ziyaendee mafundisho ya Paulo.
 



Mtazamo wa Uislamu


Mungu alimtuma Yesu kwa Wayahudi kwa sababu waliiacha ibada ya Mwenyezi Mungu kwa madai na visingizio kwamba wanafuata sherehe na uchambuzi wa kina wa sheria.

Vitabu 63 vya Talmud - ambavyo ni tafsiri na uchambuzi wa sheria ya kiyahudi - ni uthibitisho juu ya jambo hili.

Wayahudi waliamini kwamba wokovu unapatikana kwa kutii sheria ya Mungu.


Yesu alitumwa katika jitihada za kuwaelewesha kwamba vitendo vizuri peke yake sio mwisho wa mambo yote bali walitakiwa pia kumuamini Mwenyezi Mungu.

Yesu alihimiza tena na tena kwamba "ibada tupu bila imani thabiti", si jambo lililotakiwa na Mungu kutoka kwao bali lililokuwa likitakiwa ilikuwa ni kufuata sheria zilizomo katika maandiko matakatifu "kwa dhati, uchaji Mungu na kumhofu Mwenyezi Mungu kwa dhati".

Hili ndilo jambo ambalo Yesu alilifundisha bila kuchoka lakini kwa bahati mbaya, leo hii haya sio mafundisho ambayo Ukristo unasimamia utekelezaji wake ule ujumbe wa Yesu:


"Amri kuu kuliko zote ni, sikieni, Enyi Israel; Bwana Mungu wetu ni Mungu mmoja".


Unaopatikana katika Marko 12:29, si chochote ila ni maandishi tu katika karatasi Paulo alimpachika Yesu uungu, kisha akaandaa masharti ya uokovu kwamba kilichotakiwa ni imani peke yake juu ya Yesu kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu.

Utii wa sheria ya Mwenyezi Mungu ulitupiliwa mbali na ukaitwa kuwa ni "Laana".

Quran imeliweka jambo hili wazi kabisa. Imetaja masharti ya uokovu kuwa ni mawili, kumwamini Mwenyezi Mungu Mmoja na kutii sheria zake.


"Kwa wale ambao wameamini na wakafanya vitendo vizuri Mwenyezi Mungu amewaahidi msamaha na malipo makubwa". (Quran 5:9)
 
Alie fanya dhambi ni Adam! sasa wewe gavanaUmefanya dhambi gani hadi umo humu duniani [emoji47] [emoji47]

kamuulize Paulo


Wayahudi walifanikiwa kuyazimisha mafundisho ya Yesu; lakini si Wayahudi tu bali hata dini ya Ukristo tuliyo nayo leo ambayo mafundisho na imani zake zote muhimu zimeanzishwa na Paulo pia imeyafutilia mbali mafundisho na imani zote zilizofundishwa na Yesu.

Licha ya hoja zozote zinazoweza kutolewa na mkristo, hatuwezi kupata ushahidi wowote ambapo Yesu amethibitisha au kazitaja imani hizi nne (uungu wa Yesu, Utatu Mtakatifu, kufa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu, na uokovu kwa imani peke yake) katika Injili.

Maadamu Yesu hakuwa na mpango wa kuanzisha dini mpya, basi bila ya chembe ya shaka ni wazi kwamba pia hakuunda au kuanzisha misingi au imani zozote za dini, kwani kama angekuwa na nia ya kuanzisha dini mpya basi angelazimika pia kuanzisha imani na misingi mipya ya dini.

Lakini maadamu hakuanzisha wala hakuwa na nia ya kuanzisha dini yoyote mpya basi pia hakuna imani yoyote mpya ya dini aliyoianzisha.



Imani, misingi na mafundisho yote ya Ukristo ni kazi ya Paulo ambayo aliifanya kwa shabaha ya kuungwa mkono na kukubalika kwa wafuasi wapya miongoni mwa ambao hawakuwa Wayahudi wa zama zake.

Kwa kuingiza na kuchanganya imani za kipagani katika mafundisho ya Yesu, Paulo alipata mafanikio makubwa mno katika kazi yake lakini kwa kufanya hivi aliharibu na kuivunjilia mbali imani ya kuamini Mwenyezi Mungu mmoja asiye kuwa na mshirika.

Kwa kufanya hivi Paulo alifanikiwa kuyapotosha kabisa mafundisho yote ya Yesu na badala yake akaanzisha maradhi mabaya na yaliyoenea kwa haraka aliyotatoa katika upagani - ambapo imani hizi bado tunazo mpaka leo katika ukristo.

Ni hapa kwenye kiini na kitovu cha mafundisho ya Yesu palipotoshwa na hii ndio sababu kuu ya tofauti za msingi kati ya Uislamu na Ukristo.


Inafurahisha kuona kwamba "imani na misingi ya Ukristo" ambayo Quran inaikubali inaweza pia kuthibitishwa kwa urahisi kabisa, kuwa ni sehemu ya mafundisho ya wanafunzi wa mwanzo kabisa wa Bwana Yesu, ambapo imani na misingi ambayo Quran inaikataa inaweza kuthibitishwa kuwa ni maongezo (nyongeza) yaliyoongezwa na viongozi wa juu wa kanisa au Paulo.

Waliyaongeza haya kwa sababu walipendezwa na falsafa na mifumo ya dini za Wapagani wa Kigiriki na wa Kirumi"
 
WHO IS THE HOLY SPIRIT IN ISLAM? WHO SPOKE TO MARY?

Quran 6:101.

Kama tulivyoona Allah hawezi kua na Mtoto unless ana Mke.
Ameumba kilakitu na mjuzi wa vyote.



Quran nayo inatueleza kuhusu Bikira Maria. Maria alikua mjamzito akiwa bikira.

(or 'Isa, as He is called in the Qur’an).

Qur'an 3:47 tells us:


She (Mary) said, “My God, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “This is how Allah creates. He says 'be' and it would be!”



[emoji115] [emoji115] Regarding this verse, Waislamu watakuambia huyu ni Malaika Gabriel, or Jibreel, aliyekua akizungumza na Bikira Maria.

NB:Usichanganye na Stori ya Kwenye Bibilia.

Waislamu pia watakuambua alikua akizungumza na Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Malaika Jibreel.


Let’s review the verse 47 carefully:

[emoji116] [emoji116]
She (Mary) said, “MY GOD, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “THIS IS HOW ALLAH CREATES. HE SAYS 'BE' AND IT WOULD BE"

Huu ni Ushahidi mwingine tunawekewa kuonyesha kua Quran ni man-made.

Notice the following:

Mary alimwita Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Mtu.-"MY GOD."

(
Qur’an 19:17) “My God” (RABY), but he told her that he is only a messenger, not God

( Qur’an 19:19).
As long as Mary called the Holy Spirit “My God,” in Qur’an 3:47 and assuming that he was Allah, why was he talking about himself in the third person—that is, why did he say, “This is how Allah creates,” instead of, “This is how I create”?
Je Mary alifanya Kosa kumwita Roho Mtakatifu "My God"
.
Au je alikua Ni Allah?.


Hakuna mahali kwenye Quran panaposema aliyezungumza na Mary ni Malaika Jibree(Gabriel).
Na hakuna Popote kwenye Quran panaposema Malaika Jibreel ndiye Roho Mtakatifu.


In Qur’an 3:45 we read:

And recall when the angels said: “O Mary! Lo! Allah gives thee joyful tidings of a word from him. Whose name is the Christ Jesus, son of Mary, glorious in the world and the Hereafter, and nearer unto Allah;”


[emoji115] [emoji115]
Hapa Inasema Ni Malaika.

Lakini Quran 19:16 tunasoma kua one spirit became a perfect man!
[emoji116] [emoji116]
Makosa ya wazi kua malaika ni mmoja na ndiye Roho Mtakatifu na ndoye aliyeleta habari, anayezungumza kama.mtu mmoja.

Lakini Je malaika wote wanazungumza na wote ni Roho Mtakatifu?.
Qur’an 3:45

This would mean that the Holy Spirit is holy spirits.

Hatahivyo inapingana na story nyingine tunaipata ndani ya Quran 19:16-21.

Qur’an 19:17:
So she (Mary) screened herself from them. So we send to her our spirit, who appeared to her as a normal man.



Roho moja ikawa Mwanadamu.

Waislamu wanasema Roho Mtakatifu ni Mmoja na ndiye Malaika Jibreel.

Waislamu wengu hutafsiri Roho kwenda Malaika. Tafsiri ambayo ni ya Uongo na yenye Makosa.



Roho Mtakatifu ametajwa kua Mungu na Mary.

Lakini wakati huohuo anajieleza kua ni Mesenja wa Mungu.

Qur’an 19:19:

I am only a messenger from your Lord, to announce to thee the gift of a holy son.


Kwanini Roho Mtakatifu awe Malaika Jibreel?.
Qur’an 16:2:

He dispatches down the angels with the Ruh (Spirit) of His Command to whom of His slaves He wills, saying, “none has the right to be worshiped but I, so protect yourself from me.”


Allah anamtuma Malaika mwenye Roho.
Hii inamaanisha Malaika sio Roho.

Waislamu wanajaribu kutafsiri neno Ruh, حورل, kama “revelation”,
Nakudhihirisha Uongo na aibu nyingine.

Qur’an 16:2,
He sendeth down the angels with the Spirit of His command unto whom He will of His bondmen, (saying), “Warn mankind that there is no Allah save Me, so keep your duty unto Me.”


Kuna Ushahidi mwingine wa Quran.

Quran 26:192-193:
192
Verily these are scriptures from the Lord of the two Worlds (world of mankind, and Jinn).
193 With it, came down with it, the Faithful spirit.


[emoji115] [emoji115]
Allah hasemi itashuka pamoja na Jibreel?.is.is just a word?.

Kwanini Allah hakuweka wazi kama.huyo ni Malaika?


Qur'an 70:4

The angels AND the spirit, rise up unto him (Allah), in a Day which is identical to fifty thousand years of your years.

[emoji115] [emoji115] 

Kama Malaika ndiye Roho?.
Kwanini allah anawataja separately?.


Qur'an 78:38 says:

1. In that day (Judgment day) the Spirit and the angels will line up in ranks, and not one of them shall talk except by Allah's order Most Gracious, and He speaks correct.

2. Again, Allah is saying they will stand next to each other, in ranks, Spirit and the angels.
[emoji115] [emoji115]
Huu ni ushahidi kua Waislamu wanajichanganya kati ya Malaika na Roho.

Kama.Mtume wao ndiye wa mwisho kwanini hakutoa Majibu?.

Kwanini allah hakusema wazi kua mesenja aliyemtuma kwa mary ni Malaika Jibreel badala yake akaweka confusion?.
Kwa mfano Ukisoma bibilia
Luke 1:19.

And the angel answering said unto him, I am Gabriel, that stand in the presence of God; and am sent to speak unto thee, and to shew thee these glad tidings.


Lakini zipo aya nyingi kwenye Quran, like Qur'an 7:52, zinazoeleza wazi kua it is a very clear book.


For We had definitely sent unto them a Book, based on wisdom which We explained it to them in clear details, as a guide and a mercy to people who believe.


Wakati huo huo
Qur’an 3:7 clearly states that
the Qur’an has two parts. The first part is clear, and the other one is not only vague but it also indicates that no one except Allah knows its meaning; “but no one knows the Qur’an’s real meaning except Allah.”

Kuna anayejua sehemu ya allah aliyojiwekea aisome?
 
Unapoteza Muda wako Kufundiaha Injili.
Mtume Paulo anaeleweka vizuri kuliko mnavyompaka Oil chafu.

Mbali na kua hana asili ya Ukuhani, pia Mohamamd hakutahiriwa -Litafakari na hili pia.

Na hakuzaliwa kwenye familia yenye ndoa.
Jina lake halisi ni Qathem.

Majina mapya aliyojipa ni Mohammad na Ahmed.

Mamaye ni Amena.
Baba halisi hajulikani ila baba Abduallah ndiye anayejulikana.(Maana yake Mtumwa wa Allah(Mungu mwezi)
Kaka zake hawajulikani kama wapo.

Babu wa babu yake ni Qusy ibn Kilab.
(Ibn Kilab maana yake Son of Dogs; real name No Insult!)

Na maana za haya majina Tunazijua. Lakini hamwezi kustahimili.

http://www.al-eman.com/Islamlib/viewchp.asp?
BID=185&CID=4&SW=لفون-تنب-ةليتق#SR1
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…