Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Kwanza unachotakiwa kujua ni kwamba Mungu hakuna kitu chochote alichokipangilia halafu akajuta, kwa maana hiyo futa kauli ya kushindanisha Mungu na vitu vya kijinga.Soma wote na kisha urejee kwenye mjadala mkuu! Tunataka kuelewa nani hasa Muongo kati ya Mungu na wanasayansi?
Mungu hadanganyi na hadanganyiki, mwongo kadri ya maandiko inajulikana kwa jinaUnamaanisha kwamba kwa kuwa Muhammad hakujua kusoma wala kuandika, basi Mungu asingaliweza kumfanyia roho mbaya ya hivyo ya kumuingiza chaka? Kama ndivyo,sasa umegundua nini katika aya hii ya Jua kuzama katika matope? Huoni kwamba tayari Muhammad aliingizwa chaka kwa kupewa hadithi ya jambo ambalo halipo?Na huoni tayari kwa kutojua kusoma kwa Muhammad kumemharibia CV yake?
kule jabar hilla muhammad alikabwa na hakujua nani aliye mkaba, hadi anakuja fahamishwa Akiwa kwake kwamba aliye mkaba ni gibril aliye mtokea issa na Musa hivyo muhammad anaelekezwa na Waraga ajibashirie mwenyewe kwamba yeye ni Mtume Wa Umma huu...ndio sababu nina Hakika allah na muhammad hawaja wasiliana popote hadi amemtuma kuwa mtume, labda walete Ushahidi!Pangoni Hira, Muhammad alikuwa peke yake, unafikiria kutakuwa na shahidi gani tena mkuu? Ukilazimisha sana jambo hilo utaletewa Mijusi,Buibui,kenge na Nge tu.
Muhammad hakuwahi kusema uongo na wala haitatokea aya iwe kwenye Qur'an au Bible itakayoonesha kwamba hapa alisema uongo na ukatafutwa mbadala wake ukaonekana ukweli ni huu!. Au kama wewe una sehemu tuoneshe ili tukuamini wewe badala ya Muhammad kuanzia sasa.Muhamad alitakiwa Apewa tuzo ya Oscar kwa kudanganya watu wengi zaidi hapa duniani akifuatiwa na Bi Hellen G White
Quran ni nini?Muhammad hakuwahi kusema uongo na wala haitatokea aya iwe kwenye Qur'an au Bible itakayoonesha kwamba hapa alisema uongo na ukatafutwa mbadala wake ukaonekana ukweli ni huu!. Au kama wewe una sehemu tuoneshe ili tukuamini wewe badala ya Muhammad kuanzia sasa.
Mungu gani huyo?Kwanza unachotakiwa kujua ni kwamba Mungu hakuna kitu chochote alichokipangilia halafu akajuta, kwa maana hiyo futa kauli ya kushindanisha Mungu na vitu vya kijinga.
Muhammad hakuwahi kusema uongo na wala haitatokea aya iwe kwenye Qur'an au Bible itakayoonesha kwamba hapa alisema uongo na ukatafutwa mbadala wake ukaonekana ukweli ni huu!. Au kama wewe una sehemu tuoneshe ili tukuamini wewe badala ya Muhammad kuanzia sasa.
Sawa lakini twende kwenye mada kwanza ...ila sorrƴ kwamm nilivƴomuelewa kutokana na kurani imeshushwa na Allah ƴan haikuandikwa na binadamu yeyote ndo kajiuliza kutoka kwenye aya hiƴo kipi cha kwel kutokana na uhalisia....na bible imeandikwa na wanadamu tu kama mim na wewe (ina maana binadamu wote tunaweza kukosea na inawezekana bible ikawa na makosa waamini wanaamini kwa kuwa ndo inamuelezea Mungu na waandishi wanasema wamepata maono kutoka kwa Mungu wanaemuamini na kuandika wanachoandika ) nɗo maana kuna mapokeo ya kanisa na madhehebu kuchagua vitabu wengine zaidi wengine wamevifuta katika oroɗha ya biblia hiƴo hiƴo .....Ameshindwa kujibu swali la kwa nini anashambulia uongo wa Quran, halafu anakubali uongo wa Biblia.
Nimemwambia yuko sawa kusema Quran ina uongo (kwa sababu ina uongo kweli) lakini, kama kweli hataki uongo, akubali kwamba hata Biblia nayo ina uongo.
Anakimbia swali hilo.
Kwa sababu nia yake si kukataa uongo.
Nia yake ni kushambulia Quran.
Qur'an ni maneno matakatifu ya Allah.Quran ni nini?
Ilitoka wapi..?
Ndio Allah ni nani?Qur'an ni maneno matakatifu ya Allah.
Na yalitoka kwa Allah, una swali lingine?
kule jabar hilla muhammad alikabwa na hakujua nani aliye mkaba, hadi anakuja fahamishwa Akiwa kwake kwamba aliye mkaba ni gibril aliye mtokea issa na Musa hivyo muhammad anaelekezwa na Waraga ajibashirie mwenyewe kwamba yeye ni Mtume Wa Umma huu...ndio sababu nina Hakika allah na muhammad hawaja wasiliana popote hadi amemtuma kuwa mtume, labda walete Ushahidi!
Mambo ya iman ukiyadiscuss sana utaomekana kituko
Ilitimika lugha nyepesi kwa watu wa kipindi mile,ili waelewe hawangeweza kuelewa mambo ya rotation,evolution etc
Ndio Allah ni nani?
Muhammad hakuwahi kusema uongo na wala haitatokea aya iwe kwenye Qur'an au Bible itakayoonesha kwamba hapa alisema uongo na ukatafutwa mbadala wake ukaonekana ukweli ni huu!. Au kama wewe una sehemu tuoneshe ili tukuamini wewe badala ya Muhammad kuanzia sasa.
Tushakubaliana kwamba Quran ina makosa. Hilo mimi sina mjadala nalo kama umekubali.Sawa lakini twende kwenye mada kwanza ...ila sorrƴ kwamm nilivƴomuelewa kutokana na kurani imeshushwa na Allah ƴan haikuandikwa na binadamu yeyote ndo kajiuliza kutoka kwenye aya hiƴo kipi cha kwel kutokana na uhalisia....na bible imeandikwa na wanadamu tu kama mim na wewe (ina maana binadamu wote tunaweza kukosea na inawezekana bible ikawa na makosa waamini wanaamini kwa kuwa ndo inamuelezea Mungu na waandishi wanasema wamepata maono kutoka kwa Mungu wanaemuamini na kuandika wanachoandika ) nɗo maana kuna mapokeo ya kanisa na madhehebu kuchagua vitabu wengine zaidi wengine wamevifuta katika oroɗha ya biblia hiƴo hiƴo .....
Sas tuje Allah kashusha aya inamaana hakuna binadamu ametia mkono wake pale inawezekanaje liwepo jamɓo la jua kuzama kwenye tope kwa tujuavyo na tuonavyo kila siku hili lina ukweli(kumɓuka Allah mwenyewe kasema)
Namalizia mirinda narudi[emoji16]
Wanasema Alexander the Great ndiye aliyeliona Jua likizama katika matope.Sawa lakini huyo huyo Dhul-Qarnaini (Alexander the Great) tunaambiwa yuko amewashikilia Gog na Magog wakati wa Kiama kikaribia wataibuka.Kwamba hao Gog na Magog watamtoroka Alexander the Great.Sasa Alexander alishafariki dunia muda mrefu sana.
Je,hao Gog na Magog,Alexander anawashikilia wapi na kwa nini hadi leo hawajaweza kumtoroka?
Wanasema hao Gog na Magog Wakiisha kutoroka,wataivamia dunia na kunyang’anya watu mali zao kwa nguvu na kisha kunywa maji ya ziwa lote la Tiberia na kuua watu wote wataokuwa wanakutana nao njiani.Hata hivyo,Isa,Imam Mahdi na walioamini wote watafanikiwa kupandisha juu ya mlima na kuomba huko ili Gog na Magog waangamizwe.Allah,akiisha kusikia sala hizo atatuma magonjwa na minyoo ili kuwaangamiza.Gog na Magog wanasadikiwa kuwa ni watu wawili ambao waliumbwa na Mungu mwenye uwezo(Allah Most High) kutokana na Adamu na Mungu kwa kupewa uwezo mkubwa sana.
Sasa kama Muhammad hasemi uongo juu ya Dhul-Qarnaini,itawezekanaje kwa viumbe ambao Mungu kawaumba halafu hao viumbe Gog na Magog Dhul-Qarnaini awe na uwezo wa kushikilia? Na ameanza kuwashikilia lini hao viumbe wawili? Je,ina maana Mungu na Dhul-Qarnaini(Dhul-Qarnaini wanashirikiana na Mungu katika kuwaangamiza waislamu hadi afikie kuwaumba watu ambao Dhul-Qarnaini ameweza kuwashikilia?
Hebu tuelezeni huyu Dhul-Qarnaini ni nani hasa na uwezo wake unaanzia na kuishia wapi?