kule jabar hilla muhammad alikabwa na hakujua nani aliye mkaba, hadi anakuja fahamishwa Akiwa kwake kwamba aliye mkaba ni gibril aliye mtokea issa na Musa hivyo muhammad anaelekezwa na Waraga ajibashirie mwenyewe kwamba yeye ni Mtume Wa Umma huu...ndio sababu nina Hakika allah na muhammad hawaja wasiliana popote hadi amemtuma kuwa mtume, labda walete Ushahidi!
Wanasema Alexander the Great ndiye aliyeliona Jua likizama katika matope.Sawa lakini huyo huyo
Dhul-Qarnaini (Alexander the Great) tunaambiwa yuko amewashikilia
Gog na Magog wakati wa Kiama kikaribia wataibuka.Kwamba hao Gog na Magog watamtoroka Alexander the Great.Sasa Alexander alishafariki dunia muda mrefu sana.
Je,hao Gog na Magog,Alexander anawashikilia wapi na kwa nini hadi leo hawajaweza kumtoroka?
Wanasema hao Gog na Magog Wakiisha kutoroka,wataivamia dunia na kunyang’anya watu mali zao kwa nguvu na kisha kunywa maji ya ziwa lote la Tiberia na kuua watu wote wataokuwa wanakutana nao njiani.Hata hivyo,
Isa,Imam Mahdi na walioamini wote watafanikiwa kupandisha juu ya mlima na kuomba huko ili Gog na Magog waangamizwe.Allah,akiisha kusikia sala hizo atatuma magonjwa na minyoo ili kuwaangamiza.Gog na Magog wanasadikiwa kuwa ni watu wawili ambao waliumbwa na Mungu mwenye uwezo(Allah Most High) kutokana na Adamu na Mungu kwa kupewa uwezo mkubwa sana.
Sasa kama Muhammad hasemi uongo juu ya
Dhul-Qarnaini,itawezekanaje kwa viumbe ambao Mungu kawaumba halafu hao viumbe Gog na Magog,
Dhul-Qarnaini awe na uwezo wa kuwashikilia? Na ameanza kuwashikilia lini hao viumbe wawili? Je,ina maana Mungu na
Dhul-Qarnaini(
Dhul-Qarnaini wanashirikiana katika kuwaangamiza waislamu hadi afikie kuwaumba watu ambao
Dhul-Qarnaini ameweza kuwashikilia?
Hebu tuelezeni huyu
Dhul-Qarnaini ni nani hasa na uwezo wake unaanzia na kuishia wapi?
Mambo ya iman ukiyadiscuss sana utaomekana kituko