Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kwa darasa hili lakini bado mtu haelewi tu sijui ataelewa nini tena...
Paulo kapoteza watu sana.
 
Hebu mda mwingine bila kuapply akili kubwakubwa tujiulize tu kwa akili ya kawaida, hivi mchungaji mwema akiutoa uhai wake kwajili ya kondoo je hao kondoo watabaki (watachungwa) na nani?

Kuweni serious mda mwingine bana!
John 10:17-18
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.

John 10:28
Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
 
Wewe ndo kabisaa hueleweki yani bora wenzako... hiyo ya kutuwekea vipandevipande hivyo maana yake nini sasa! Tena kama hivyo vya Qur'an ndo kabisa umejichanganya
Mimi nanukuu tu dogo [emoji4] kama kujichanganya kajichanganya allal na baba yake kassim [emoji12] [emoji38] [emoji38]
 
Kwa darasa hili lakini bado mtu haelewi tu sijui ataelewa nini tena...
Paulo kapoteza watu sana.
Laiti ungefungua macho yako ya rohoni kuona jinsi Mohammad alivyopoteza watu wengi sana.
Muwe mnasoma historia yake kwanza.. Labda Itawasaidia.
 
Me Mwenyewe sikumwelewa kabisa kabisa alichokimaanisha
 
And thus have We inspired in thee (Muhammad) a spirit of Our command. THOU KNOWEST NOT WHAT THE SCRIPTURES WAS, NOR WHAT THE FAITH. But We have made it a light whereby We guide whom We will of Our bondmen. And lo! Thou verily dost guide unto a right path. - (Quran 42:52)

Kulingana na hii Ayati hapa juu

Inakuaje waislamu waseme Kua Mohammad ni follower wa Dini ya Abrahamu, angali hajui lolote ikiwemo maandiko wala Imani iliotangulia kabla yake?

This shows us that Muhammad himself was a kafir (infidel). How can an infidel who did not know what faith meant and had never heard of the Scriptures, as revealed to us in the verse, suddenly chooses to be a prophet?.
 
Mzee pumzika tu mana hueleweki hata
 
Hilo la kwanza ni kwamba mtu akifa au kiumbe yoyote ni kwamba anakufa kwenye muda wake maalum ulowekwa (na Allah)
Hakuna kutangulia- kwamba kakarogwa, au amekufa kabla ya siku zake na shutuma nyingine kama hizo...
Hakuna kukawia -kwamba uhonge ili uachwe uishi mda mrefu zaidi n.k

Ama hilo la pili ngoja nikupeleke kulingana na kiwango cha uelewa wako tu;
Biblia inaonesha kuwa kwake yeye MwenyeziMungu kila goti litapigwa sasa je, hivi kati ya Waislam na Wakristo ni akina nani ambao hukunja goti (wanapiga goti)
 
CONCERNING ORIGINAL SIN
Uislamu umekua ukidhihaki Ukristo kwa kuamini kuhusu Dhambi ya Asili “original sin”

Lakini Jambo hili limejaa ndani ya Uislamu kuliko hata ndani ya Ukristo. Uslamu umekua ikikataa kuamini hii Christian concept of the original sin.

Tuangalie Hadithi za Usilamu zinavyoeleza bayana hii:-

Hadith of Sahih Al-Bukhari, Book 77, Hadith 611?
Reported Abu Huraira:

“Allah's Messenger said: ‘Adam and Moses debated with each other’. Moses said to Adam, ‘TO YOU ADAM! You are our ancestor who displeased us and fired us out of heaven’”.
 “Moses said to Adam, “To You Adam! You are our ancestor who displeased us and fired us out of heaven.”

(NOTE: Mohammad amechanganya Garden of Eden na Mbinguni( Heaven).

Akifikiri kua Adam and Eve waliishi Mbinguni kabla hawajatenda dhambi. Na wakafukuzwa mbinguni walipotenda Dhambi.

Is this not exactly what the original sin is about?

Muslims are out of heaven (Paradise) due to Adam’s sin NOT Muslims’ sin


(Sahih Muslim, Book 016, Hadith 4156):
Allah's Messenger said, “No man who is murdered unjustly, but THE SHARE THIS TRANSGRESSION OF HIS also DESCENDS FROM from the first son of Adam for he was the first to establish killing.”

HAPA MOHAMMAD ANAONYESHA KUHUSISHA KURITHISHWA 'ORIJINO SIN'.


When Cain, the first son of Adam, killed his brother, it was his choice. If I kill today, I do it by my own choice also.

In other words, I did not kill because Cain killed, but I SINNED (by killing), BECAUSE SIN STARTED WITH CAIN. Cain's capacity for sin became our inheritance, or as Muhammad puts it, we share the sin of Cain.





HADITHI NYINGINE HII HAPA CHINI:-

Sahih Al-Bukhari, Book 55, Hadith 547:
Abu Huraira Reported:

“The Messenger said, ‘If there were no Jewish existence, meat would never spoil and if Eve did not exist, wives would never cheat on their spouses.’”


HII ni Ushahidi tosha kua Muhammad anaamini katika an endless connection between the sin of Eve and the sin of every woman. Otherwise, how can we explain the connection between what Eve did and what women do today?



Kwa mujibu wa Muhammad:

1. Dhambi ye Eve ndio sababu ya wanawake wote kutenda Dhambi.


2. It looks like the words of Muhammad are trying to make us accept that sin is the same as an inherited disease.


Imeelezwa kwenye Qur’an 2:35-38

that Adam was given the gift of heaven; then he sinned, which caused him to be expelled from heaven.

Ikiwa Adam alitenda dhambi? Kwanini sisi tuliobaki hatupo Mbinguni?.
Kama hakuna connection kati ya between Dhambi ya Adamu na sisi tulipaswa kuwepo mbinguni Muda huu.

Is it the fault of Adam or is it ours? Are we out of heaven due to the sin of Adam or due to our sins?

Tukizingatia kua Mtoto mdogo (a newborn baby) hajatenda dhambi bado, hivyo hastahili kutokuwepo mbinguni.
Ikiwa naye angepewa nafasi kama walivyopewa Adam na Eve. Angefukuzwa mbinguni kama angefanya makosa.

Therefore, it obviously makes sense that we are out of heaven as a result of Adam’s disobedience to God.


We also see Muhammad showing his hypocrisy by blaming women, to this day, for Eve’s sin as if it were her’s alone. It is important to remember that even in the teachings of Islam, the first sin or original sin--that is, sin committed by Adam and Eve together--is connected to our life today.
 
Unakijua hicho ulichokiandika ?? Umechanganyikiwa?? Kichwa umekiweka makalioni ,mkono mgongoni, mdomo nyayoni, hata hakijulikani ni kiumbe gani au unaandika Revelation nyengine ??
 
Hebu mda mwingine bila kuapply akili kubwakubwa tujiulize tu kwa akili ya kawaida, hivi mchungaji mwema akiutoa uhai wake kwajili ya kondoo je hao kondoo watabaki (watachungwa) na nani?

Kuweni serious mda mwingine bana!
Hao watu akili zao wanazijua wenyewe.Mchungaji kajiua na ndio Mapadri wakajinyakulia vikondoo mpaka vichanga na kuvitandika bakora makanisani
 

Mtoa post umepotosha,Mtume Muhammad hakutoa elimu kwamba jua lilikuwa likizama kwenye matope meusi,suratul kahfi inaelezea hadithi za wale waliolala kwenye pango na mbwa wao kwa miaka kadhaa Kisha wakafufufliwa wakijua walilala jana yake tu,Hii inaelezea mtitririko mzima wa watu hao walipoingia mitaani baada ya kutoka mapangoni.
Ndio Mtume Muhammad alikuwa akiwahadithia,na Maswahaba walipotaka kuelezewa habari ya Dhurqanaini ndio akawahadithia kupitia Huyo Dhulqarnaini kuna sehemu akaeleza ya kwamba nilipofika machwea jua nililikuta linazama kwenye chemchem yenye matope meusi.
Hii ni hadithi ambayo haikusema kisayansi kuwa jua linazama kwenye matope,bali katika mtirirko wa hadithi za huyu Dhurqanaini katika safari yake ndio anaelezea alivyokutana navyo,ni sawa unapotembea barabarani ukakuta mvuke upo kama maji ya bahari ndivyo huyu alivyohadithia alikuta jua kama linazama kwenye matope,na hii ni kawaida jua linapozama kwenye wingu jeusi utaona hvyo.
Lakini haikuwa elimu kuwa Mtume anatoa fatwaa kuwa jua huwa linazama matopeni,isomeni hiyo sura mtaelewa,na katika Quran zipo sura za makundi tofauti,zipo za kuonya,kufunza,hadithi za mafunzo ya waliopita na hukmu kwa matendo mbalimbali n.k.
Tusiwe wenye kupotosha aliesema amekuta matope ni huyo muhusika wa anaelezewa hadithi yake.
 
Joshua hakusimamisha jua isipo kuwa alimamisha dunia Manake jua halizunguki lipo center na sayari dunia ikiwemo ndio hulizunguka jua

Sio maneno yangu mkuu....
Yoshua 10:

12 Ndipo Yoshua akanena na Bwana katika siku hiyo ambayo Bwana aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.
13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.
 

Hii Tafsir unayo itoa humu umeitoa kwenye Kijiweni cha kahawa eeh [emoji15] [emoji12]
Aya inaelezea "UMMA" wewe unaelezea mtu [emoji38] [emoji38] kuna ummat ngapi hadi sasa [emoji47] Fichaga ujinga wako [emoji33] [emoji33]

Kuhusu kuvunja goti aya ya kabla ya Baba kasimu KUWEPO INASEMA [emoji117] GOTI LITAPIGWA KWA YESU, KWA YESU NA si kupiga goti huku unasujudu [emoji12] unaweza kusoma kitabu huku unasujudu??? zawadi ya wanao sujudu hii hapa [emoji117] ..wewe unapiga goti kwa Yesu [emoji47] [emoji47] [emoji47] baba kasimu anasema wakiwa kwenye kuvunja goti watasoma Kitabu chao! wewe Utasoma kitabu gani wakati koloani allah anasema koloani ni copy tu [emoji117] kapige ramli halafu uje [emoji12]
 
Unakijua hicho ulichokiandika ?? Umechanganyikiwa?? Kichwa umekiweka makalioni ,mkono mgongoni, mdomo nyayoni, hata hakijulikani ni kiumbe gani au unaandika Revelation nyengine ??
Ndio maana hua sipendi kujadiliana na wewe. Huchelewi kUnachanganyikiwa haraka sana.

Allah knows everything, as long as you do not ask him questions and no one is allowed to ask him questions (Qur'an 5:101-102)


Allah sent a prophet to every nation, but yet Muslims cannot name one prophet for nations such as China, India, Japan, etc. (Qur'an 10:47; 16:36, 84, 89; 23:44)


Allah sent a prophet to every nation speaking to them in their own language (Qur'an 14:4).

I wonder what the book of Allah is in the Russian language?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…