Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Okay, sasa kwanini isiandikwe tu kwa lugha nyepesi isiyo na mkanyiko? Yaani Mungu ametuleta kitabu kwa ajili ya watu wote lakini kisichoweza kueleweka kwa watu wote! Hivi hii Logic inaingia akilini kweli?
 

Kiranga:
Kwa taarifa yako mimi ni mtu mwerevu sana kuliko unavyoweza kufikiria.Mimi siwezi kujadiliana kwa staili ya Nzi, kwamba akinusa harufu kule basi, anakimbilia huko na akinusu harufu kali ya paka aliyekufa hapa, anaachana na hiyo harufu ya chakula na kugeukia hapa kwenye harufu ya paka.

Ninalinda mjadala usiwe corrupted.Mimi ndiye niliyweka uzi na hivi lazima niwe focused na kile uzi unachotaka ku-achieve.
 
Shikamoo Kiranga nilikuwa nakusikia tu ila kwa hii comment umenisuuza roho!
 
Habari za kisha nikaona farasi mweupe kama saruji,akija mawinguni,na mgogoni amekaa mwana wa Adam,akiwa na upanga,
Ukizitafsiri kwa sasa,haingii akilini farasi kupaa angani,na haileti maana,mwana wa adamu kupambana na upanga zama hizi za makombora ya cruiser.
Lugha iliyotumika ni kwa ajili ya wakati huko,na bahati mbaya mungu hajaleta new version
 
Wwatu werevu hawajisifu wenyewe kwa werevu wao. Hujiona hawana werevu kwa sababu wanaelewa kwamba wasiyojua ni mengi kuliko wanayojua.

Kwa hiyo unapoanza kwa kujisifu tu kwamba wewe ni mtu mwerevu, hilo linawekea werevu wako shaka.

Mjadala wako umesha u corrupt wewe mwenyewe.

Umeishambulia Quran kwa sababu ina uongo. Sawa.

Kama hutaki uongo, ukioneshwa uongo hata kwenye Biblia, kubali huu ni uongo, au onsha kwamba si uongo.

Si unashambulia uongo kwenye Quran tu, wa Biblia unauacha.

Hiyo tunaita ni "double standard".

Ndiyo maana nikasema, wewe nia yako si kuushambulia uongo.

Nia yako ni kuishambulia Quran.

Ungekuwa na nia ya kuushambulia uongo, ungeushambulia hata uongo wa Biblia au kujaribu kuelezea kwamba Biblia haina uongo.

Unaji contradict mwenyewe. unaishambulia Quran kwa uongo, uongo wa Biblia unakataa kuujadili.
 
Mungu angekuwepo, ansingehitaji hata lugha kuelewesha watu kwamba yupo na anataka waishi vipi.

Angeweka kwenye DNA habari hizo. Ukizaliwa tu unajua habari zote kutoka katika DNA yako. Huhitaji tafsiri ya kitabu cha Kiarabu wala Kiyahudi.Misahafu yote isingehitaji tafsiri wala dira. Angeweka habari zote katika DNA yetu.

Ukiona Mungu kaandikwa kitabuni, ujue huyo kaandikwa na watu tu, hayupo katika uhalisi.
 
Okay, sasa kwanini isiandikwe tu kwa lugha nyepesi isiyo na mkanyiko? Yaani Mungu ametuleta kitabu kwa ajili ya watu wote lakini kisichoweza kueleweka kwa watu wote! Hivi hii Logic inaingia akilini kweli?

Mkuu hizo ni tafsiri ambazo Muhammad mwenyewe angalikuwapo asingalizikubali.Muhammad ndiye mwisho wa ukweli na hivi hizo tafsiri zao nani azikubali? Kama jambo limeshindwa kueleweka basi sisi tutalielewa vyovyote vile na sio vinginevyo.
Hao wanatudanganya na kinachoongelewa katika Sura hiyo ya Kurani.Mimi sasa naipandisha hiyo Sura hapa:

"18:1 - Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.

18:2 - Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.

18:3 - Wakae humo milele.

18:4 - Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.

18:5 - Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu.

18:6 - Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia kwa kuwa hawayaamini mazungumzo haya!

18:7 - Kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni nani kati yao wenye vitendo vizuri zaidi.

18:8 - Na hakika Sisi tutavifanya vyote vilio juu ya ardhi kuwa kama nchi ilio pigwa na ukame.

18:9 - Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu?

18:10 - Vijana hao walipo kimbilia kwenye pango walisema: Mola wetu Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengezee uwongofu katika jambo letu.

18:11 - Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.

18:12 - Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa.

18:13 - Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu.

18:14 - Na tukazitia nguvu nyoyo zao walipo simama na wakasema: Mola wetu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi. Hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.

18:15 - Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. Kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri? Na nani aliye dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu?

18:16 - Na mkijitenga nao na vile wanavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu, basi kimbilieni pangoni, akufungulieni Mola wenu Mlezi rehema yake, na akutengenezeeni ya kukufaeni katika mambo yenu.

18:17 - Na unaliona jua linapo chomoza linainamia kuliani mwao kutoka hapo pangoni; na linapo kuchwa linawakwepa kushotoni, na wao wamo katika uwazi wa pango. Hizo ni katika ishara za Mwenyezi Mungu. Ambaye Mwenyezi Mungu anamwongoa basi huyo ni mwenye kuongoka. Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.

18:18 - Nawe utawadhania wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. Na mbwa wao amenyoosha miguu yake ya mbele kizingitini. Kama ungeli watokea hapana shaka ungeli geuka kuwakimbia, nawe umejaa khofu.

18:19 - Na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao. Alisema msemaji katika wao: Mmekaa muda gani? Wakasema: Tumekaa siku moja au sehemu ya siku. Wakasema: Mola wenu Mlezi anajua zaidi muda mlio kaa. Hebu mtumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila. Naye afanye mambo hayo kwa busara, wala asikutajeni kabisa kwa yeyote.


18:20 - Kwani wao wakikutambueni watakupigeni mawe, au watakurudisheni katika dini yao; na hapo hamtafanikiwa kabisa!


18:21 - Na namna hivi tuliwa juulisha kwa watu wapate kujua ya kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli, na kwamba Saa haina shaka. Walipo kuwa wakigombania jambo lao wao kwa wao walisema: Jengeni jengo juu yao. Mola wao Mlezi anawajua vyema. Wakasema walio shinda katika shauri yao: Bila ya shaka tutawajengea msikiti juu yao.


18:22 - Watasema: Walikuwa watatu, wa nne wao ni mbwa wao. Na wanasema: Walikuwa watano, wa sita wao ni mbwa wao. Wanavurumisha ovyo. Na wanasema: Walikuwa saba, na wa nane wao ni mbwa wao. Sema: Mola wangu Mlezi ndiye anaye jua sawa sawa hisabu yao. Hawawajui ila wachache tu. Basi usibishane juu yao ila kwa mabishano ya juu juu tu hivi. Wala usiulize khabari zao kwa yeyote yule.

18:23 - Wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho -


18:24 - Isipo kuwa Mwenyezi Mungu akipenda. Na mkumbuke Mola wako Mlezi pale unapo sahau, na sema: Asaa Mola wangu Mlezi ataniongoa kwenye uwongozi ulio karibu zaidi kuliko huu.

18:25 - Na walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha tisa.

18:26 - Sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi muda walio kaa. Ni zake tu siri za mbingu na ardhi. Kuona kulioje na kusikia kwake! Hawana mlinzi isipo kuwa Yeye, wala hamshirikishi yeyote katika hukumu yake.

18:27 - Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake.

18:28 - Na isubirishe nafsi yako pamoja na wanao muomba Mola wao Mlezi asubuhi na jioni, hali ya kuwa wanataka radhi yake. Wala macho yako yasiwaruke kwa kutaka pambo la maisha ya dunia. Wala usimt'ii tuliye mghafilisha moyo wake asitukumbuke, na akafuata matamanio yake yakawa yamepita mpaka.

18:29 - Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae. Hakika Sisi tumewaandalia wenye kudhulumu Moto ambao utawazunguka kama khema. Na wakiomba msaada watasaidiwa kwa kupewa maji kama mafuta yaliyo tibuka. Yatayo wababua nyuso zao. Kinywaji hicho ni kiovu mno! Na matandiko hayo ya kupumzikia ni maovu mno!


18:30 - Hakika wale walio amini na wakatenda mema - hakika Sisi hatupotezi ujira wa anaye tenda mema.


18:31 - Hao watapata Bustani za milele, zinazo pita mito kati yake. Humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri mno ya kupumzikia!

18:32 - Na wapigie mfano wa watu wawili: mmoja wao tulimpa vitalu viwili vya mizabibu, na tukavizungushia mitende, na kati yake tukatia mimea ya nafaka.

18:33 - Na hivyo vitalu viwili vikitoa mazao yake, wala hapana kitu katika hayo kilicho tindikia. Na ndani yake tukapasua mito.

18:34 - Naye alikuwa na mazao mengi. Basi akamwambia mwenzake naye akibishana naye: Mimi nimekushinda wewe kwa mali na nguvu za watu!

18:35 - Na akaingia kitaluni kwake, naye hali anajidhulumu nafsi yake. Akasema: Sidhani kabisa kuwa haya yataharibika.

18:36 - Wala sidhani kuwa hiyo Saa (ya Kyama) itatokea. Na ikiwa nitarudishwa kwa Mola wangu Mlezi, bila ya shaka nitapata marejeo bora zaidi kuliko haya.

18:37 - Mwenzake akamwambia kwa kubishana naye: Je! Unamkufuru aliye kuumba kutokana na udongo, tena kutokana na tone la manii, kisha akakufanya mtu kaamili?


18:38 - Lakini Yeye Mwenyezi Mungu ndiye Mola wangu Mlezi. Wala simshirikishi na yeyote.


18:39 - Na lau kuwa ulipo ingia kitaluni kwako ungeli sema: Mashaallah! Alitakalo Mwenyezi Mungu huwa! Hapana nguvu ila kwa Mwenyezi Mungu. Ikiwa unaniona mimi nina mali kidogo na watoto kuliko wewe,

18:40 - Basi huenda Mola wangu Mlezi akanipa kilicho bora kuliko kitalu chako, naye akapitisha kudra yake kutoka mbinguni kukilitea hicho chako, na kikageuka ardhi tupu inayo teleza.

18:41 - Au maji yake yakadidimia wala usiweze kuyagundua.


18:42 - Yakateketezwa matunda yake, akabaki akipindua pindua viganja vyake, kwa vile alivyo yagharimia, na miti imebwagika juu ya chanja zake. Akawa anasema: Laiti nisingeli mshiriki Mola wangu Mlezi na yeyote!


18:43 - Wala hakuwa nacho kikundi cha kumsaidia badala ya Mwenyezi Mungu, wala mwenyewe hakuweza kujisaidia.

18:44 - Huko ulinzi ni wa Mwenyezi Mungu wa Haki tu. Yeye ndiye mbora wa malipo, na mbora wa matokeo.


18:45 - Na wapigie mfano wa maisha ya dunia. Hayo ni kama maji tunayo yateremsha kutoka mbinguni, yakachanganyika na mimea ya ardhi, kisha hiyo mimea ikawa vibuwa vinavyo peperushwa na upepo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.

18:46 - Mali na wana ni pambo la maisha ya dunia. Na mema yanayo bakia ni bora mbele ya Mola wako Mlezi kwa malipo, na bora kwa matumaini.

18:47 - Na siku tutapo iondoa milima na ukaiona ardhi iwazi, na tukawafufua - wala hatutamwacha hata mmoja kati yao -

18:48 - Na wakahudhurishwa mbele ya Mola wako Mlezi kwa safu (wakaambiwa): Mmetujia kama tulivyo kuumbeni mara ya kwanza! Bali mlidai kwamba hatutakuwekeeni miadi.


18:49 - Na kitawekwa kitabu. Basi utawaona wakosefu wanavyo ogopa kwa yale yaliomo humo. Na watasema: Ole wetu! Kitabu hichi kina nini! Hakiachi dogo wala kubwa ila huliandika? Na watayakuta yote waliyo yatenda yamehudhuria hapo. Na Mola wako Mlezi hamdhulumu yeyote.


18:50 - Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu.

18:51 - Sikuwashuhudisha kuumbwa kwa mbingu na ardhi, wala kuumbwa kwa nafsi zao. Wala sikuwafanya wapotezao kuwa ni wasaidizi.

18:52 - Na siku atakapo sema (Mwenyezi Mungu): Waiteni hao mlio dai kuwa ni washirika wangu. Basi watawaita, na wao hawato waitikia. Nasi tutaweka baina yao maangamio.

18:53 - Na wakhalifu watauona Moto na watajua ya kwamba wao lazima wataingia humo; wala hawatapata pa kuuepuka.

18:54 - Na bila ya shaka tumewaelezea watu katika hii Qur'ani kila namna ya mfano. Lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi.


18:55 - Na hapana kilicho wazuia watu kuamini ulipo wajia uwongofu na wakaomba maghfira kwa Mola wao Mlezi, isipo kuwa yawafikie ya wale wa zamani, au iwafikie adhabu jahara.

18:56 - Na hatuwatumi Mitume ila wawe wabashiri na waonyaji. Na walio kufuru wanabishana kwa uwongo, ili kwa uwongo huo waivunje kweli. Na wanazifanya Ishara zangu na yale waliyo onywa kuwa ni mzaha.

18:57 - Na ni nani dhaalimu mkubwa zaidi kuliko yule anaye kumbushwa Ishara za Mola wake Mlezi, naye akazipuuza na akasahau yaliyo tangulizwa na mikono yake? Hakika Sisi tumeweka vifuniko juu ya nyoyo zao ili wasifahamu, na uziwi kwenye masikio yao. Na ukiwaita kwenye uwongofu hawakubali kabisa kuongoka.


18:58 - Na Mola wako Mlezi ni Msamehevu Mwenye rehema. Lau angeli wachukulia kwa mujibu waliyo yachuma, bila ya shaka angeli wafanyia haraka kuwaadhibu. Lakini wanayo miadi ambayo hawatapata makimbilio yoyote ya kuepukana nayo.

18:59 - Na miji hiyo tuliwaangamiza watu wake walipo dhulumu. Na tukawawekea miadi ya maangamizo yao.

18:60 - Na pale Musa alipo mwambia kijana wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu.

18:61 - Basi wawili hao walipo fika zinapo kutana hizo bahari mbili walimsahau samaki wao, naye akashika njia yake kaporonyokea baharini.

18:62 - Walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: Tupe chakula chetu cha mchana. Kwa hakika tumepata machofu kweli kwa hii safari yetu.

18:63 - Akasema (kijana): Waona! Pale tulipo pumzika penye jabali basi mimi nilimsahau yule samaki. Na hapana aliye nisahaulisha nisimkumbuke ila Shet'ani tu. Naye akashika njia yake baharini kwa ajabu.

18:64 - (Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia.

18:65 - Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu.

18:66 - Musa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uwongofu ulio funzwa wewe?

18:67 - Akasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami.

18:68 - Na utawezaje kuvumilia yale usiyo yajua vilivyo undani wake?

18:69 - Akasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako.

18:70 - Akasema: Basi ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia.

18:71 - Basi wawili hao wakatoka, hata walipo panda jahazi (yule mtu) akaitoboa. (Musa) akasema: Unaitoboa uwazamishe watu wake? Hakika umefanya jambo baya.

18:72 - Akasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami?

18:73 - (Musa) akasema: Usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.

18:74 - Basi wakatoka wawili hao mpaka wakamkuta kijana, akamuuwa. (Musa) akasema: Ala! Umemuuwa mtu asiye na kosa, na wala hakuuwa! Ama hakika umefanya jambo baya kabisa!

18:75 - AKASEMA: Je! Sikukwambia kwamba hakika wewe huwezi kuvumilia kuwa pamoja nami?

18:76 - Akasema: Nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu.

18:77 - Basi wakatoka mpaka wakawafikia watu wa mji mmoja. Wakawaomba watu wake wawape chakula, nao wakakataa kuwakaribisha. Hapo wakakuta ukuta unataka kuanguka, (yule mja mwema) akausimamisha. (Musa) akasema: Ungeli taka ungeli chukua ujira kwa haya.

18:78 - (Yule mtu) akasema: Huku ndio kufarikiana baina yangu na wewe. Sasa nitakueleza maana ya yale uliyo kuwa huwezi kuyastahamilia.

18:79 - Ama ile jahazi ilikuwa ya masikini za Mungu wafanyao kazi baharini. Nilitaka kuiharibu, kwani nyuma yao alikuwako mfalme anaghusubu majahazi yote.

18:80 - Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.

18:81 - Basi tulitaka Mola wao Mlezi awabadilishie aliye bora zaidi kuliko huyo kwa kutakasika, na aliye karibu zaidi kwa huruma.

18:82 - Na ama ukuta, huo ulikuwa ni wa vijana wawili mayatima kule mjini. Na chini yake ilikuwako khazina yao; na baba yao alikuwa ni mtu mwema. Basi Mola wako Mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Wala mimi sikutenda hayo kwa amri yangu. Hiyo ndiyo tafsiri ya hayo ambayo wewe hukuweza kuyasubiria.

18:83 - Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.

18:84 - Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.

18:85 - Basi akaifuata njia.

18:86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.


18:87 - Akasema: Ama aliye dhulumu basi tutamuadhibu, na kisha atarudishwa kwa Mola wake Mlezi amuadhibu adhabu isiyo juulikana.


18:88 - Na ama aliye amini na akatenda mema basi atapata malipo mazuri. Nasi tutamwambia lilio jepesi katika amri yetu.


18:89 - Kisha akaifuata njia.

18:90 - Hata alipo fika matokeo ya jua aliliona linawachomozea watu tusio wawekea pazia la kuwakinga nalo.

18:91 - Ndio hivyo hivyo. Na Sisi tulizijua vilivyo khabari zake zote.

18:92 - Kisha akaifuata njia.

18:93 - Hata alipo fika baina ya milima miwili, alikuta nyuma yake watu ambao takriban hawakuwa wanafahamu lolote.

18:94 - Wakasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Hakika Juju-wa-maajuju wanafanya uharibifu katika nchi. Basi je, tukulipe ujira ili utujengee baina yetu na wao ngome?

18:95 - Akasema: Yale Mola wangu aliyo niwezesha ni bora zaidi. Lakini nyinyi nisaidieni kwa nguvu zenu. Nitakujengeeni kizuizi baina yenu na wao.

18:96 - Nileteeni vipande vya chuma. Hata alipo ijaza nafasi iliyo kati ya milima miwili, akasema: Vukuteni. Hata alipo kifanya (chuma) kama moto akasema: Nileteeni shaba iliyo yayuka niimwagie.

18:97 - Basi hawakuweza kuukwea, wala hawakuweza kuutoboa.

18:98 - Akasema: Hii ni rehema itokayo kwa Mola wangu Mlezi. Na itapo fika ahadi ya Mola wangu Mlezi atauvunja vunja. Na ahadi ya Mola wangu Mlezi ni kweli tu.

18:99 - Na siku hiyo tutawaacha wakisongana wao kwa wao. Na baragumu litapulizwa, na wote watakusanywa pamoja.

:100 - Na siku hiyo tutawadhihirishia wazi Jahannamu makafiri waione.



18:101 - Wale ambao kwamba macho yao yalikuwa paziani hayanikumbuki, na wakawa hawawezi kusikia.



18:102 - Je, wanadhani walio kufuru ndio wawafanye waja wangu ndio walinzi wao badala yangu Mimi? Hakika Sisi tumeiandaa Jahannamu iwe ndipo mahala pa kuteremkia makafiri.

18:103 - Sema: Je, tukutajieni wenye khasara mno katika vitendo vyao?

18:104 - Ni wale ambao juhudi yao katika maisha ya dunia imepotea bure, nao wanadhani kwamba wanafanya kazi nzuri.

18:105 - Hao ni wale walio zikanusha Ishara za Mola wao Mlezi na kukutana naye. Kwa hivyo vitendo vyao vimepotea bure, na wala Siku ya Kiyama hatutawathamini kitu.

18:106 - Hiyo Jahannamu ni malipo yao kwa walivyo kufuru na wakafanyia kejeli Ishara zangu na Mitume wangu.

18:107 - Hakika wale walio amini na wakatenda mema mashukio yao yatakuwa kwenye Pepo za Firdausi.

18:108 - Watadumu humo; hawatataka kuondoka.

18:109 - Sema: Lau kuwa bahari ndio wino kwa maneno ya Mola wangu Mlezi, basi bahari ingeli malizika kabla ya kumalizika maneno ya Mola wangu Mlezi, hata tungeli ileta mfano wa hiyo kuongezea.

18:110 - Sema: Mimi ni mwanaadamu kama nyinyi. Ninaletewa Wahyi kwamba Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Mwenye kutaraji kukutana na Mola wake Mlezi basi naatende vitendo vyema, wala asimshirikishe yeyote katika ibada ya Mola wake Mlezi."


Sasa munaosema maudhui katika aya hiyo ni Mungu anamsimulia Muhammad habari za Alexander the Great,tuambieni Sura nzima ni Mungu tu peke yake anaongea na Muhammad au Muhammad naye anasikika humo akiongea na Alexander the Great, ambaye wakati huo alikuwa kishakufa wakati Muhammad kabla ya Muhammad kushushiwa hiyo Sura ya Kurani?
 
Sawa tufanye jua lilisimama, kwa hiyo likisimama ndio mchana unakuwa mrefu? maana yeye alisimamisha jua ili Giza lisiingie hadi vita iishe. Kinachofanya usiku na mchana ni mzunguko wa dunia kwenye mhimili wake sio mzunguko wa jua kwenye Galaxy... Hivi vitabu sio vya Mungu ni vya binaadamu tu
 
Sawa tufanye jua lilisimama, kwa hiyo likisimama ndio mchana unakuwa mrefu? maana yeye alisimamisha jua ili Giza lisiingie hadi vita iishe. Kinachofanya usiku na mchana ni mzunguko wa dunia kwenye mhimili sio mzunguko wa jua kwenye Galaxy... Hivi vitabu ni vya uongo sana
 
Shikamoo Kiranga nilikuwa nakusikia tu ila kwa hii comment umenisuuza roho!
Hahaaa. vijimambo vya kawaida tu.

Watu wanatumia "deus ex machina" wakati hata hawajui kwamba wanatumia "deus ex machina".

Tunawekana sawa tu.
 
Hakikuzungumzwa katika Quran hiko unachomaanisha, hiyo ni mojawapo ya historia ya mmoja wa Manabii aliyetajwa ndani ya Quran. Hiyo aya ndiyo inaelezea kuhusu Juja wa majuja.

Mwanadamu kuna muda majira ya kuzama unaliona kama linaingia ziwani kama ziwa lipo upande wa unaozamia jua. Huo ni udhaifu wa macho yetu ulivyo, na huo ndiyo uliyosemwa hapo maana ilitajwa jinsi wanadamu walivyokuwa wakiona. Ndiyo kilichomaanishwa hapo hizo sayansi zipo ndani ya Quran, ila si huo uzushi wako

Hebu ukijaribu kukosoa fuatilia, itakuepusha usionekane poyoyo na pia kutunza heshima yako.
 
Kwanza unachotakiwa kujua ni kwamba Mungu hakuna kitu chochote alichokipangilia halafu akajuta, kwa maana hiyo futa kauli ya kushindanisha Mungu na vitu vya kijinga.

Unavamia tu bila kula hoja kwanza na ukashiba? Hata huelewi kwamba neno Mungu ni Generic name.Linaweza kutumiwa na watu mbalimbali na bado likawa na maana tofauti tofauti.Mungu unayemfahamu wewe sio huyo anayemaanishwa na Muhammad na Kurani.Wewe Concentrate tu na Mungu wako sisi tuko na Mungu wa Muhammad na waislamu.Kajielimishe kwanza ndio urudi kwenye mjadala.
 
Dhana ya kuwepo huyu Mungu inajipinga. Ina contradiction.

Contradiction inaonesha huyu Mungu hayupo.

Ni habari imetungwa na watu tu.
Usichafue uzi Tafadhali [emoji12]
 



Internal contradictions claims and responses:
  1. Anti-Islamic claim: Who suffers loss if Muhammad was wrong?

    Islamic Responses: My response.




  2. Anti-Islamic claim: Allah, Adam, and the Angels.
    Islamic Responses: My response.




  3. Anti-Islamic claim: Who Was the First Muslim?
    Islamic Responses: Response by Sami Zaatari.




  4. Anti-Islamic claim: Can Allah be seen and did Muhammad see his Lord?

    Islamic Responses: Response by Bassam Zawadi.



  5. Anti-Islamic claim: Were Warners Sent to All Mankind Before Muhammad?
    Islamic Responses: My response (1)

    My response (2)




  6. Anti-Islamic claim: What will be the food for the people in Hell?
    Islamic Responses: My response




  7. Anti-Islamic claim: Can Angels Cause the Death of People?
    Islamic Responses: Response by Sami Zaatari.




  8. Anti-Islamic claim: Confusion Concerning Identity of the Spirit and Gabriel
    Islamic Responses: My response.




  9. Anti-Islamic claim: 'Iddah rules for divorced and widowed women

    Islamic Responses: My response.



  10. Anti-Islamic claim: Is there a minimum age of marriage for girls?

    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.




  11. Anti-Islamic claim: To Marry or Not to Marry?

    Islamic Responses: Response by Karim. (1)

    Response by Karim. (2)



  12. Anti-Islamic claim: Will it be accepted of them or not?

    Islamic Responses: Response by Mucahit Sivri.




  13. Anti-Islamic claim: Will Allah reward the good deeds of Unbelievers?

    Islamic Responses: Response by Bassam Zawadi.




  14. Anti-Islamic claim: Should Muslims Accept Peace or Not?

    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.



  15. Anti-Islamic claim: Can They Disbelieve in the Last Day and be Safe?

    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.



  16. Anti-Islamic claim: Should Muslims show kindness to their parents?

    Islamic Responses: Response by Yahya Ahmed.



  17. Anti-Islamic claim: Can one be a believer in God and oppose Muhammad at the same time?

    Islamic Responses: Response by Yahya Ahmed.



  18. Anti-Islamic claim: How many mothers does a Muslim have?
    Islamic Responses: Response by Karim.




  19. Anti-Islamic claim: And it just doesn't add up.
    Islamic Responses: A new response by the Learner

    Understanding The Law of Inheritance of the Qur'an (by the Learner)

    Response by a Muslim

    Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Khalid

    Response by Randy Desmond

    My response




  20. Anti-Islamic claim: How many angels were talking to Mary?
    Islamic Responses: My response

    The Learner's response

    Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond

    Response by Khalid





  21. Anti-Islamic claim: Further numerical discrepancies.
    Islamic Responses: My response

    Response by Karim

    Gardens or Gardens?

    Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond




  22. Anti-Islamic claim: How many days did Allah need to destroy the people of Aad?
    Islamic Responses: My response




  23. Anti-Islamic claim: Six or eight days of creation?
    Islamic Responses: Response by Dr. Zakir Naik.

    My response

    Response by Karim (pdf file)

    Response by MENJ

    Six or Eight Days of Creation?

    The Length of God's Days A Numerical Discrepancy?

    Response by Misha'al ibn Abdullah




  24. Anti-Islamic claim: Quick or slow creation?
    Islamic Responses: Quick or Slow Creation?

    The Meanings of "Thumma" and "Yawm"

    Response by Neil Littlejohn (Ismail)




  25. Anti-Islamic claim: Which was created first, Heavens or Earth?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond

    Response by Frank




  26. Anti-Islamic claim: Calling together or ripping apart?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond




  27. Anti-Islamic claim: What was man created from?
    Islamic Responses: What was Man Created From?

    Response by Misha'al ibn Abdullah




  28. Anti-Islamic claim: Fully Detailed Or Incomplete?
    Islamic Responses: My response.




  29. Anti-Islamic claim: Worshiping the Same or a Different God?
    Islamic Responses: Response by MENJ




  30. Anti-Islamic claim: To Intercede or Not To Intercede? - That is the Question!
    Islamic Responses: My response.




  31. Anti-Islamic claim: Where is Allah and his throne?
    Islamic Responses: Where is Allah and his throne?




  32. Anti-Islamic claim: The origin of calamity?
    Islamic Responses: Is Evil from Satan, Ourselves or Allah?

    My response.






  33. Anti-Islamic claim: How merciful is Allah's mercy?
    Islamic Responses: My response.

    Response by Understanding Islam

    Response by the Learner





  34. Anti-Islamic claim: Does Allah command to do evil?
    Islamic Responses: Response by Karim




  35. Anti-Islamic claim: Should Muhammad Get Paid Or Shouldn’t He?
    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.







  36. Anti-Islamic claim: Will there be inquiry in Paradise?
    Islamic Responses: Inquiry in Paradise

    Response by Misha'al ibn Abdullah





  37. Anti-Islamic claim: Are angels Protectors?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond





  38. Anti-Islamic claim: Is Allah the only Wali?
    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.



  39. Anti-Islamic claim: Is everything devoutly obedient to Allah?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond




  40. Anti-Islamic claim: Does Allah forgive shirk (believing in more than one God)?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond

    Response by the Learner (1)

    Response by the Learner (2)

    Response by the Learner (3)




  41. Anti-Islamic claim: The event of worship of the golden calf.
    Islamic Responses: Response by MENJ

    Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond

    Response by the Learner (1)

    Response by the Learner (2)




  42. Anti-Islamic claim: Was Jonah cast on the desert shore or was he not?
    Islamic Responses: My response

    Response by the Learner




  43. Anti-Islamic claim: Moses and the Injil (New Testament)?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond





  44. Anti-Islamic claim: Can slander of chaste women be forgiven?
    Islamic Responses: Response by MENJ

    Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Amiri-Shirifi





  45. Anti-Islamic claim: How do we receive the record on judgment day?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond





  46. Anti-Islamic claim: Can Angels disobey Allah?
    Islamic Responses: Response by Islamic Awareness

    Response by MENJ

    Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Shaahin Sharifi





  47. Anti-Islamic claim: Is Satan an angel or a jinn?
    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.





  48. Anti-Islamic claim: Three contradictions in 2:97 and 16:101-103.
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Shaahin Amiri-Sharifi





  49. Anti-Islamic claim: Do not say, "Three"!?
    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.




  50. Anti-Islamic claim: The infinite loop problem.
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond




  51. Anti-Islamic claim: Is the Torah like the Qur'an, or is it not?
    Islamic Responses: My response.




  52. Anti-Islamic claim: Should Jews and Christians follow the Bible or the Quran?
    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.




  53. Anti-Islamic claim: "An old woman" and God's character.
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond





  54. Anti-Islamic claim: More problems with the story of Lot.
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    Response by Randy Desmond





  55. Anti-Islamic claim: The "pleasure" of Allah.
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  56. Anti-Islamic claim: Did Abraham smash the idols?
    Islamic Responses: Response by Islamic Awareness

    Response by Misha'al ibn Abdullah




  57. Anti-Islamic claim: What about Noah's son?
    Islamic Responses: My response

    Response by Misha'al ibn Abdullah





  58. Anti-Islamic claim: Was Noah driven out?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  59. Anti-Islamic claim: Pharaoh's Magicians: Muslims or Rejectors of Faith?
    Islamic Responses: My response

    Also see my my response to their so-called "detailed" article that they linked at the bottom of the above article.

    Response by Bassam Zawadi




  60. Anti-Islamic claim: Pharaoh's repentance in the face of death?
    Islamic Responses: Response by Islamic Awareness

    Response by Misha'al ibn Abdullah





  61. Anti-Islamic claim: Abrogation?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah

    See also my article: Countless abrogations in the Bible's Moses', David's and many other books.

    Naskh "Supersession" I

    Naskh "Supersession" II

    Naskh: Examples III

    Naskh & Purity of Creed IV

    Is the Qur'an the Word of God? By minister Badawi

    The Authenticity of the Quran. By minister Badawin





  62. Anti-Islamic claim: Guiding to truth?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  63. Anti-Islamic claim: What is the punishment for adultery?
    Islamic Responses: My response

    Response by Misha'al ibn Abdullah





  64. Anti-Islamic claim: Who suffers the consequence of sins?
    Islamic Responses: Response by Karim

    Response by MENJ

    See also:
    1. The satanic and evil beliefs and doings are ALLURING (feel right and good) to their people according to the Noble Quran.
    2. Everything from good and bad that happens to us is determined by Allah Almighty.
    3. How can a Muslim connect with GOD Almighty in life? Six important points backed with Noble Verses that every Muslim must always keep in mind.
    4. Is our destiny pre-determined by GOD? Does GOD choose who is evil and who is good? How come GOD didn't make all of us good if He is the "Most Merciful" and "Most Just"?
    5. Did GOD create some Men and Jinns to be destined to hell?
    6. After death, what would prevent a Muslim from entering Heaven? Also, how long will the Disbelievers stay in Hell?
    7. How does a Muslim get to Heaven, saved, reach a state of perfect harmony with God?
    8. I liked your concept of God in Islam and that man can directly have fellowship with God. But how does God stand the sin in man ? How does God see the sin between man and man?


  65. Anti-Islamic claim: Will Christians enter Paradise or go to Hell?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  66. Anti-Islamic claim: God alone or also men? Clear or incomprehensible?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  67. Anti-Islamic claim: Was Pharaoh Drowned or Saved when chasing Moses and the Israelites?
    Islamic Responses: Response by Islamic Awareness

    Response by MENJ

    Response by Misha'al ibn Abdullah





  68. Anti-Islamic claim: When Commanded Pharaoh the Killing of the Sons?
    Islamic Responses: Response by Islamic Awareness

    Response by Misha'al ibn Abdullah





  69. Anti-Islamic claim: When/how are the fates determined?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  70. Anti-Islamic claim: Wine: Good or bad?
    Islamic Responses: Response by Islamic Awareness

    Response by MENJ

    Response by Misha'al ibn Abdullah

    The Authenticity of the Quran. By Minister Badawi.





  71. Anti-Islamic claim: Good News of Painful Torture?
    Islamic Responses: My response.




  72. Anti-Islamic claim: Jinns and men created for worship or for Hell?
    Islamic Responses: My response





  73. Anti-Islamic claim: Will all Muslims go to Hell?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  74. Anti-Islamic claim: Will Allah disgrace Muslims?
    Islamic Responses: Response by Karim.

    Response by Misha'al ibn Abdullah





  75. Anti-Islamic claim: Will Jesus burn in Hell?
    Islamic Responses: Response by Islamic Awareness

    My response





  76. Anti-Islamic claim: Is Jesus God or Not?
    Islamic Responses: Response by Sami Zaatari.





  77. Anti-Islamic claim: Can there be a son without a consort?
    Islamic Responses: My response.




  78. Anti-Islamic claim: Who is the father of Jesus?
    Islamic Responses: Response by Misha'al ibn Abdullah





  79. Anti-Islamic claim: Begetting and Self-sufficiency.
    Islamic Responses: My response





  80. Anti-Islamic claim: Could Allah have a son?
    Islamic Responses: My response





  81. Anti-Islamic claim: Did Jesus die already?
    Islamic Responses: My response





  82. Anti-Islamic claim: One Creator or many?
    Islamic Responses: My response





  83. Anti-Islamic claim: From among all nations or from Abraham's seed?
    Islamic Responses: My response





  84. Anti-Islamic claim: Marrying the wives of adopted sons?
    Islamic Responses: My response





  85. Anti-Islamic claim: Messengers were never sent to other than their own people?
    Islamic Responses: My response.

    Response by Ahmed Eldin.




  86. Anti-Islamic claim: Messengers Amongst the Jinns and Angels?
    Islamic Responses: My response.

    Response by Sami Zaatari.





  87. Anti-Islamic claim: Do all of God's messengers eat food?
    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.



  88. Anti-Islamic claim: A Messenger from among the beasts?
    Islamic Responses: Response by Adeel Khan.



  89. Anti-Islamic claim: Another eleven contradictions
    Islamic Responses:
    (1) My response
    (2) My response
    (3) My response
    (4) My response
    (5) My response
    (6) My response
    (7) The Learner's response
    (8) My response
    (9) My response
    (10) My response
    (11) My response




Further:

Grammatical Errors

Anti-Islamic claim: Contradictory Grammar.

Islamic Responses to "Answering Islam's" and all of the other anti-Islamic sites' claims:



Anti-Islamic claim: To speak or not to speak?

Islamic Responses: Response by Randy Desmond



External contradictions:

Anti-Islamic Introductory question

Response by Randy Desmond



  1. Anti-Islamic claim: Solomon listening to ants?
    Islamic Responses: Response by Randy Desmond, a Muslim brother and me.




  2. Anti-Islamic claim: The stars and the moon
    Islamic Responses: My response




  3. Anti-Islamic claim: Qur'an and Science: Section Four in Dr. Campbell's book.
    Islamic Responses: Response by a Muslim




  4. Anti-Islamic claim: Qur'an and Embryology
    Islamic Responses:

    My and others' responses:
    1. The Noble Quran on Human Embryonic Development.
    2. Embryology in the Noble Quran. The three stages of the fetus formation in the Noble Quran and Science.
    3. Abortion in Islam is a crime! The fetus is a human child in Islam.
    4. The Noble Quran on the Cerebrum: Lying is generated from the person's forehead.
    5. The region in the brain that controls our movements - In Noble Quran and confirmed by Science.
    6. Sex determination and human creation in Islam. Allah Almighty and Prophet Muhammad both claimed that the human gender is determined by the male's ejaculated semen.
    7. Bones or muscles created first?
    8. Rebuttal to Sam Shamoun on Semen Production in the Noble Quran.
    9. Were human cloning and gender alteration prophesied in Islam?

 
Usichafue uzi Tafadhali [emoji12]
Uzi hauwezi kuchafuliwa na maswali yanayotafuta ukweli.

Unapozima maswali hayo, kwa kuwa huna majibu, hapo ndipo unapochafua uzi.
 
Nionyeshe sehemu ambayo wanasayansi wanasema binaadamu alikuwa sokwe
 
Unaelewa kwamba aya kuwa na utata tu ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Unaelewa kwamba habari za Mungu kuhitaji kuelezewa kwa kitabu, kwa tafsiri ya lugha fulani tu, kunaonesha huyo Mungu hayupo?

Kama yupo, kwa nini atoe kitabu chake kwa lugha fulani?

Kwa nini asiweke habari za kuwepo kwake kwenye DNA wote tujue pamoja?
 


Did the Noble Quran really say that the sun sets and rises on earth?
 

Mkuu njoo vizuri!

Unaifahamu vizuri historia ya Alexander the Great (Dhul-Qarnaini)? Nani kakuambia Alexander alikuwa ni Nabii? Na kama alikuwa Nabii, unamaanisha nini hasa? Nabii wa shetani au wa Mungu? Kama ni Nabii wa Mungu,Mungu anaweza kuleta Nabii ambaye yuko anashikilia Juja na Majuja ambayo baadaye yatamtoroka ili yaje yawaangamize waislamu? Ina maana mpaka Juja na Majuja wataweza kumtoroka huyo nabii ina maana atakuwa ameishiwa uwezo wa kinabii? Na kama ndivyo, huyo nabii wa Mungu wa namna gani hata Juja na Majuja wamtoroke?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…